Search results

  1. K

    Wajinga ndiyo wanaoparurana mitandaoni. Wenzenu wanacheka na kumwagilia mioyo wakikutana

    Utaimba sana wimbo huyo bila ya kuelewa maana yake ni nini! Wewe hujaona watu wakitoana roho kwa jina la siasa? Kuna uadui zaiidi ya hapo? Huo msemo hauna maana yoyote katika mazingira yetu katika maeneo haya ya dunia.
  2. K

    Wajinga ndiyo wanaoparurana mitandaoni. Wenzenu wanacheka na kumwagilia mioyo wakikutana

    EeeeeenHeeee! Kila nikiiona picha hii, inanisikitisha sana! Watu kama hawa, leo hii wapo wengi zaidi kuliko wakati ule. Hata humu JF, utawasoma tu, jinsi wanavyomzonga mkuu Erythro., katika picha ni kama huyo jamaa wa CHADEMA, na hao wengine wenye magwanda, sasa wapo kama utitiri humu ndani...
  3. K

    Ni harufu ya ufisadi tu! Mikataba mikubwa ya trilioni ya pesa haiwekwi wazi na wala Bunge hatusikii likihusishwa. Tunaibiwa tushtuke kabla ya 2025

    Samia siyo kiongozi mwenye kujali maslahi ya Tanzania. Hata akiigiza ionekane kuwa ni kiongozi anayyewajali waTanzania, itaonekana tu kwamba anaigiza! Wanachoweza kufanya waTanzania kwa watu hawa wasiokuwa na uchungu na nchi hii na watu wake, ni kuwatapisha mali zote watakazokuwa...
  4. K

    Five Reasons Kenya Funds Evil Scenes in Ngorongoro Crater

    Una maana ya "Kufungua nchi", au unayo habari nyingine? Kama ni hiyo ya kufungua nchi, nitakuelewa barabara unachosema hapa.
  5. K

    Five Reasons Kenya Funds Evil Scenes in Ngorongoro Crater

    Well, the entire thing reads like a "sponsored" masterpiece! However, there's hardly a thing that is surprising, something new discovery, after all the relationship history between the two countries is well known. Hard to believe, the writer is someone from Kenya. Sounds like an inside job...
  6. K

    Richard Temu, mlanguzi wa kakao Kyela anayepambana kuua Ushirika ili apate bei ya chini toka kwa wakulima moja kwa moja

    Hiki ndicho kinachonizungusha akili nionekane kama hayawani wakati mwingine. Chama cha Ushirika, kama KYECU ni ya serikali, au ninakusoma vibaya? Hata hivyo, kiwe au isiwe ya serikali kwa kweli hakuna kinachobadilika, kwa sababu wote tunajua utendaji wao ni mbovu; na ndiyo maana, tokea huko...
  7. K

    Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai: Wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana. Wanatibiwa nchini Kenya

    Aiiseee! Meza ileile, viti vilevile, chumba kilekile, ila wahusika ndio wamebadilishwa!
  8. K

    Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai: Wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana. Wanatibiwa nchini Kenya

    Kinachotia hasira katika jambo hili ni mambo mawili: Mosi: serikali kuwanyanyasa wananchi wake kwa manufaa ya wageni Pili: Nchi jirani kutumia jambo hilo na kulifanya propaganda kwa faida yao. Kwa yote mawili, serikali inabeba lawama zote.
  9. K

    Inashangaza Kenya wanalalamika mambo ya Loliondo na wanahojiwa Aljazeera TV. Je, kuna mamluki Loliondo toka Kenya?

    Sasa wewe unadhani anayestahili lawama hapo ni nani kama siyo serikali inayoshindwa kulinda mipaka yake?
  10. K

    Richard Temu, mlanguzi wa kakao Kyela anayepambana kuua Ushirika ili apate bei ya chini toka kwa wakulima moja kwa moja

    Hili ndilo tatizo ambalo naamini halihitaji digrii kubwa kubwa kulimaliza, lakini ni tatizo linalopaliliwa lizidi kushamiri, kwa sababu kuna watu wanaofaidika kutokana na tatizo hilo kuwepo. Nchi nzima tatizo ni hili hili, lakini serikali nayo haina uwezo wa kulishughulikia! Maajabu si ni hayo?
  11. K

    Ni dharau kubwa, yaani wauze nchi au wapige madili hamna namna ya kuwatoa madarakani. 2025 tukatae hizi dharau

    Kumbe hata ulichotaka kuandika juu yake hukijui, basi wewe ni punguani. Punguza kuleta takataka zako humu jukwaani kupotezea watu muda. Siku nzima unajaza matakataka tu ukumbini, kumbe hata huna uwezo wa kuelewa unachotaka kueleza?
  12. K

    Tanzania na Equinor / Shell yasaini mradi wa thamani dola bilioni 30

    Hivi huelewi kwamba hata Marekani enzi za akina Washgton nchi ilikuwa ni maskini? Hapo Ulaya kuna nchi ngapi zilizokuwa na uchumi mzuri nyakati za akina Mao? Hili nalo unataka uwe mjadala wa kuhalalisha upepari kuwa ndiyo njia pekee ya kuleta mabadiliko katika maisha ya watu? "Reverse...
  13. K

    Great Leap Forward 1958-62: Vita ya mwanadamu dhidi ya viumbe ilioua watu Million 50

    Ipi mkuu, huenda habari uliyotaka kuiwasilisha niione haikutokea. Lakini yote kwa yote, naomba tuachane na kung'ang'ania hizi 'dogma' za vitabuni juu ya capitalism/socialism ipi iko juu ya nyingine. Jambo muhimu ni mabadiliko wanayoyapata wananchi katika nchi husika kwa mchanganyiko wa njia...
  14. K

    Richard Temu, mlanguzi wa kakao Kyela anayepambana kuua Ushirika ili apate bei ya chini toka kwa wakulima moja kwa moja

    Haya mambo yapo kila sehemu ndani ya nchi hii, na haya ndiyo yanayotukwamisha, wakati tukiwachekea nyani wanaomaliza mahindi yetu!
  15. K

    Richard Temu, mlanguzi wa kakao Kyela anayepambana kuua Ushirika ili apate bei ya chini toka kwa wakulima moja kwa moja

    Haya mambo ndiyo huwa yananipa taabu sana kuyaeleza watu wayaelewe vizuri, na nina wasiwasi (suspect) hata wewe huenda tusielewane juu ya hili, kutokana na maneno machache uliyotumia hapa. Niulize: Je KYECU ni kweli wananunua kwa bei ya juu kuliko bei wanayolipa wafanya biashara, halafu bado...
  16. K

    Rais Samia awasili Oman kwa ziara ya siku 3

    Mulamula kabahatika kuwemo kwenye ziara hii, au bado yupo Siberia?
  17. K

    Mbowe alipanga kuonana na Rais Samia 12 Juni, naona kamtelekeza Mbowe kiaina

    Twende tu taratibu, mambo yatazidi kujipambanua yenyewe, na watu watajua! Haitachukua muda mrefu kiasi cha watu kuwa na wasiwasi wa wakati.
  18. K

    Waliomlazimisha Samia Suluhu kuwa Makamu na hatimaye Rais, walifanya makosa sana

    Duh, mkuu, naona umepania kweli na mada yako hii, na kadri unavyozidi kufunguka ndivyo na mada inavyozidi kuwa na uzito kuliko lile bandiko la mwanzo! Lakini imenibidi niku'quote' hapa, kwa sababu maalum. Sababu yenyewe ni mstari huu: "Na ukumbuke ya kwamba uongozi wa serikali yetu sio wa...
  19. K

    Waliomlazimisha Samia Suluhu kuwa Makamu na hatimaye Rais, walifanya makosa sana

    'Gang' je, wao hutaki kusikia wanachosema, maana siwaoni kwenye orodha?
Back
Top Bottom