Search results

  1. gillana

    Jinsi Vodacom walivyojinasua kwenye hasara kabla ya laini kufungwa

    Huduma zipo na hazijawahi kusimama we songesha tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. gillana

    Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

    Majibu umeshayapata kiutaratibu utakapo potelewa na kitu chochote nenda polisi katoe taarifa watakupa loss report, baada ya hapo nenda kwenye ofisi za mtandao husika wataiblock na kuswap lain yako na kuendelea na mawasiliano kwa namba yako. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. gillana

    Vyuoni network kuhusu rushwa ya ngono ni kubwa sana

    Sawa, wamekutana wote watu wazima hii rushwa lazima itembee Sent using Jamii Forums mobile app
  4. gillana

    Ni nini hasa ukomo wa mamlaka ya mkimbiza mwenge mkuu?

    Mi naona huwa na mamlaka makubwa kuliko mkuu wa mkoa,hata mapokezi anandaa mkuu wa mkoa na baadae kuwaachia wakuu wa wilaya zake, ila ninajiuliza baada ya mbio kwisha huwa wanaandaliwa kushika nyazifa gani kubwa au huwa wanaachwa tu?.
  5. gillana

    Gunia la mahindi linauzwa lakimoja au kuna njaa?

    Hali halisi kwa mwaka huu maeneo meng yamekumbwa na ukame kama meoneo kanda ya kat, hivyo kuna uhaba wa chakula hali iliyopelekea bei ya mahind kupanda,kwa ufupi kuna njaaa.
  6. gillana

    Wengi hawatakwambia hii siri kutokana na ukweli ufuatao kuhusu utajiri wa pesa na mali

    Chama huru sio kama kwenda kununua nyanya kariakoo, kama huna jina mchakato unachukua miaka, sasa wew mwezi wa sita ulikuwa anahitaji kujiunga na leo tayar ni mwanachama, fanya kazi kijana punguza stress.
  7. gillana

    TEASER: Nitajie eneo hili unapewa 10000Tzs

    Andaa pesa yangu kabala ya kujib pot
  8. gillana

    Utakapojenga Nyumba yako usisahau 2.

    Asante, ujumbe umefika.
  9. gillana

    Msaada: Namtafuta dereva wa lori la mafuta lililopata ajali Morogoro

    Kwenye hii ajari watu wawili mke na mume walibanwa na walishindikana kuokolewa hivyo nao wameungua sijui kama alikuwa ndo dereva wa hio gar, ila nijuavyo madereva inapotokea ajar ikiwa na uwezo wa kujitambua huwa na na nguv za ajabu za kujinasua na kukimbia kwa dk 15 ni nying angeweza kweli...
  10. gillana

    Moto wa ajabu, viumbe wa ajabu, ajali ya kushangaza..!

    Dunia ina mambo, hapa nilipo kuna wafanyabiashara wanatuhumiana uchawi, mmoja amekamata misukule ya mwenzie waliotaka kumuwangia sijui kumuibia kwaio anadai alipwe mamilioni ya pesa awachie vinginevyo atawatupa baharini sas jamaa anadai apunguziwe na alipe kidogokidog
  11. gillana

    Mshahara wa 1.3M take home ni bei gani?

    Bima sio lazima wapo wafanyakazi bima analipa mwajiri na sio muajilowa
  12. gillana

    TANZIA: Ndugu yetu Hamza Shaaban Semboga a.k.a GAZZA ambao umetokea Jumatatu asubuhi Goodwood station in Cape Town

    Picha naona zinatofautiana na na huyo aliyejeruhiwa kwani anaonekana ni ngozi nyeupe but ujumbe umefika R.I.P GAZZA
  13. gillana

    Fursa ya kupeleka mchele nchini Rwanda

    Nami nakupongeza kwa kuwa mwanamke mpambanaji maana kabla haso zako zilikuwa moro sas upo kahama du. hongera sana
  14. gillana

    Tembo ni kero katika kijiji cha Majimaji Tunduru

    Litora haina tofauti na majimaji,zote zimezunguukwa na hifadhi, japo hifadhi kamili ipo umbali kl 30 kutoka kijijini na hawa wanyama huwa wanakuja kwa nadra sana mfano simba alionekana miaka 5 iliyopita mpaka sasa kimya ila tembo ndio wametia fora wameamua kuishi humuhum hawataki kutoka.
  15. gillana

    Tembo ni kero katika kijiji cha Majimaji Tunduru

    Wenyewe wanakwambia sio tembo wa sasa zamani walikuwa wanawaswaga kwa kengere au tochi lakini wa sasa wanapita kwenye majumba hata kama yana taa za umeme
  16. gillana

    Tembo ni kero katika kijiji cha Majimaji Tunduru

    Duh! Tuwaswage kama ng'ombe.
  17. gillana

    Tembo ni kero katika kijiji cha Majimaji Tunduru

    Asante kwa ushauri; ila geographia ya kijiji hiki kimezunguukwa na msitu pande zote na kuungana na hifadhi ya selous sijui kama itatusaidia sana.
  18. gillana

    Tembo ni kero katika kijiji cha Majimaji Tunduru

    Habarini wadau; Katika kijiji cha Majimaji wilaya ya Tunduru Mkoa wa Ruvuma kimevamiwa na tembo wengi wanao kadiriwa kuwa arobaini ambao kwa sasa wamekuwa sehemu wakazi wa kijiji hicho kwa takribani miezi mitano mfulululizo bila kutolewa kurudi katika hifadhi yao ya asili ya selous. Tembo hao...
  19. gillana

    January Makamba Akabidhi Ofisi Kwa George Simbachawene.

    Nina laani kitendo cha jk kwenda na vaz la kanzu ofsin , kwanin iwe wakati huu mambo yamekorogeka. Alisikika mpika ugimbi mmoja .
Back
Top Bottom