Search results

  1. albab

    Vipi kama Makonda anatengenezwa kwa kazi maalum?

    Najaribu kuwaza...🤔 Tumeona Makonda akitoa kauli mbalimbali ambazo kimsingi si rafiki Kwa baadhi viongozi wa Chama na zinatishia uwepo wa viongozi hao ndani CCM. Nina imani Kuna kitu nyuma ya hizi vurugu za Makonda kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 mpaka sasa Kwa kiasi kikubwa jamaa anawatu na...
  2. albab

    Kinatafutwa kioo Cha google pixel 6 pro

    Kwema MKUU.... Kinatafutwa kioo Cha google pixel 6 pro Njoo DM Kwa biashara.
  3. albab

    Nimehamia kwangu

    Nawasalimu.... - Nimeanza ujenzi, kaa hapa tujenge pamoja Samahani Sana huo Uzi hapo juu Kwa muda Sasa sijarudi na wengi najua mlikua na hamu ya kujua nimefika wapi. Leo sitaweka details za pesa ilotumika ila Kwa ufupi Sana mwezi wa 10/2022 nilihamia kwangu nikiwa nimekamilisha Kila kitu...
  4. albab

    Feisal Salum (Feitoto) alikua na hoja

    kama tuliambiwa Nabi atakuepo mpaka 2024 lakini Leo hiii NABI na uongozo wa Yanga unathibitisha mkataba ulikua mwaka 1. Napata ukakasi ishu ya FEITOTO ALIKUA na Hoja, Kuna kitu hakikua Sawa ndo mana dogo akaamua kukiamsha. Kuondoka Kwa wachezaji (Sina uhakika) na bench la ufundi kuna kitu...
  5. albab

    Kufuatia sakata la wanafunzi kulawitiwa; Mamlaka zifuatilie Shule ya Msingi Nkuhungu jijini Dodoma

    Mamlaka husika chunguzeni shule ya msingi NKUHUNGU iliyoko Dodoma Jiji NKUHUNGU. Huu uchafu unafanyika hapo na uongozi wa shule unajua na kuamua kukaa kimya kuepuka mlolongo wa ufuatiliaji/kesi. Baadhi ya watoto wazazi wao wanakiri watoto kuharibiwa ila uchafu huo unafukiwa na baadhi ya...
  6. albab

    Naomba ushauri kuhusu aina hii ya milango

    Nimekuwa nikiwaza kwa muda sasa namna ninavyoweza kuifanya baadhi ya milango ya ndani (ya mbao) isifunguke bali iwe ya kuslide tu mfano wa geti. YouTube nikakuta kwa wenzetu wanaitumia sana kwani inasave space, lakini inatoa kero ya kufunga na kufungua. Katika mawazo yangu ni kwamba kuwe na...
  7. albab

    Msaada wataalamu wa skimming

    Nikiwa naeleke kufanya maandalizi kwa ajili ya hii kazi wajuzi naomba msaada wenu.... Fundi wa kwanza: Ameshauri itumike white cement then binder alafu rangi na kanipa makadirio yake Fundi wa pili: Yeye kashauri itumike pva then binder alafu rangi..... Fundi wa tatu: Kashauri itumie wall...
  8. albab

    Naomba ushauri wa aina ya bati ya kuchaguala?

    Habari wadau, Najua Kuna mada nyingi kuhusu bati ila hebu tushauriane hapa. Kwasasa naelekea Hatua ya upauaji ila nimejikuta napata shida niangukie wapi BATI ZA RANGI Wengi wanashauri ALAF, SAWA ila bei yake iko juu sana 39 (bati ya kawaida ya rangi) na pia nimekutana na wadau wanasema...
  9. albab

    Musukuma unajisikiaje uliowachongea kuendelea kupeta kwenye teuzi?

    Miezi kadhaa nyuma Mbunge Musukuma uliibua ununuzi wa gari VXR-V8 Geita, ukaibua ujenzi wa bustani (eneo la kupumzikia), ukaponda ukaongea sana, ukawachongea mkuu wa mkoa Luhumbi na mkurugenzi Geita mji. Nimeusoma mkeka Mkurugenzi uliemchongea yupo Ilemela, Luhumbi ndio mkuu wa mkoa Mwanza...
  10. albab

    Hivi WAKUU tuna mziki wa aina gani karne hii

    Sikupata nafasi ya kusikiliza audio ya KELEBE ya RAYVANY.... Basi nkaona si mbaayaaa kuangalia video nipate pia wasaa wa mashairi pia. LAHAULAAAAAAAAA...... Pengine ndo mziki mzuri kizazi hiki ila mimi HAPANA.
  11. albab

    Ningepata nafasi ya kuwa baba ake....

    Kwaufupi sana ningepata nafasi ya kuwa baba wa huyu mtoo... Ningemnyoa hio nywele (tena kipara) kwa miezi sita..... Ningempeleka shule zetu fulani wakongwe tunazijua wenyewe Asingejihusisha na mitandao, kuangalia katuni wala muvi... Tv ni sa mbili muda wa taarifa ya habari over... Kila siku...
  12. albab

    Kuhusu biashara ya maji

    Baada ya muda mrefu nimepata bahati ya kuja mjini DAR ES SALAAM nikaona maji ya kunywa brand mbalimbali ikiwemo Uhai, Hill nk zikiuzwa 500-600. Cha ajabu ujazo huohuo kwetu yanauzwa 1000 hii imekaaje wadau nikisema ninunue nipeleke kule kwetu kwenye Jambo, Sequa na Kilimanjaro itakuaje....
  13. albab

    Nimeanza ujenzi, kaa hapa tujenge pamoja

    Miezi kadhaa nyuma niliomba ushari kuhusu ujenzi. Leo narudi tena kwenu. Wazoefu na wajuzi mnisaidie. Nitatumia tofali za kuchoma na ntajengea tope mpaka lenta ambapo ntamalizia kwa cement (ushauri wa fundi ni kwamba wakati wa upauaji tope halitahimili gonga gonga) Nimeanza na msingi na kesho...
  14. albab

    Msaada king'amuzi cha Azam

    Nikiwa home muda huu niijulie dunia hali ghafla nakuta madudu AZAM TV. WASAFI TV inaonesha na ndo chanel ya kwanza kufunguka na sijailipia. Nikazima na kuwasha sasa naona inajibonyeza bila mpangilio tena bila hata matumizi ya rimoti. Shida nini wajuvi nisaidieni
  15. albab

    Msaada kutoka kwenu wakuu

    Wadau heshima yenu. Kwa ufupi mwakani nataka nianze ujenzi ila bado napata ukakasi kuhusu haya yafuatayo. 1. Nitumie tofali za kuchoma (hapa nimepanga kujengea tope joint zikiwa ndogo saanaaa kwa haraka ukiangalia unaweza sema tofali zimepangwa tu) 2. Nitumie tofali za kupanga ("interlocking...
  16. albab

    CCM na Magufuli mmejifunza nini?

    Salaam.... Niseme tu kama kuna uchaguzi wa kibabe kuwahi kutokea basi ni huu. Ni mwaka huu ndo nimeiona IDARA ikitoa funzo kubwa sanaaa kwa CCM na baba mkuu... Wengi mtabeza ila ukweli ni kwamba hii naweza kuita oparation kubwa IDARA kuwahi kuifanya pamoja na kwamba imejaa udhaifu ila...
  17. albab

    Miaka 25 hajawahi kufika kwa kilele

    Hodi kwa wakubwa. Baada ya miaka mingi kumtamani huyu dada mwenye asili wa kinyarwanda basi jana nikampata tukapata diner mpaka sa 6 usiku akaniomba nimdrop kwake badi na YAMAHA yangu mtoto akalalia mgongo. Tumefika mlinzi akafungua. Geti dogo... Nkamwambia mnyarwanda twende ndani akasita...
  18. albab

    Kisa cha Polisi mkoa wa Geita kinasikitisha

    Nasikitika kusema tumefika pabaya sana kwamba sasa chama kipo juu ya vyombo vya dola (CCM ni bora kuliko TISS, Polisi na majeshi yote) Kwambaa mwenyekiti, katibu wa chama anaamua nani afanye nini na kwa wakati gani. Inauma sana. Jeshi la polisi mkoa wa Geita lipo kwenye masikitiko makubwa...
  19. albab

    Msaada majiko yanayotumia pumba za mpunga au maranda ya mbao

    Waungwa nawasalimu. Ningependa kuulizia haya majiko yanayotumia pumba za mpunga/maranda ya mbao ambayo hutumiwa sana na wachoma chips hasa maeneo ya DAR... Niliyaona mwaka 2017 Ila kwa bahati mbaya huku mkoani nilipo sijayaona kabisa na gharama za mkaa ni kubwa kidogo.. Ningependa kujuzwa ...
  20. albab

    Hii ndio Wasafi inayosifiwa?

    Baada ya sifa nyingi nikaamua kulipia wasafi ili nione nini kipya Dah! Target yangu ilikua nianze na kipindi cha BIG SUNDAY LIVE.. nimesikitishwa sana kwa tv chanel inayosifiwa sana na vijana kuair kipindi tena cha live kwa zaidi ya dk 30 bila sauti.... Kwa kifupi HAMKO sirias na hamjamtendea...
Back
Top Bottom