Najaribu kuwaza...🤔
Tumeona Makonda akitoa kauli mbalimbali ambazo kimsingi si rafiki Kwa baadhi viongozi wa Chama na zinatishia uwepo wa viongozi hao ndani CCM.
Nina imani Kuna kitu nyuma ya hizi vurugu za Makonda kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 mpaka sasa Kwa kiasi kikubwa jamaa anawatu na...
Mkuu vyumba vinne kwanza sio nyumba ya kawaida ni kubwa hapo hujaweka vikolokolo vingine kama vyoo, jiko nk.
Ushari.
Hiyo fedha iweke kwenye msingi uukamilishe (kuwa na usimamizi mzuri mana inatosha hasa Kwa Dar bado bei za bidhaa zinavumilika)
Jenga sasa mana sio muda kutakua na ongezeko la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.