Search results

  1. K

    Hatimaye Hamad Rashid, Shoka Hamis na wenzao wawili wafukuzwa CUF!

    Umejaribu kutaka kueleza kitu ila umeshindwa kueleza nini ulitaka watu wajue kwa maelezo yako umeshindwa kuonyesha nani mkosa kati ya seif na hamad rashid
  2. K

    Mnyika azuiwa kutoa hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu!

    Kama wanajua wako sahihi mbona wanamzuia mnyika kutoa hoja ya kutokuwa na imani na waziri mkuu pinda alikuwa zamani sio sasa kashaonja upepo wa feli basi ahaaa watu tufe tu yeye hana habari eti wanamwita mtoto wa mkulima nani kasema ccm waote mafisadi tu na ukiingia kama we sio fisadi...
  3. K

    Mbunge wa Ludewa (Filikunjombe) ana ushahidi wa Barua ya Jairo kusimamisha mradi wa umeme Liganga!

    Issue hapo si Jairo pekee kuanzia juu mpaka chini waondoke madarakani jairo angetoa wapi ujasiri kama hayuko pamoja na waziri wake na waziri hasingeacha upupu uwepo kwenye wizara yake kama hayuko pamoja na mkuu wao wote tumewachoka watuiachie nchi yetu jamani
  4. K

    Kasheshe la Mafuta: Dar kimeanza kuwaka, vituo kadhaa vyaanza kutoa mafuta!

    Ngoja na mimi nikachue hata lita 20 za bure pale mbele
  5. K

    Kasheshe la Mafuta: Dar kimeanza kuwaka, vituo kadhaa vyaanza kutoa mafuta!

    Hama kweli serikali ya ccm imefikia ufunuo na kwa hali hii hata bubu ataongea
Back
Top Bottom