Search results

  1. M

    MSAADA WANAJAMVI

    MWENYE KUJUA KAMA NGORONGORO WALISHAITA WATU KWENYE USAILI
  2. M

    MSAADA

    Wadau mwenye updates za Ngorongoro Conservation Area Authority kama waliisha ita watu kwenye usaili
  3. M

    Msaada wadau

    Kwa yeyote yule anayeifahamu shule ya st. JUDE Arusha kazi zake za kuajiliwa au kujitolea ni lazima uchangie kwa sisi Watanzania maana nimekuana na kazi katika kujaza form nikakutana na kipengele kinaeleza kuchangia plz plz anayejua msaada wadau
  4. M

    Msaada: Hii shule ya St. Jude Arusha ukiomba kazi lazima ulipie?

    Kwa yeyote yule anayeifahamu shule ya St. Jude Arusha kazi zake za kuajiriwa au kujitolea ni lazima uchangie kwa sisi Watanzania Nimekutana na kazi katika kujaza form nikakutana na kipengele kinaeleza kuchangia Tafadhali anayejua msaada wadau
  5. M

    MSAADA WANAJAMVI

    habari zenu nna shida kama tatu iv msaada plz 1.kwenye ajira portal ukiwa unajaza detail zako unaweka vyeti ambavyo vimepita kwa mawakili au unaweka copy ya original ila wakati wa kutuma ndo unaweka vilivyo pitia kwa wakili? 2.barua iliyo sainiwa unasaini vip? ni hayo tu msaada jamani
  6. M

    LOOKING FOR A JOB

    hope mu wazima wadau.... natafuta kazi jamani nimehitimu bachelor ya mipango kazi na maendeleo ya jamii nna ujuzi wa mwaka mmoja kufanya kazi na jamii kama awareness raising research pia nna ujuzi wa stationary office nisaidieni jamani angalau nisogee
Back
Top Bottom