Search results

  1. M

    Nafasi za kazi

    haya changamkieni fulsa hiyo wahusika
  2. M

    MSAADA WANAJAMVI

    MWENYE KUJUA KAMA NGORONGORO WALISHAITA WATU KWENYE USAILI
  3. M

    MSAADA

    Wadau mwenye updates za Ngorongoro Conservation Area Authority kama waliisha ita watu kwenye usaili
  4. M

    Msaada: Hii shule ya St. Jude Arusha ukiomba kazi lazima ulipie?

    wameweka interms of dolla kama 75
  5. M

    Msaada: Hii shule ya St. Jude Arusha ukiomba kazi lazima ulipie?

    sio on line ni form tu unadownload kisha ndo unajaza yaap tangazo lipo kwenye official page yao
  6. M

    Msaada: Hii shule ya St. Jude Arusha ukiomba kazi lazima ulipie?

    form ipo mwishoni mwa tangazo lao la kazi... siwezi kutapeliwa ndo maana nimeleta kwenu wadau tufahamishane
  7. M

    Msaada: Hii shule ya St. Jude Arusha ukiomba kazi lazima ulipie?

    hii ni charity organization so kunawatu kutoka mataifa mbalimbali kama fundrising iv so sijaua kama na kwa watanzania iyo kitu ipo ndo maana nilikuwa namtaka mtu aliyewahi kufanya kazi hapo
  8. M

    Msaada wadau

    Kwa yeyote yule anayeifahamu shule ya st. JUDE Arusha kazi zake za kuajiliwa au kujitolea ni lazima uchangie kwa sisi Watanzania maana nimekuana na kazi katika kujaza form nikakutana na kipengele kinaeleza kuchangia plz plz anayejua msaada wadau
  9. M

    Msaada: Hii shule ya St. Jude Arusha ukiomba kazi lazima ulipie?

    Kwa yeyote yule anayeifahamu shule ya St. Jude Arusha kazi zake za kuajiriwa au kujitolea ni lazima uchangie kwa sisi Watanzania Nimekutana na kazi katika kujaza form nikakutana na kipengele kinaeleza kuchangia Tafadhali anayejua msaada wadau
  10. M

    Nafasi ya kazini kampuni ya sheli total

    Write your reply...mmmmmh haya na kutapeliwa humu humu
  11. M

    Utajuaje kama ajira portal wamekuita kwny interview baada ya kuapply?

    huwezi kuitwa ndugu hata kwa dawa mie nilikosea kidogo tu kwenye anuani hawakuniita
  12. M

    Recruitment Portal ya Utumishi ina shida gani?

    kweli aisee hata mie saiv nipo kwenye compture haifunguki kuta kuwa na shida bila shaka
  13. M

    MSAADA WANAJAMVI

    nna degree mkuu
  14. M

    MSAADA WANAJAMVI

    nimekupata asante
  15. M

    MSAADA WANAJAMVI

    degree mkuu
  16. M

    MSAADA WANAJAMVI

    habari zenu nna shida kama tatu iv msaada plz 1.kwenye ajira portal ukiwa unajaza detail zako unaweka vyeti ambavyo vimepita kwa mawakili au unaweka copy ya original ila wakati wa kutuma ndo unaweka vilivyo pitia kwa wakili? 2.barua iliyo sainiwa unasaini vip? ni hayo tu msaada jamani
  17. M

    MFANYAKAZI WA MGAHAWA ANAITAJIKA ARUSHA

    ningekuwepo uko ningechangamkia tenda
  18. M

    PLATNUM CREDIT.

    ngoja waje wanoa jua
  19. M

    Nafasi za kazi teamleaders

    ngoja tujaribu maana
Back
Top Bottom