Kwa HRM aliyekwenda shule ya Human resource anajua idadi ipi a-shortlist kulingana na nafasi zilizopo! Tatizo wengi wao wakikwambia
program walizosoma utacheka, kwamba kwa nini yuko pale!! Kwanza anaharibu resource za kampuni bila msingi, ikiwemo muda, pesa
coz hao watu wanalipwa,na muda huo...
Hivi ni kweli Wafanyakazi wa ofisi ya Mr Jairo walionesha furaha kutoka moyoni au ni unafiki na kutetea kibarua ili bosi huyu
asiwaone wabaya?.
Nawakilisha!
Kijana, usibabaishwe na hao wenye mawazo mafupi wanaotaka Tanzania iendelee kuwa na vyuo vikuu 3. Kamua kitabu chuo chochote ili mradi TCU wanakitambua. Tumewaona wengi sana wanaotoka kwenye hivyo vinavyo abudiwa, wakati wa interview ni matatizo matupu. English ya kuunga, kilichoko kichwani...
Hoja watazitoa wapi, wakati walio wengi wameingia kwa sababu ya pesa walizonazo na sio uwezo wa kufikiri walio nao? Nakubaliana na anayesema dawa tunayo sisi wapiga kura! Sasa kazi kubwa ni jinsi gani ya kuwaelewesha watanzania wanaodanganywa kwa vizawadi vya kilo za nyama wakati wa uchaguzi!!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.