Search results

  1. nnauje

    Kutuma SMS nyingi bila kuonesha namba yangu

    Habarini ndugu zangu, Ninaomba kusaidiwa kutuma sms nyingi sana bila kuonesha namba yangu, ikiwezekana litokee jina tu nitakalolipenda. Natanguliza shukrani kwenu.
  2. nnauje

    Kujifuta documents zilizo seviwa kuwa 0kbs

    Natanguliza shukrani kwenu wakubwa ,pc yangu kila nikisave documents kwa Microsoft word or PDF baada ya muda fulani huwa 0kb yaani sawa na hamna documents tena.naomba kusaidiwa shida ni nini? Na je natatuaje tatizo hilo?
  3. nnauje

    Kuonekana makundi ya ngono na lugha nisizoeleweka

    Ndugu naomba kujuzwa nini kinasababisha kuonekana kwa makundi hayo kwenye ukurasa wangu wa facebook ikiwa ni picha za ngono na lugha ambazo hazieleweki Naomba kusaidiwa namna ya kuzitoa maana ni aibu unaweza ukawa mbele za watu ghafla unaona hayo makundi ya hivyo ambayo ujawahi kujiunga...
  4. nnauje

    Naomba kujuzwa jinsi ya kustopisha video za facebook zisicheze bila ruhusa yangu

    Nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kama mada tajwa hapo juu naomba kuelekezwa jinsi ya kuzifanya video za facebook zisicheze au kuonyesha bila ruhusa yangu. Hili jambo nimeligundua ndio jini linalomaliza MB zangu na kama mujuavyo Mb zenyewe za kupima kwa vibaba...
  5. nnauje

    Nataka kuinunua hii PC

    Kwa heshima wanajf naomba ushauri wenu wa kitaalam kwa hii PC ,Mimi sijui chochote kuhusu PC nisije nikaibiwa.
  6. nnauje

    Window 8 inachelewa kuwaka

    Naomba msaada wana jf HP laptop probook 4331s ina window 8 pro build 9200 inachelewa kuwaka kwa kuandika window configuration failed.inaweza kukaka hata masaa sita haijawaka naomba msaada wenu Natumaini nitasaidiwa
Back
Top Bottom