Search results

  1. S

    Askofu Basileus Ezekiel Mabumba: Lowassa asipokuwa Rais 2015 mniue!

    Mungu atuepushie mabaya, kwa vyovyote Mungu amnyamazishe kimya asihusike na siasa za Tanzania.
  2. S

    Wizi wa fedha za mikopo Arusha University, nini kazi ya TCU?

    Board ya mikopo inafanya kosa kubwa sana, inaingia mikataba na wanafunzi, fedha zinapitia kwa chuo kumfikia mwanafunzi. Kinachotokea ni hata wanafunzi wanasaini kiasi ambacho kikilipwa hawapewi mchanganuo wake na hivyo kujikuta wanadaiwa fedha ambazo wajanja(vyuo) walikula. Mfano halisi ni...
  3. S

    Sikujua kama kuna minimum wage ya elfu 70!

    Fikiri mtu anafanya kazi mashamba ya maua(mengi yapo karibu na mijini) analipwa gross 77,000, net <=68,000 Kodi ya nyumba 20,000 - 25,000/mwezi. Mafuta ya taa lita 2,200 x? Sukari kilo 2,800 x? Mchele kilo 1,800 x ? Unga kilo 700 x ? Nyama kilo 5,000 x?(starehe!) Mafuta ya kupika lita x...
  4. S

    Serikali ikioza na wawekezaji pia

    Inawezekanaje kosa la serikali yenyewe adhabu apewe mfanyakazi, mwekezaji? Maelfu ya vijana wameanza kupoteza ajira baada ya kukosekana vibali vya kusafirisha mazao yao nje ya nchi, hali hii inazikumba hata kampuni ambazo hazisafirishi wanyama ila zinahitaji vibali vya CITES ambavyo mhusika...
  5. S

    Madhara ya kusimamishwa mkurugenzi wa wanyama pori

    Imebainika kuwa maelfu ya vijana wameanza kupoteza ajira baada ya kukosekana vibali vya kusafirisha mazao yao nje ya nchi, hali hii inazikumba hata kampuni ambazo hazisafirishi wanyama ila zinahitaji vibali vya CITES ambavyo mhusika ni aliyesimamishwa Mr. Mbangwa. Hali hii inasikitisha zaidi...
  6. S

    Halelujah kwa JF members wote!

    Naijua JF muda mrefu japo sikuwa member, matumizi mazuri ya JF, kuelimisha, kuhamasisha, yatasaidia wengi kwa utukufu wa Mungu. Habakuki 2:14.
  7. S

    Hivi logic ya kuajiri mpaka wahasibu wa India, Kenya ni sheria inaruhusu au uhamiaji scams?

    Kuna makampuni yapo mwekezaji =foreigner, manager =foreigner, mhasibu= foreigner, bankers=foreigner, auditors=foreigner Hata kama TRA watafanya audit yao kwa kawaida baada ya miaka 3 unategemea huo mlima wa data abaini wizi kweli kama si kupitisha kila kitu??? Kama serikali ingekua makini hasa...
  8. S

    Tunajenga mazingira ya kuibiwa wenyewe...

    Hivi logic ya kuajiri mpaka wahasibu wa India, Kenya inaingiaje akilini?? Kama serikali ingekua makini eneo kama la uhasibu ambapo information zote za kampuni zitakuwa recorded ingeamua piga ua lazima awe mtanzania vinginevyo tunacheza tu. Fikiri na mimi, mwekezaji =foreigner, manager...
Back
Top Bottom