Search results

  1. Kizibo

    Natafuta connection ya maduka ya jumla ya liberty jijini Mwanza

    Wakuu, naomba kwa mwenye connection ya wamiliki au wafanyakazi katika maduka ya Jumla ya Mtaa wa Liberty au popote jijini Mwanza anisaidie. Lengo kuu nataka kufanya nao mawasiliano wanipe mwongozo wa Kuwa naagiza bidhaa za dukani kutoka mwanza kuja Kisiwani Ukerewe. Natanguliza shukrani wakuu
  2. Kizibo

    MSAADA: Nasumbuliwa na homa kali leo ni siku ya nne

    Unasumbuliwa na homa kali na kukosa hamu ya kula siku ya 4 hii. Jana nilipima nikaambiwa ni minyoo, kichocho na U.T.I. Lakini nimetumia dawa homa na kukosa hamu ya kula vimegoma kabisaaa hata kupungua. Watalaamu naomba msaada nitumie dawa gani???
  3. Kizibo

    Mjamzito anapitia changamoto hizi, je nini chanzo?

    Heshima kwenu wakuu. Kuna mama /dada ni mjamzito. Sio ujauzito wake wa mara ya kwanza. Anapitia changamoto hizi. ★Tumbo kuuma chini ya kitovu, linauma baadae linaachia lenyewe na kujirudia rudia. ★ Kichwa kuuma mara kwa mara. ★ Kuhisi baridi sana mara kwa mara. ★ Kuhisi kizunguzungu...
  4. Kizibo

    Mtaji wa biashara yangu umeanza kukua, sasa naomba mnisaidie jambo hili

    Heshima kwenu wakuu. Mimi ni mfanyabiashara mdogo wa duka, Ukerewe . Kuanzia mwezi wa 6 kurudi nyuma, nilikuwa mtu wa kuhemea mzigo kwenye maduka ya jumla hapa hapa Nansio kwa pesa taslim laki 4 na kushuka. Yaani uwezo wangu ulikuwa wa kununua mzigo wa bidhaa kwa laki 2, laki 2.5, laki 3-4...
  5. Kizibo

    Mtaji wa biashara zangu umeanza kukua, sasa naombeni mnisaidie jambo hili

    Heshima kwenu wakuu. Mimi ni mfanyabiashara mdogo wa duka, Ukerewe . Kuanzia mwezi wa 6 kurudi nyuma, nilikuwa mtu wa kuhemea mzigo kwenye maduka ya jumla hapa hapa Nansio kwa pesa taslim laki 4 na kushuka. Yaani uwezo wangu ulikuwa wa kununua mzigo wa bidhaa kwa laki 2, laki 2.5, laki 3-4...
  6. Kizibo

    Watalaamu wa uchawi, mitishamba na tiba asilia naombeni msaada wa kuelewa

    Heshima kwenu wakuu. Katika kutafuta maarifa huku na kule, nikapata RITUAL moja hivi kwenye website fulani. Hiyo ritual ina maelekezo katika vipengele 11. Katika hivyo vipengele 11 kuna ambavyo nashindwa kuelewa ndio nimekuja kuomba msaada kwenu watalaam wa mambo ya kiroho na watalaamu wa...
  7. Kizibo

    Natafuta wauza nafaka kwa jumla jijini Mwanza

    Habari za mchana wakuu. Mimi niko ukerewe-Nansio. Natafuta wafanyabishara wa nafaka wa jumla walioko jijini Mwanza. Nafaka ninazotaka ni kama vile maharage, karanga, kunde, dengu, choroko n.k Nataka wawe wananitumia mzigo kwa njia ya meli. Asante. Halafu moderators mbona mnafuta sana nyuzi...
  8. Kizibo

    Natafuta mchumba (mwanamke)

    Habari za wakati huu wakuu, Mimi najitokeza kutafuta mchumba (binti) mwenye asili ya Mishamo, Katumba au Ulyankulu. SIFA ZAKE ★ Umri 20-26. ★Awe mweupe kiasi (asiwe mweusi wala mweupe sana). ★Awe mrefu kiasi (asiwe mrefu sana wala mfupi sana). ★Awe na mwili wa kawaida, asiwe mnene sana ★Awe...
  9. Kizibo

    Natafuta mawasiliano ya duka la dawa za Kiarabu Lililoko Mwanza Mjini

    Habari za mchana wakuu. I hope mko salama. Mimi pia niko salama na mwenye afya njema. Natafuta mawasiliano ya duka la dawa za kiarabu lililoko mwanza mjini. Nataka hasa namba za simu. Kuna bidhaa nataka niwe natumia kwa njia ya meli kutoka mwanza (dukani) kuja Ukerewe (Nansio Mjini). Ni bidhaa...
  10. Kizibo

    NADHARIA Mafuta ya nywele ya Body Luxe yanasababisha Mvi za mapema kwa Mtumiaji

    Matumizi ya muda mrefu ya mafuta ya nywele aina ya body luxe (body luxe hair oil) husababisha mvi kuota kwa kasi katika umri mdogo. Hapa nazungumzia haya mafuta ya nywele ya body luxe yenye kopo la pink lenye picha ya mwanamke ana nywele ndefu. Picha: Muonekano wa chupa za mafuta ya Body Luxe...
  11. Kizibo

    Nansio Ukerewe: Kijana aponda mbwa na jiwe kwa mkono wake na kubaki umenyooka

    Kijana huyo ambae hajafahamika majina alimponda mbwa na jiwe jana usiku majira ya saa 2 usiku. Tukio hilo la kustaajabisha liliyokea/limetokea Ukerewe Nansio maeneo ya Bakwata (Musoma road) mwisho wa lami. Picha kukujia punde
  12. Kizibo

    Wapi naweza kupata Amonia ya maji jijini Mwanza?

    Heshima kwenu wakuu. Napenda kuuliza, kwa hapa mwanza ni katika maeneo gani na katika maduka ya aina gani (category) naweza kupata ammonia ya maji? Na je bei yake ni kiasi gani? Asanteni sana
  13. Kizibo

    Nataka kufunga mita yangu ya luku dukani nijitenge na wengine, naombeni ufafanuzi na gharama

    Wakuu heshima kwenu. Naombeni ufafanuzi na maelekezo ya kufata Ili kufunga MITA ya luku inayojitegemea. Je hatua gani za kufata? Vitu gani vinahitajika? Gharama ya mchakato mzima ikoje?? Asanteni sana. TANESCO
  14. Kizibo

    Naombeni kuelekezwa jinsi ya kudownload hizi movies kutoka channel ya Telegram

    Wakuu, sina mengi ya kuandika, heading inajitosheleza na picha nimeambatanisha. Kuna channel naona wameweka mizigo ya maana ya kivita ila nashindwa kuzidownload
  15. Kizibo

    Hatimaye nami nimepata mchumba wa kuoa

    Wakuu salam! Nimekuwa nikihangaika kutafuta msichana wa kuoa kwa miezi kadhaa bila mafanikio. Nikadiriki kuleta uzi kule love connect kutafuta msichana wa kuoa lakini sikuambulia hata salam ya msichana hata mmoja. Baadae nikawa navizia wasichana wanaoleta maombi ya kutafuta wenza kule love...
  16. Kizibo

    Ni kwa namna gani Karate/Kung Fu hujenga nidhamu?

    Heshima kwenu wakuu wote wa humu Jamii Forums. Kwa Watalaam wa michezo ya kujihami, ningependa kujua, Ni kwa namna gani michezo hiyo hujenga nidhamu kwa mtu husika (anaejifunza/anaecheza)? Nimekuwa nikisikia eti karate au Kung Fu hujenga Sana nidhamu, leo naomba kujua hilo wakuu. Asanteni na...
  17. Kizibo

    Wajuzi wa karate, ni kwanini Bruce Lee alikuwa anajikaza sana wakati wa kupigana?

    Watalaam wa karate naomba mnisaidie hili, Ni kwa sababu gani Bruce Lee akiwa anapigana alikuwa anajikaza Sana mwili na kutoa sauti Kama za paka, Mara apige kelele za ajabu. Yaani kajamaa unkuta kamekakamaa yaani.
  18. Kizibo

    Hongera sana Kayumba

    Naomba nitumie nafasi hii kumpongeza Sana kijana mwenzangu, mwanamziki KAYUMBA kwa kazi nzuri unayoifanya. Napenda Sana kazi zake. Na hii ngom mpya ya CHUNGA umetulia Sana kuanzia MAUDHUI, MELODY, MATUMIZI YA LUGHA (hajatumia lugha za matusi unaweza kusikiliza na wazazi), HATA VIDEO NI NZURI...
  19. Kizibo

    Uzi maalumu wa kupeana maujanja ya tiba/huduma ya kwanza ya mitishamba isiyo ya kishirikina

    Heshima kwenu waheshimiwa. Nauleta huu uzi kwa kujua na kuheshimu ukubwa wa jamii forums kuwa ina kila aina ya watu wenye vipaji, maarifa na karama na vipawa mbali mbali. Huu uzi Ni ombi kwenu wakubwa, naomba kwa uzi huu tu-share tiba au huduma za Kwanza za mitishamba zisizo za kishirikina...
  20. Kizibo

    Uzi maalumu wa kuelezena Yale ambayo zamani ulikuwa huyaelewi ukaja kuyajua baadae au hadi Sasa huyaelewi.

    Mimi binafsi Kuna vitu zamani nilikuwa sivijui, baada ya kuvijua nilicheka Sana. Kuna ile slogan ya kwenye tangazo la tigo zamani kidogo, mimi nilikuwa nasikia wanasema ESHESHESHEEEEE baadae nikaja kugundua wanasema EXPRESS YOUR SELF Nilijiona Fara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...
Back
Top Bottom