Search results

  1. T

    Dr. Conrad Murray sentenced to 4 years in death of Michael Jackson

    Tanzanian Doctors take note of that! source: yahoo home page!
  2. T

    Mahakama kuu yatupilia mbali pingazi la matokeo ya ubunge jimbo la Kilwa Kusini

    Mahakama kuu imefikia uamuzi huo baada ya kikao chake kilichofanyika huko Kilwa Kusini; hivyo kufanya Mbunge kupitia tiketi ya CUF kuendelea na wadhifa wake huo; huku aliyekuwa mgombea wa CCM aliyetoa pingamizi hilo akitoka kichwa chini. Source: tbc1 taarifa ya habari saa 2 usiku leo;
  3. T

    Mtatiro: CHADEMA wameanza kuiga mbinu chafu za CCM za kuhonga wapiga kura

    Mananeo haya yamesemwa na Naibu Katibu mkuu CUF-Tanzania bara, ndugu Julius Mtatiro wakati akihojiwa na TBC1 kwenye viwanja vya halmashauri ya Igunga mara baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi wa mbunge katika jimbo hilo ambapo mgombea wa CCM alitangazwa kuwa mshindi! wana chadema je mna...
  4. T

    Elections 2010 Uchaguzi igunga; CCM kuibuka kidedea

    wana JF haya ni maoni yangu na ninafikiri ndio utakaokuwa ukweli wenyewe; kutokana na nguvu kubwa waliotumia chama tawala ccm katika uchaguzi mdogo wa Igunga, kwa maoni yangu mimi chama cha mapinduzi (ccm) kitaibuka kidedea katika uchaguzi huu. kwa mantiki hiyo natabiri kuwa matokea yatakuwa...
  5. T

    Mwandishi wa habari afariki katika mazingira ya kutatanisha Mwanza

    kuna tetesi kuwa mwandishi wa habari amefariki katika mazingira ya kutatanisha mwanza. yasemekana ni kwa ajili ya kufuatilia habari za kisiasa. naomba fuatilieni zaidi. source: STAR TV
Back
Top Bottom