Search results

  1. Stanley Mitchell II

    Aliyepandisha gharama za Toto Afya kadi ni muuaji. Magufuli tunamkubuka kwa hili

    Ukiendelea kuongelea pumba za uzalendo utakufa hivu hivi unajiona. Tafuta hela Mzee. Hakunaga uzalendo, ni mwendo wa kibepari tu, huja hela unakufa!
  2. Stanley Mitchell II

    Rais Samia tafadhali fahamu Uhuni huu Usiovumilika unaofanywa na Polisi wako Kuingiza Watu Kinyemela Uwanja wa Benjamin Mkapa

    Acha roho ya kimaskini wewe. Yani 2,000 x 50 =TZS100,000 askari kuipiga ndio unakuja kulia lia hapa. Umaskini ni mbaya. Ila kuwa na fikra za kimaskini ni jambo baya zaidi ktk maisha ya Mwanadamu.! Kenge kweli wewe. Sent from my SM-A536E using JamiiForums mobile app
  3. Stanley Mitchell II

    Meja Kunta alalamika kutishiwa maisha na Wasowiso na Makers the Gang, Serikali iingilie kati

    Samahani huyu jamaa ni Meja wa Jeshi hili hili la Wananchi au? Sent from my SM-A536E using JamiiForums mobile app
  4. Stanley Mitchell II

    Baruan Muhuza alishaondoka AzamTv?

    BOKO Of theYear, uf nothing else... Sent from my SM-A536E using JamiiForums mobile app
  5. Stanley Mitchell II

    Plot4Sale Nauza viwanja na nyumba maeneo mbalimbali Dar

    Ilo Pagala ndio unauza 120m? Hapo kumsaidia unampa 12m. Pumbavu! Eti ina fence! Shit
  6. Stanley Mitchell II

    Gari nyingi za Toyota za sasa ikishachemsha, fikiria kununua mswaki au engine complete nyingine

    Si muachane na huo upuuzi unaitwa TOYOTA?? Kwani Benz hamzioni??? Acheni upuuzi.
  7. Stanley Mitchell II

    Wazee hizi MDA na LGA ndio vitu gani haswa kwenye maswala ya utumishi?

    Unabwabwaja tu hujui hata nimeandika nini hapo. Nani kasema Serikali waajiri ni wawili kama sio mmoja? Kwa mentality hiyo marejesho ya FINCA Faidika Tunakopesha Ltd. yatakuandama sana. Hivi ulikuaje mtumishi wa umma kwanza??
  8. Stanley Mitchell II

    Wazee hizi MDA na LGA ndio vitu gani haswa kwenye maswala ya utumishi?

    Utumishi wa Umma hatutaki janja janja. Kuchezesha ndio kitu gani?
  9. Stanley Mitchell II

    Wazee hizi MDA na LGA ndio vitu gani haswa kwenye maswala ya utumishi?

    Ukishaskia MDAs ujue ngoma inalipwa Hazina. Mnatakiwa mjue jinsi mifumo ya nchi hii inavyofanya kazi ndio mtawaweza kufaidi keki ya Taifa
  10. Stanley Mitchell II

    Wazee hizi MDA na LGA ndio vitu gani haswa kwenye maswala ya utumishi?

    We lisha wadau matango Pori tu. MDAs kwanza hazina uwezo hata wa kugharamia mchakato wa ajira za utumishi ndio maana wanapewaga watu wa kwenye "Database".
  11. Stanley Mitchell II

    Wazee hizi MDA na LGA ndio vitu gani haswa kwenye maswala ya utumishi?

    Chongo na Kengeza hao. Ila MDAs ukipata M ya kueleweka angalau kipofu kaona mwezi
  12. Stanley Mitchell II

    Wazee hizi MDA na LGA ndio vitu gani haswa kwenye maswala ya utumishi?

    Ogopa kitu kinaitwa LGA , utashinda na njaa sana. Itakua mfumo wako wa maisha yani namaanisha chai jagi kitumbua kimoja. Ile Idea ya moja ya tatu, wasomi wanaiita "one-third" ilitokana na watumishi wa LGAs feat. ndugu zao wa MDA kulala na njaa sana. Wadau wako wa Maendeleo watakua ni...
  13. Stanley Mitchell II

    Walimu wa Mburahati sekondari mmeupiga mwingi, hiyo inaitwa 'indirect resistance'

    Unawaza kwa kutumia kalio au? Wanaoumia ni wazazi na watoto wao....and we don't care...... Sisi wenye Nchi wa kwetu wanasoma Feza et al.
  14. Stanley Mitchell II

    Ijue sababu ya marafiki wa DSM kuwakimbia na kuanzisha visingizio pale inapofika mda wa kupokea washkaji zao wa mikoani

    Ndio maana mwanzoni nilikuita mjinga mjinga now umethibitisha. NY inaongozwa kwa mifumo unashindwa vipi kusurvive? Huyo boya aliyekutelekeza naye alikuona we mbwiga akaamua akuteme. Haya hiyo Queens unayodai ulifikia ni Jamaica Avenue au?
  15. Stanley Mitchell II

    Gavana wa BOT amemaliza muda wake au amestaafu?

    Unaitafsiri sheria kimakalio makalio Mkuu. Shall be eligible for reappointment subject to..... Apo kwenye "subject to...." sasa ndio wenye Nchi tunachagua mtu wetu wa kumuweka.
  16. Stanley Mitchell II

    Ijue sababu ya marafiki wa DSM kuwakimbia na kuanzisha visingizio pale inapofika mda wa kupokea washkaji zao wa mikoani

    Kwa sababu we mjinga mjinga. Kwa sisi tulioishi NY, ungeenda ubalozi mdogo wa NY ukaongea na Balozi Kenedi akupe zile floor za juu hazitumiki uwe unaishi humo wakati unajipanga. Tena ungekua unakaa Downtown NY. Otherwise ungetafuta Mbangladesh mmoja akupe mchongo uwe Cab Driver.
  17. Stanley Mitchell II

    Emmanuel Tutuba ateuliwa na Rais Samia kuwa Gavana wa Benki Kuu (BoT)

    We nawe hamnazo. Ungekua exposure sawa ningetumia jitihada kukuelewesha. Mfano States huwezi kukuta Rais anaingilia ishu za FBI au CIA. Kwanini? Hakunaga ule upuuzi wa ujamaa na kujitegemea. Mfano tu Kenya hapo wanajitahidi sana becuz hakukua na upuuzi wa ujamaa
  18. Stanley Mitchell II

    Emmanuel Tutuba ateuliwa na Rais Samia kuwa Gavana wa Benki Kuu (BoT)

    Acha kulisha wadau matango pori wewe. Hujui 'system ya nchii inavyofanya kazi wewe'. Unamchukulia poa PS wewe. Ukiskia 'Maelekezo ya Serikali' ujue Katibu Mkuu kaunguruma. Katibu Mkuu anatoa maelekezo ya serikali kwa Taasisi zote zilizo nchini ya Wizara yake, sio wateule wote wa Rais...
  19. Stanley Mitchell II

    Emmanuel Tutuba ateuliwa na Rais Samia kuwa Gavana wa Benki Kuu (BoT)

    Bado upeo wako unatia mashaka sana. Tatizo shuleni mlifundishwa 'Colonial Legacy' wakaacha 'Ujamaa Legacy" ndio upeo unadumaa sana. Hakunaga 'Independent Departments' ktk 'Nchi zenye asili ya Kijamaa kuna kitu inaitwa 'Direct Control of State'.
Back
Top Bottom