Search results

  1. Ninja assasin

    Wazee wa Kuedit picha

    Wanapendelea kuedit picha kule fb baba lao huyu apa mwamba Akiwa na avengers Akiwa na fast and Furious 7 Vip na hapa Akiwa na Harry Potter
  2. Ninja assasin

    Mawazo ya Masoud Kipanya kuhusu ubigwa wa Simba SC

    Nimekutana na hii post ya Kipanya kuhusu ubigwa wa Simba SC Leo kiukweli nimetoka kapa mwenye wazo jamaa alitaka kusema nini
  3. Ninja assasin

    Msaada: nimepigwa ban kutumia whatsup

    Naomba msaada jinsi gan naweza kuepukana na hii ban sijawahi tumia aina nyingine ya WhatsApp kama Gb WhatsApp kweny Sim yangu anae jua njia za kufuata anipe muongozo
  4. Ninja assasin

    Endapo wachezaji wa mpira wa miguu wangekuwa characters wa game of throne mambo yangelikuwa namna hii

    For football and game of throne fans mambo yangelikuwa hivi endapo characters wa series bora ambayo haijawahi tokea na haiji tokea wangerikuwa wachezaji wa mpira wa miguu Vip ni character yupi angefaa kuongezwa
  5. Ninja assasin

    Msaada kupata magazeti ya sani

    Wakuu naombeni kujua jinsi gani naweza pata makala za kitambo nimejikuta nawamisi akina lodi lofa mapungo pimbi baba ubaya na wengine wengi nimejaribu google sipati mzigo kamili
  6. Ninja assasin

    Nimweka chumvi kwenye chai nifanyaje

    kunywa
  7. Ninja assasin

    Best vampire movie and series tupeane update

    Kwa wazee tunaokubali movies au series za wazee wa ngwasuma ma vampire tukutane apa tupeane update kwangu mm movies bora nilizo ziona ni Underworld Underworld rise of lycan Underworld awaken Underworld blood war za mtaalam Kate Beckinsale uyu demu ni mashine Underworld evolution kwangu mm...
  8. Ninja assasin

    Msaada: Internet ya Tigo haisomi kwenye Samsung S8

    Wakuu naomba msaada, laini ya Tigo haifungui data. Simu ni Samsung S8. Naomba wataalamu wa kucheza na setting mnisaidie.
  9. Ninja assasin

    Msaada kioo cha simu phantom 6

    Wakuu naomba msaada wa kupata kioo cha simu ya tekno phantom 6 ningependa kujua bei na mahali naweza pata natanguliza shukrani
Back
Top Bottom