Search results

  1. Ninja assasin

    Jukwaa gani ni pendwa kwako ndani ya JamiiForums?

    intelligence ndio jukwa la kwanza kufungua nikishika simu (ndio sabb ya ku join JF) international (vita ya Israeli & Palestine) (Ukraine & Russia)
  2. Ninja assasin

    Nchimbi anaibua Mazuri ya Serikali dhidi ya Mabaya Machache, Makonda anaibua Mabaya Mengi dhidi ya Mazuri machache kati yao nani Bingwa wa Siasa?

    nasimama na bashite hao wazee hawana mvuto wowote kazi kusifia Chama wakati huo bashite alisimama kutetea wananchi
  3. Ninja assasin

    Hivi ni nani alipitisha Kikokotoo, mbona Wabunge wa CCM wanakikataa, au ni Utapeli wa kisiasa kuelekea Uchaguzi?

    Ile Ending yake sasa ya kibabe sana 😁 "Kijana mzalendo namba Moja na namba ya simu" ila kwenye mada kama hizi hua anapita kwa kunyata 😂
  4. Ninja assasin

    Hivi ni nani alipitisha Kikokotoo, mbona Wabunge wa CCM wanakikataa, au ni Utapeli wa kisiasa kuelekea Uchaguzi?

    Sijui ni mtag Luka aje akipambanie chama? Aaa ua bachii
  5. Ninja assasin

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Good thing ulishangilia sana October 7 siku Moja tu ilikupa Furaha isiyo na kikomo but bad thing imebaki ni kilio tu apo Gaza strip kuzika watoto na kina Mama Soon Tena waislam wenzako wateperekwa peponi kuinjoy kama mashaheed so hatutaki kusikia ngonjera za ceasefire
  6. Ninja assasin

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Grandma usije Anza kulia maiti za watoto na kina Mama zikianza kuokotwa barabarani za waislam wenzako maana kwa video footage iron dome ina intercept drones kalibu zote swali ni je Israel nayo ikituma hao miamba Yako Hezbollah wana air defence ya kuzuia mashamburizi? Vip kuhusu target Hakuna...
  7. Ninja assasin

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    Mtu anaie shabikia hii vita kwa kutumia hisia na mahaba Ndio zao kuropoka bila evidence yoyote ni watu wa ku wa ignore wajifurahishe mioyo yao ukimwambia weka ushahidi wako mezani atabaki na vijistori vya kwenye kahawa
  8. Ninja assasin

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    Jamaa anajua kupiga mkwara huyu vitendo sasa 😂😂😂
  9. Ninja assasin

    Israel yamuua Kiongozi wa juu wa kikundi magaidi wa Hezbollah, Ali Ahmed Hassin

    Bro Trump ni candidate Lakini Biden ni incharge mpaka sasa so mawazo ya Trump ni mawazo ya Raia na sio Office japo ni MTU mwenye nguvu ila Kwa Sasa hana mamraka Katika nchi wajua kucheza mind games ni US wakitumia Media inafurahisha ulivyo sema. "Hata US sasa hivi kutoa msaada kwenda Israel...
  10. Ninja assasin

    Israel yamuua Kiongozi wa juu wa kikundi magaidi wa Hezbollah, Ali Ahmed Hassin

    Only if US and UK wakiwa wame collapse kwanza but As Long as baba ake na kaka ake wapo hai sahau iyo kitu
  11. Ninja assasin

    Kwa vile Israel imekubali yaishe; je, kuna umuhimu kuonewa huruma ili dunia ipate nafuu?

    Mkuu ninacho kukubali ni very matured mala nyingi watu naona wanakutolea lugha mbaya lakn unajibu vizuri very cool yaani not like others ambao mala nyingi huanza na sijui kafiri wewe sijui nenda kabarikiwe shoga ww Wengine sisi jF ni DARASA tupo kujifunza vitu ambavyo either hatuvijui kabisa au...
  12. Ninja assasin

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    kama hii ni kweli Iran ni mchumba tu zuchuuuu
  13. Ninja assasin

    Israel yarudisha majeshi nyuma kutoka Rafah na katikati ya Gaza. Hii ina maana gani

    Hivi malaria kuna kitu waga unawaza tofauti na uislamu?? maana huna tofauti na mrokole anae nunua mafuta ya upako wote mshakua Religion psychopath mnampigania Mungu mpaka unajiuliza huyo Mungu hana uwezo mpaka anapiganiwa hivyo na wanadamu?
  14. Ninja assasin

    Yericko Nyerere aandika Kitabu Kipya cha MOSCOW: Operesheni Ukraine

    Sema mwamba bei zake sio za kizalendo kabisa 😂
  15. Ninja assasin

    Kapteni Mabior Garang akiwa nje ya nyumba ya Mama yake huko Jebel Sudan Kusini

    Mwamba kala chachacha mguuni mbele ya magu na wala hajali
  16. Ninja assasin

    Jeshi la Ardhini la Israeli IDF limeshindwa kuwakomboa Mateka Rasmi

    Hii haiwezi kua sababu kuu ya Israel ku withdraw vikosi vilivyo kua gaza Israel anakiburi na amri kama hizo kesha ambiwa mara nyingi kazipuuzia Israel saizi ana mfupa mgumu wa kuutafuna (Iran with his proxies) ambao obviously anaitaji Askari wengi kwa utayari wa vita inayo tazamiwa kutokea hii...
  17. Ninja assasin

    Binti asakwa na Polisi kwa kudaiwa kuweka dawa za nguvu za kiume kwenye tanki la maji

    Imagine mchungaji akiwa madhabahuni ana hubiri na kanywa maji ya uzima Huyo Binti ni shujaa atumzwe kwa ajili ya maslahi mapana ya Taifa
  18. Ninja assasin

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    Israel kaanza ku withdraw vikosi vilivyo kua gaza kujiandaa na hii vita kubwa ambayo ipo mbele yake vita ambayo itabadilisha taswira ya middle East Haijalishi Israel yupo vizuri kiasi gani kwenye counterintelligence kupitia MOSSAD ila kwa hii death shadow inayokuja bila kaka yake kuingilia kati...
Back
Top Bottom