Search results

  1. pet geo pet

    Nina mtaji wa 2M naomba wazo la biashara

    Wakuu habarin! Nimejitaidi kufanya kazi kwa muda mrefu Sana mpaka nikafanikiwa kukusanya kiasi cha Million 2 ila nimeshidwa nifanye biashara gani. Wakuu mwenye wazo la biashara naomba anisadie, napatikana Mwanza, kuajiriwa nimechoka Sana. Naombeni wazo la biashara wakuu.
  2. pet geo pet

    Natafuta kazi ya kufundisha

    Rejea kichwa cha habari... naomba mtu yeyote au muajiri aliepo humu JF naomba kazi ya kufundisha masomo ya English language, history na civic elimu yangu ni shahada ya ualimu... Napatikana Mwanza - Ilemela...nipo tayari kwa usaili muda wowote iwe kwa mazungumzo au kwa vitendo.. Karibu Sana...
  3. pet geo pet

    Mtoto wangu nimpeleke chuo kipi??

    Wakuu habarini za usiku huu! Leo Baraza la mitian limetangaza matokeo ya kidato cha nne miongoni mwao alikuwepo binti yangu alihetimu mwaka jana..ivyo amepata matokeo yafatutayo: 26 IV CIV - 'C' HIST - 'D' GEO - 'C' KISW - 'C' ENGL - 'D' CHEM - 'D' BIO - 'F' B/MATH Nimejaribu kuongea na walimu...
  4. pet geo pet

    Naombeni ufahamu kuhusu huduma za N-Card

    Wakuu jana nimelipia pesa kwaajili ya mechi ya Yanga dhidi ya Geita kwa bahati mbaya nimepata shida, sitoweza kufika uwanjani. Je, pesa yangu itabaki kwenye kadi au ndiyo imepotea hivyo? Mwenye uelewa kuhusu N-Card naomba kujuzwa hili.
  5. pet geo pet

    Korodani (scrotum) inavimba, nitumie dawa gani?

    Wakuu siku kama saba 7+ zilipita nilishiriki tendo na Dada mmoja kwa kutumia kodomu lakini baada ya siku mbili niliona Pumbu linauma hasa lile la kulia lilikuwa likivimba sana na kuuma kila likigusa suluali. Nikaenda famasi kuchukua dawa ila kwa maelezo yake akaniambia naumwa mchango au...
  6. pet geo pet

    Mwalimu wa history & English anatafuta kazi

    Ndugu zangu habrini! Mimi ni mwalimu wa masomo tajwa hapo juu.nilimaliza elimu yangu ya juu mwaka 2018 katika taasisi kubwa sana hapa nchi. Nina uzoefu wa kufundisha kwa miaka miwili na miezi 6. Kwa yeyote mwenye shule au mwenye uitaji wa mwalimu wa hayo masomo hapo juu nipo hapa,binafsi ni...
  7. pet geo pet

    Ni kweli mwanamke huleta baraka katika ndoa

    Mimi ni kijana amabaye sijaoa mpka sasahivi ninakaribia 28+ lakini vijana wenzangu katika rika hili wameshao. Kilichonifanya niseme wanawake wana baraka ni maendeleo ya vijana wenzangu walioyapata soon tu baada ya kuoa. Mwanzo tulikuwa na maendeleo sawa pia hata kipato kikawa sawa kabisa. Ila...
  8. pet geo pet

    Mwalimu wa English & history natafuta shule

    Wakuu habarini! Mimi ni mwalimu katika masomo tajwa hapo juu,niliehitimu elimu yangu katika taasisi kubwa tu hapa nch mwaka 2018 Nina uzoefu wa miaka miwili katika fani ya kufundisha,hivyo mwenye nafasi katika shule yake au mwenye connection yeyote naomba aniunge nayo, Kwa sasa napatikana...
  9. pet geo pet

    Nitapataje pesa zangu ZSSF?

    Mimi ni mwalimu nilikuwa nafundisha shule moja Mwanza. Mshahara uliokuwa unatambukilika kisheria na kimkataba ilikuwa laki mbili(200000) tu. Makato yalikuwa ZSSF= 20000TSH KODI (PAYE)=ILIKUWA 900 KITU kilichoniachisha kazi mwajiri anataka apeleke pesa ya bodi ya mikopo 15% nikaona niandike...
  10. pet geo pet

    Course gani anaweza somea mdogo wangu?

    Kuna mdogo angu amemaliza form four mwaka kaja 2020 kwa bahati mbaya alipata four ya point 26 kama ifutavyo Biology C, Math F, Kiswahili C, History D, Geography D, Civics D, English, D Naombeni ushauri anaweza soma course gani kwa vyuo vya Private?
  11. pet geo pet

    Wanawake wa Kichaga wanawapenda sana Wanaume wa Kisukuma

    Wakuu habari. Kwa elimu yangu hii nimesomea A. Level na chuo maeneo ya kasikazini ila katika uzoefu niliojionea uko uchagani sio siri wanaume wa kisukuma wanapendwa sana yaana ukimwambia kabila tu kuwa mimi ni msukuma hapohapo kashakupenda sijui kwanini. Swali langu kwa nyie wachaga mbona...
  12. pet geo pet

    Rafiki yangu amelogwa na mwanamke kisa alimuahidi kumuoa

    Wakuu habarini za mwaka mpya. Kuna rafiki yangu alikuwa anatembea na binti mmoja toka 2017,alifikia mpka hatua ya kutambulishana ili badae waone hapo badae. Jamaa angu badae alikuja kuachana nae ilikuwa 2019 mwishoni,cha ajabu akaoa mwanamke mwingine na kufunga ndoa hapa mtaani. Mwanamke...
  13. pet geo pet

    Ananitega, nifanyeje jamani ili niepukukane na dhambi hii!

    Wakuu habari za Jumapili ya mwisho wa mwaka. Nina rafiki yangu wa kike tulikuwa tunafanya nae kazi sehemu Fulani kwa bahati mbaya kampuni ilifungwa wakati wa corona. Hivyo tukawa tunawasiliana Mara kwa mara, yeye ana mtu wake mkoa Fulani anafanya kazi, ila huwa anakuja mara moja moja sana...
  14. pet geo pet

    Ushuhuda kuhusu 'Dada Poa'

    Leo nimekutana na Dada mmoja ambae alikuwa rafiki yangu sana enzi za kipindi cha shule. Kuna jamaa aliniambia kuwa rafiki yako yule wa kike kashakuwa Dada poa maeneo ya Dar sehem fulani. Basi sikuamini kabisa kwani nilijua utani kwa njisi alivyokuwa,Leo ndo nimekutana nae maeneo fulani hivi...
  15. pet geo pet

    Kama kuna MTU anafanya kazi tamisemi au yeyote anaefahamiana nae naomba tuwasiliane

    Wakuu nashida na MTU yeyote anaefanya kazi TAMISEMI Dodoma. Kuna kitu cha mhimu sana nitapenda anisaidie Kama yupo humu naomba a comment hapa chini then namfata pm nashida sana au yeyote anaefahamiana na MTU TAMISEMI naomba msaada huo.
  16. pet geo pet

    Naweza pata mkopo kwa kutumia vyeti vyangu?

    Wakuu habari! Ninavyeti kama ifuatavyo,cheti cha darasa la saba, cheti ya o'level, cheti cha A'level, cheti cha chuo,na vyet vya dini ambavyo nilifahuru kwenda seminary kwa kupata daraja A. Naomba kujua kuna taasisi yeyote ile inakopesha kwa vyeti hivi ili nikaweke kama dhamana niweze kupata...
  17. pet geo pet

    Natafuta kazi ya ualimu wa masomo ya History na English

    Wakuu habari! Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 niliemaliza shahada yangu 2018 katika moja ya chuo kikubwa hapa Tanzania katika fani ya ualimu wa masomo tajwa hapo juu. Nipo mbele yenu kuomba kazi yeyote ile halali niweze kufanya na kuonesha ujuzi wangu hasa katika fani ya kufundisha nipo...
  18. pet geo pet

    Mzazi ni mtu wa ajabu sana

    [emoji810]Mzazi siku zote hufurahia mafanikio ya mwanae kuliko mtu yeyote yule [emoji810]Mzazi ni ngumu sana kumlilia shida mwanae, kwa sababu anahisi kuwa anaweza kumsumbua au kumuharibia mipango yake. [emoji810]Mzazi ni mtu pekee anayeweza kufurahi kulala njaa ili hali mwanaye ameshiba...
  19. pet geo pet

    Rafiki yangu amefanya ngono na Mtu mwenye VVU (Virusi Vya UKIMWI)

    Wakuu habari za usiku huu! Kuna rafiki angu alipata demu (mpenzi) hivi punde wakafanya nae mapenzi kama siku tano kama sio sita. Mwanzoni alikuwa anatumia kodom kila akifanya nae mapenzi ila anampiga kamoja tu then anaondoka. Watu walivojua kuwa anamahusiano nae yule mwanamke wakampa taarifa...
  20. pet geo pet

    Uchaguzi 2020 Namba tutaisoma wote

    Katika pitapita zangu nimeona wafauasi wa CCM karibu nchi zima wanafurahia kuanguka kwa wapinzani nguri wa Tanzania kama vile HECHE,MDEE,ESTHER, LEMA,SUGU,MBOWE,MSIGWA,na wengineo. Hawa viongozi msidhani wanashida kama hawa wanaofurahia kila siku CCM mbele kwa mbele ukiangalia hata uhakika wa...
Back
Top Bottom