Sasa hapo ndipo bado natatizika inatakiwa isizid ngap kwa hal yake hivi sasa maan toka juz inakuwa 131 134 haijafika 140 je nikiona imefika ngap nijue hal s shwar kwake yey maan hapa kituo kingine cha afya wananiambia yuko sawa s mbaya ...naomba ushaur wako mkuu ili kuepusha madhara kwa presha...
Sawa tunajitahid kupima asubuh na jion maana huyu doc mwingine alisema haina haja sasa kutumia vidonge kushusha presha alihofia asije kumshusha maan alisema si mbaya sana
Sio ubishi n kuelekezana na nlienda hospital nyingine wakasema kuwa hana presha na hawawez muanzishia dawa sabb hana ttz hilo na ni kawaida kwa hal yake wakasema amepimw kwenye mazingira sio sahihi...Sasa nlitaka nipate elimu zaid
Miguu huwa haivimbi wala kichwa kuuma wala kuona maruweruwe....jana tulitoka umbal mrefu kidg mpk hapo hospital na hakutulia wakampima ikawa 135kwa 88 ...tukakaa kidg kama lisaa hivi kwenda huku na kule doc wakampima akakuta 145 kwa 91 ......ndipo akasema n hatar sana amuangalie siku 2 kama vip...
Huyu n mjamzito presha alipimwa iko 135kwa 88 na hapo alipimwa baada ya kusafir umbal kidg na hawakumpa mda wa kupumzika...dalil za presha hana..nmeshangaa huyu doc why anasema n hatar sana inamaan mjamzito presha yake inapaswa kuwa 120 kwa 80 tu mpk kusema anaweza kupata kifafa cha mimba
Habar wakuu presha ya kawaida kwa mjamzito miez 8 huwa inacheza ngap kitaalamu
Mke wang amefanya clinic zahanat hapo hivi sasa ana miez 8 ya ujauzito presha yake inacheza 135 kwa 88 baadae imekuwa 131kwa 85 leo
Sasa jana kuna doc tumemkuta pale kamwambia hii ni hatar sana anaweza pata...
Habari wakuu, nataka nianze rasmi biashara ya kufata kaa na kuja kuwauza hapa jijini Dar
Nimefanya utafiti wa kutosha kuhusu upatikanaji wake wanapatikana hasa Mtwara, Lindi na sehemu za karibu na hapo
Bei ya kununulia kule ni 9000 na soko la hapa Dar now limeshuka ni 15000
Naomba ushauri...
"Na waumin wamtegemee mwenyez mungu tu " (quran takatifu ) sio chumv wala nini
Chumvi haina uwezo wa kukulinda bal hata quran haina uwezo wa kukulinda ...mwenye uwezo wa kukulinda ni Allah tu ....siping matumiz ya chumvi bali usitumie kuwa ynyew ndio inaweza kukulinda bal tumia ukimuomba Allah...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.