Search results

  1. Silverone

    Umeme huu wa stigler's gorge!

    Toka jana usiku baadhi ya maeneo ya wilaya mufindi Umeme umekuwa wa matatizo, unawaka na kuzima. Kama kuna shida ni bora wangezima kabisa kuliko mtindo huu wa kuuacha umeme usio na nguvu, watu wengi wamelalamika kuunguliwa vitu vyao.
  2. Silverone

    Vichekesho vya ununuzi wa madiwani na wabunge

    Unajua wanasemaje wakiwa wamejifungia mahali? Wanasema hivi, hawa jamaa wakija wakikubali kuhama kwenye vyama vyao wakiulizwa kwanini mnahama, tuwaambie waseme hivi : 1. Kule hakuna Demokrasia, Mbowe mbabe, hataki ushauri, kuna ubaguzi, na 2. Wakiulizwa tena kwani mkiwa huko hamuwezi kumuunga...
  3. Silverone

    Hasira za Polepole kushindwa kazi ya uenezi azitulia kununua wabunge na madiwani

    Dhahiri Polepole hawezi kazi ya uenezi, imemshinda, na hasa baada ya watu kumhoji imekuaje anawasaliti watu kwa kulamba matapishi yake. Akiwa bunge la Katiba aliishambulia ccm ambayo leo ndio mwajiri wake, jambo linalotafsiriwa kuwa yote aliyokuwa anayasema akiwa bunge la Katiba ilikuwa ni njaa...
  4. Silverone

    Tusimame na Mbowe, propaganda hazina nafasi

    Wakati wa Mbowe kustaafu bado, tunawaonya ccm kuacha kutuchagulia m/kiti ,wao wajikite kurekebisha Katiba yao ili kuruhusu wanachama kugombea nafasi ya m/kiti wa chama chao badala ya m/kiti kugombea na kivuli ikiwemo kutopingwa.
  5. Silverone

    CCM kama ina huruma ivigeukie, CCK, TLP, UDP, Chauma, UPDP kuimarisha uongozi wa vyama hivyo.

    Mbinu na mikakati ya ccm kwa chadema imebainika, hawana cha kuisaidia Chadema zaidi ya kukisambaratisha, kama ccm ingekuwa na huruma ingevigeukia vyama hivyo ili kuvishauri kubadili uongozi wake, vingi ya vyama hivyo havijawahi hata kufanya uchaguzi achilia mbali wa m/kiti bali wa viongozi wa...
  6. Silverone

    Hivi viongozi wetu wanaishi maneno yao?

    M/kiti wa taifa na ccm ktk moja ya mikutano ya chama alisema, "kuanzia sasa viongozi watakuwa na nafasi moja tu" ni marufuku mtu mmoja kuwa na nafasi mbili za uongozi. Swali, imekuwaje m/kiti wa ccm mkoa wa Iringa kuteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Mbeya? Hatujaambiwa mahala popote kuwa amewahi...
  7. Silverone

    CCM inatumia udhaifu katika Katiba yetu kututawala wanavyotaka

    1. Tuache mambo mengine, tudai Katiba mpya kwanza. 2. Tudai tume huru ya uchaguzi kabla ya uchaguzi wowote. 3. Utawala wa sheria uheshimiwe. NB: CCM inatumia udhaifu ktk Katiba yetu kututawala wanavyotaka. Viongozi wa kuchaguliwa tunapangiwa na ccm, wananchi wanachagua halmashauri lkn kwa...
  8. Silverone

    Bila Katiba mpya Demokrasia imezikwa

    Wadau wanajukwaa, Kuna kila sbb ya kudai katiba mpya, bila Katiba mpya ccm wataendelea kutufanya vichwa vya wendawazimu, hivi kwa mazingira ya sasa, unaweza kuamini kuwa ccm inaweza kupita bila kupingwa? Pamoja na hayo kumekuwepo na matumizi makubwa ya nguvu toka jeshi la Polisi, ktk uchaguzi...
  9. Silverone

    Makandokando ya chaguzi ndogo

    Nimefadhaishwa na kinachoendelea halmashauri ya mji Tunduma na Manispaa ya Iringa, zipo taarifa toka kwa viongozi wa chadema kanda kuwa mkurugenzi wa mji tunduma amegoma kuwapa fomu wagombea halali wa chadema hata baada ya kupokea maagizo toka tume ya taifa ya uchaguzi, kwa mujibu wa taarifa za...
  10. Silverone

    Wana-CCM wabadilike wakisaidie taifa hili

    Nianze kwa kumpa pole bwana Mwigulu Nchemba kwa kuzuiwa kufanya mkutano ktk jimbo lake, jambo hili linathibitisha kuwa CCM ni ya viongozi na si ya wanachama. Mambo haya yamezungumzwa sana, mwanzoni ilionekana wanaoweza kufanyiwa kama alivyofanyiwa Mwigulu ni waoinzani tu, lkn sasa inathibitika...
  11. Silverone

    Kasi ya Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola

    Nimefuatilia Press ya bwana kangi na waandishi, Press hiyo imetawaliwa na shusha, fukuza, binafsi kama mwananchi sijafuarahishwa na hatua hizo, binafsi nimeona ni Kama kutafuta political mileage tu, kwa wale waliopitia jeshi wanafahamu, ili mtu ashushwe cheo zipo taratibu zikiwemo mahakama za...
Back
Top Bottom