Search results

  1. M

    Serikali yaomba madaktari nje ya nchi, BILIONI 200 ZATENGWA KUWALIPA

    kumbe pesa za kutekeleza madai ya madaktar zipo,kumbe sarikali ndio inayotengeneza migogoro.je hizo pesa zilifichwa wapina kwa malengo yapi?jamani tuzinduke tunaibiwa tuzinduke!!!!!!!!!!!!!!!!!!! na tuwahoji tusikubali kupelekwapelekwakm coloni la ccm.
  2. M

    REDET na Synovate wako wapi baada ya uchaguzi?

    njaa ukiiendekeza nndio inakushusha hadhi km hivyo,mbona wako watafiti wengi wanaojitambua hawakufanya hivyo wala hawwawezi kufanya ujinga huo.wajue baada ya 2015 km watabaki na hivyo vyeo walivyopewa zawadi kwa utabiri wa kupika data/ na si utafiti
  3. M

    REDET na Synovate wako wapi baada ya uchaguzi?

    maprofessor feki, wanaokubali kujidhalilisha kisiasa,kwishey hao!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!l
  4. M

    Yaliyojiri Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar) Juni 9,2012

    hawa jamaa hawako creative,hawawezi kulianzia mpaka waonyeshwe njia.bila mabasi uwanja ungekuwa tu,hao wamepewa posho ya 5000 ili kuja hapo.kweli CCM KWISINE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  5. M

    Tunaichukia CCM but CHADEMA wakishachukua nchi tutalia na kusaga meno...

    hata mpumbavu akikaa kimya uonekana ana hekima!bora ungenyamaza.km ukabila na udini uko ccm,mkakati wa kuweka watu wa dini fulani kwa wingi uko ccm, nenda chunguza kuanzia matawini mpaka uongozi wa juu.ukabila ndo usiseme,ukiwa mtu wa coast region ndo kipaumbele, ukiwa mtotot au ndugu wa kada...
  6. M

    Operation imarisha mashina ndani ya CCM sasa

    operation imarisha koo,nnauye-nape,kikwete-ridhiwani,makamba-january,kawawa-vita,......................,,,,,,,,,,,,,mhmmmmmmmmmmmmmm!kazi kwelkweli
  7. M

    Operation imarisha mashina ndani ya CCM sasa

    labda operation za kiukoo wa wenye ccm,maana hiki chama ni cha watu fulani tu,familia,koo, wanarithisha uongozi km mali ya familia na ukoo,wengine wana vaa magwanda ya kijani ili kusindikiza tu wana ukoo.
  8. M

    Mbinu Chafu Vyuoni ni Kaburi la CCM

    hilo lilianza muda lakini mpaka kufikia hapo,kweli watu wamemaanisha kuleta mabadiliko na hawataki ujinga.huyo kijana atakuwa ni wale wanaoahidiwa ukuu wa wilaya akidhani ni rahisi hivyo.mjinga kwelkweli
  9. M

    Filikunjombe: Tuna ombwe la uongozi...

    we ni kibaraka wa mafisadi km wewe mwenyewe sio fisadi!kwishnee,kungereza in not an issue,Filikunjombe ni mkweli na daima wanafiki huwa hawapend ukweli,km huna hoja tekeleza sera ya kilmo kwanza
  10. M

    Vijana mliokuwa mnasubiri u DC vaaeni GWANDA sasa

    kabisaaaaa!!,kuna wanaojiita wana mashirikisho ya vyuo vya elimu ya juu..............wanatumiwa km ngazi ya watu kufanikiwa sidhani km kuna hata mmoja aliyepata uDC ,kazi yao kutoa matamko yasiyo na tija,vijana amkeni kabla jua halijawa kali mtaumwa macho.
  11. M

    Mkuu wa Wilaya KAZI ZAKE ni zipi?

    hawa ni wanachama wa CCM wanaopewa ulaji ili kukipigania chama kwa ngazi yao ,kazi yao kubwa ni kula pesa za halmashauri na kula chakula cha bure toka kwa wakulima na nyama ya bure toka kwa wafugaji.wote ni wana CCM hakuna utendaji wala uzalendo ni usanii tu lakini siku zao...
  12. M

    Udhalilishaji wa wanawake: Afisa ustawi wa jamii (w): Nimejisikia tu kutokuzungumza

    nin mashaka km huyu kweli ni afisa ustawi a jamii,inawezekana hao ndio wale wanaowekwa na magod father wao bila taaluma husika.halafu social workers wa kweli wanabaki hawana ajira ukizzingatia hata wizara ya afya na ustawi wa jamii haiwathamin maafisa utawi ndo maana huwezi kuona waziri...
  13. M

    Wana-ccm tuanzishe na sisi m4c yetu kuitokomeza chadema"

    sioni kama ni busara na ubunifu.tafakari upya
Back
Top Bottom