Kuna timu gani ambayo haifungwi? Kashinda mechi ngapi ngumu? Kupoteza mechi ni sehemu ya kawaida sasa wewe umekaza matako na kizungu uchwara chako niseme wewe mpira huujui umeweka ushabiki mbele matako ya shangazi yako! Sio kila sub unayoifanya itazaa matunda ng'ombe wewe! Huelewi chochote...
Hili suala la kupiga vibarua kwenye ofisi za watu masaa kibao malipo kidogo + masimango na manyanyaso niliacha nimefungia vyeti vyangu ndani tu! Elfu 15 kwa siku kwa maisha ya town haitoshi hata kidogo!
Kama mwanaume mwenye koromero na friza moyoni linagandisha jambo dogo kama hili nisingelileta huku kabisa ningebaki nalo kifuani hata jirani simwambii!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.