Search results

  1. Fibanochi

    Njia zipi unaweza kuzitumia kuondoa sonona?

    Dada ugonjwa wa akili si kwamba wewe unaokota makopo au umechanganyikiwa la hasha, bali hata ile hali ya akili kutofanyakazi sawasawa tayari ni tatizo. Kuna dalili umezitaja hapo kama ukiangalia tv huelewi kinachoongelewa au mziki unaona kama kelele na kichwa kuuma. Cha kwanza unatakiwa...
  2. Fibanochi

    Huu muziki sijui unaitwa miziki wa Fally Ipupa una uzuri gani mbona watanzania kama mnaupenda sana?

    Binafsi sina mapenzi sana na nyimbo za bolingo zaidi ya zile za zamani za Aurlus Mabele, pepe Kale etc kwa kujikumbushia makuzi yetu ila sasa Fally bwana kaniteka achana kbs na huyo jamaa. My top hits toka kwake. 1. Associate 2. Maria PM 3. Mayday 4. Service 5. Original 6. Atante 7. Eloko...
  3. Fibanochi

    Kwani mkiachana lazima muwe maadui?

    Mkuu nakuelewa mwanaume anaumia sana akiwa na hakika "mkewe", narudia tena mkewe ameliwa na fulani hii huwaga haiishi milele hata kama ikitokea mmesameheana. Mara nyingi matokeo huwaga ni hayo, mwanaume kubadilika sana, hasira zote anamalizia kwa wanawake wengine anakuwa Malaya sana, na...
  4. Fibanochi

    Slow jams - pini ipi ilikubamba

    Bro, hii album achana nayo aisee, ni chuma juu ya chuma R&B enzi hizo unaskia neno hadi neno mpka wimbo unaisha hujaskia neno F&#^ck, enzi enzi hizo kuna masister duuh wa kwenda muzee alafu wanajielewa na wanajua kuoga mzee baba achana na mabishoo nao ndiyo usiseme! Demu unafukuzia mwaka mzima...
  5. Fibanochi

    Slow jams - pini ipi ilikubamba

    Enjoy, 90s to early 2000s jams were [emoji91]
  6. Fibanochi

    Slow jams - pini ipi ilikubamba

    Vipi tukimleta Aaliyah wa "Age ain't nothing but a number" ya 1994 Sisi kizazi cha early 80"s tutaonaonekana vikongwe? Kuna pini za maana sana kwenye hii album!
  7. Fibanochi

    Slow jams - pini ipi ilikubamba

    Fanya hivyo mkuu, Wi-Fi ya muajiri si ipo? Ha ha [emoji23]
  8. Fibanochi

    Slow jams - pini ipi ilikubamba

    Uncle Sam - I don't ever wanna see you again
  9. Fibanochi

    Slow jams - pini ipi ilikubamba

    All that I am - Joe Thomas Stutter - Joe Thomas In those jeans - Ginuwine Difference- Ginuwine
  10. Fibanochi

    Slow jams - pini ipi ilikubamba

    Hii ngoma daah, ongera na hero! Zilikuwa nyimbo za kulalia Enzo hizo zinapigwa Radio one na kwenye kipindi cha Marafiki na DJ Jd
  11. Fibanochi

    Slow jams - pini ipi ilikubamba

    Boys II Men ni soo, kuanzia on bended knee, water run dry, I am doing just fine, four seasons etc zilikuwa za moto sana.
  12. Fibanochi

    Slow jams - pini ipi ilikubamba

    Upate mtu akuimbie sasa, huwa mnahisi mnaelea...! Ila nyimbo zote toka kwa hii album " All that I am" zilikuwa za moto mno hakuna wimbo wa ku forward,.
  13. Fibanochi

    Slow jams - pini ipi ilikubamba

    Daaah! Hii nayo ni ya ukweli sana!
  14. Fibanochi

    Slow jams - pini ipi ilikubamba

    Kwa wale wa kizazi cha kabla ya Y2K watakumbuka miaka ya 90 hadi mwanzoni mwa 2k kulikuwa na nyimbo kali sana za R&B. Kuna baadhi ya nyimbo ukisikiliza zinasisimua mpaka mifupa. Binafsi kuna ngoma moja ya Usher Raymond inaitwa " Nice & Slow" ilinikosha na still inanikosha. Wewe wimbo gani...
  15. Fibanochi

    Tumalize utata: Chama Vs Moloko

    Hivi wanaosema Sema Chama anakuwa mbaya team ikizidiwa, na mzuri team ikiwa inamiliki mpira, wanawaza nini ? Hivi nichezaji gani anakuwaga bora team ikiwa imezidiwa? Juzi tu Argentina ilifungwa na na Saudia na Messi akiwa ndani. Tunachoangalia ni overall performance ya mchezaji katika team...
  16. Fibanochi

    Kamwe: Simba ijifunze Kwa Yanga jinsi ya kumchapa Mwarabu

    Sisi Simba tumeamua tucheze mpira na kusema kwa vitendo n kuachana na hizi comedy. Uzuri huyo alieongea anajua dhahiri kabisa kama anachekesha ila kwasababu anajua mafuasi wa team yake ni watu wa aina gani basi anaamuankwa makusudi kujichetua. Hakuna team siyo Tanzania bali East Africa hii...
  17. Fibanochi

    FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

    Kwamba Horoya ni garasa?, huu ni uongo wa mchana wa jua kali kabisa, Horoya mpaka anafika hapo unafikiri Kapaa? Si alizifunga team kadhaa huko nyuma, angekuwa mbovu au kiwango kimeshuka angeangukia kwa "loosers" hii ni Champions league hakuna team dhaifu hapo. Horoya ni moja ya team nzr sana kwa...
  18. Fibanochi

    Ushauri: Lecturer ananitaka kimapenzi, ananitishia yeye ndio mwenye hatma ya matokeo yangu

    Dogo ukishangaa watu watazibua mtaro, na ukianza huu mchezo huwezi acha! Kama kweli wewe rijali na umedhamiria kutofanya huo ujinga fanya hivi: Tafuta pen zenye microphone (spy pen) au saa Yenye camera! Ukishindwa kabisa smart phone yyt, download app ya voice recorder! Panga appointment nae...
  19. Fibanochi

    Mtaa umejaa wanaijeria

    Hizi ndizo haswa sababu za msingi za hawa jamaa ku flock Tz!
  20. Fibanochi

    Peter Banda tumuweke kundi gani?

    Kwa game jana sidhani, wale Raja walifanya home work yao vzr sana na walifanukiwa. Walikuwa bora sana zaidi yetu, hapo hata angecheza nani ni bure tu. Team jana ilibakwa
Back
Top Bottom