Search results

  1. U

    Wabunge wa Upinzani kutoka bungeni ni Utovu wa nidhamu - Kibonde (Clouds FM)

    bora umesema mkuu, jamaa hovyo sana. Hoja dhaifu.
  2. U

    Ni mv skagit na sio sea gull imepinduka na haijazama bado iko inaelea

    unajua kwenye waliokufa kuna wakristo wangapi? Au unaropoka tu.
  3. U

    Kwanini waislam wanataka kipengele cha dini? Angalia udini bodi ya utalii

    yaani huo mwezi wa nane tutaona mambo. Nusu ya waislam wanaoburuzwa na Bakwata ndio watashiriki sensa na tuliobaki hatuhesabiwi ng'o bila ya kipengele cha dini. Yaani serikali ijiandae kufeli kwenye hiyo sensa.
  4. U

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    jamaa yangu anafanya hiyo kitu ila analima too local, sasa sijui kitaalam ikoje ili kuongeza mavuno.
  5. U

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    wadau mwenye utaalam wa jinsi ya kulima vitunguu swaum anijuze tafadhali. Tayari ninalo shamba mkoani mbeya hivyo ni kuanzia uandaaji wa shamba, mbegu na muda mpaka kuwa tayari kuvuna.
  6. U

    Marekebisho la somo la islamic knowledge

    unataka kutugawa kimatabaka ili tuchukiane wenyewe eti waislam wa bara na waislam wa zenj. Hakuna kitu kama hicho kwani waiskam wote dunia nzima tunasimama kweny LAILA HAILA LLAH, MUHAMMAD RASULU LLAH. FULL STOP.
  7. U

    Madaktari Sawa Watatoka Cuba, India na China. Manesi Je?

    sawa kabisa, wanaringia vi dispensary walivyofungua kwa kuiba madawa msd, sasa tunafilisi kabisa ili kurudisha heshima. Dai la kutaka lazima waziri wa afya na naibu wake wafukuzwe ni la kipumbavu..
  8. U

    Watanzania wekeni uzalendo mbele tarehe 11/03/2011 mkampokee Prof Lipumba

    kumbe humkubali kwasababu muislamu?
  9. U

    naulizia utata wa system mpya ya kutoa mikopo vyuoni

    chuo gani cha kata? Sijaelewa ulichoandika na kama wewe pia unapewa mkopo basi gvt inapata hasara mana kichwa kibovu.
  10. U

    Baba kanumba ajibu mapigo

    hatuna uwezo wa kuwahukum wazazi, yaani mtu anatupiana maneno ya kejeli na mzazi wake hadharani. Kanumba ni mwendawazimu, hana hekma. Na akifanya masikhara amani ya maisha itakosekana hata kama pesa ipo. Mshamba mkubwa!
  11. U

    'Idi Amin Hakuwa Muuaji, Mla Nyama za Watu' - Rais wa Venezuela

    wananchi wa Libya wanamkumbuka Gadafi sasa kwa mambo kama kumchafua mtu ili aonekane hafai na muuaji. Chavez yuko sawa proganda nyingi zilitengenezwa na Obotte na Nyerere ili kusimamisha kanisa Catholic Afrika mashariki na kuua umoja wa kiiskam ulioanza kukita mizizi ktk ukanda wa Afrika...
  12. U

    Dhuluma inayofanyika Ndanda secondary haikubaliki

    be critical bwana! Uchanga maana yake nini... Argue don shout, tafuta wenzako kumi wenye akili kama zako halafu tafuta mada unazoipenda halafu mwisho tutafanya evaluationi tujue mchanga nani... Khabiiith laamar.
  13. U

    Dhuluma inayofanyika Ndanda secondary haikubaliki

    kama una namba yake mpigie umpe moyo mana hana amani, mana udini wake unaitikisa nchi.
  14. U

    Dhuluma inayofanyika Ndanda secondary haikubaliki

    naibu waziri wa ndugu Mulugo alikwenda ndanda kuongeza tatizo na mwalim mkuu aliandaa vijana ili wajifanye ni waislam na kuwakandamiza vijana waliofukuzwa.
  15. U

    Dhuluma inayofanyika Ndanda secondary haikubaliki

    hata Ghadaf hakuamini kilichotoke LIBYA.
  16. U

    Dhuluma inayofanyika Ndanda secondary haikubaliki

    milembe wanakutafuta wewe! Labda nikuulize ikiwa shule inajengwa juu za ardhi inawezekana kuchukua majengo na kuacha ardhi?.
  17. U

    Dhuluma inayofanyika Ndanda secondary haikubaliki

    tuko tayari kwa hilo lkn na watoto wenu pia hawatasoma kwa amani. Tutazama wote inshaallah.
  18. U

    Dhuluma inayofanyika Ndanda secondary haikubaliki

    cheza na kila kitu lkn si vijana. Na kwa taarifa yako serikali inaendelea kuomba tulimalize kwa amani, mkuu wa mkoa wa mtwara halali ushngizi anaomba vijana waandika barua za ku appeal ili awarudishe kinyemela. Tunasema NO. Serikali ikitaka twende mezani tufanye makubaliano. Full stop.
  19. U

    Dhuluma inayofanyika Ndanda secondary haikubaliki

    mfumo ni kitu kibaya sana. Mungu ailaze mahala pema roho ya kigoma malima.
  20. U

    Dhuluma inayofanyika Ndanda secondary haikubaliki

    unataka kutuhamisha kwenye mada kuu na tuanze kutukanana ili ufanikiwe kazi yako ya kuizima sauti ya waislam. Hapa umekwama!
Back
Top Bottom