Hakuna haja ya kudanganyana hapa Mara mgombea wa ccm hakubaliki
Kinachoendelea Sumbawanga ni siasa chafu za udini,Wakristo wote
wameelekezwa na padri kuchagua chadema.Nilipita kwenye mikutano
Ya chadema wanafungua kwa sala za kikristo na kufunga kwa sala
ya kikristo utafikiri wako...
Kwa wakazi wa mbeya na vitongoji vyake, Iringa na vitongoji vyake,Tunduma na vitongoji vyake na Sumbawanga na vitongoji vyakeKwa mahitaji ya mabati ya kisasa yenye migongo dizaini zoteNa misumari yake waone MBEYA ROOFING SHEET au piga simu au wasup No 0758206700 karibuni sanaaa
Haya wakazi wa mbeya na vitongoji vyake, Iringa na vitongoji vyake, Tunduma na vitongoji vyake na Sumbawanga na vitongoji vyake kwa mahitaji ya mabati ya msauzi (kisasa) migongo aina zote na misumari yake inapatikana at reasonable prices .Karibuni sana au wasup 0758206700
Inasikitisha sana,Hivi mtu akikimbia anatakiwa kuuwawa?
Tunalo jeshi la polisi mambumbumbu,Duniani hakuna haki
watakutana na malipo yao siku ya mwisho.
INNA LILAH WAINNA ILAYHI RAJIUUN.
Hawataridhika wakristo na mayahudi mpaka mfate mila zao.
Nimeanza kunukuu aya ya mwenyezi mungu kwa wale wanaopinga
mahkama ya kadhi,jamani sisi dini yetu ni mfumo wa maisha.
Kitabu chetu kimekamilika,kadhi hatoi maamuzi yake yeye anafungua
kitabu na kupata maelekezo nini mungu anataka...
Duh,huyu atakuwa mpare,acha ujinga wewe ukate tamaa ya maisha kwa sababu
ya kutapeliwa pesa?ulikuja nazo kutoka kwenye tumbo la mama yako?
Nenda mahakamani na endelea kuchapa kazi,kubwa jinga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.