Search results

  1. MSEZA MKULU

    Swali: Je, Mwanamke wa Kizungu huwa anakula Udongo pindi anapopata Ujauzito?

    Kula udongo ni matokeo ya upungufu wa kiafya. Madini ya mwili yakibalance hamu ya udongo inakata. Pia pemba nyingi zimejaa minyoo na mayai ya minyoo. Ni ukosefu wa hekima na elimu tu.
  2. MSEZA MKULU

    Swali: Je, Mwanamke wa Kizungu huwa anakula Udongo pindi anapopata Ujauzito?

    Kula udongo ni matokeo ya upungufu wa kiafya. Madini ya mwili yakibalance hamu ya udongo inakata. Pia pemba nyingi zimejaa minyoo na mayai ya minyoo. Ni ukosefu wa hekima na elimu tu.
  3. MSEZA MKULU

    Mapendekezo: Shule ya za Sekondari Benjamin, Msingi Uhuru na Kiwanda cha Bia zihamishwe Kariakoo waachiwe wamachinga hilo eneo

    Kuanzia roundabout ya Uhuru hizo shule zote napendekaza ziondolewe zitafutiwe eneo lingine lipishe wamachinga walioratibiwa. Kiwanda cha bia hakina sababu ya kukaa katikati ya jiji, kiamishwe kipishe wafanyabiashara. Maeneo hayo yajengwe majengo simple ya kisasa yenye vizimba vya kimkakati...
  4. MSEZA MKULU

    Mabeberu, Vibaraka wa Mabeberu, Wazalendo wa Hayati Magufuli, na Mradi wa Bandari ya Bagamoyo

    aliyesema alisema akirefer mkataba ambao hatuna, anao aliyesema. sasa hapo ndio panakuwa pagumu kukataa moja kwa moja kile kilichosemwa na kupokea hiki kipya. sorry nimesoma kwa harakaharaka bandiko lako nitarudi upya neno kwa neno
  5. MSEZA MKULU

    Mabeberu, Vibaraka wa Mabeberu, Wazalendo wa Hayati Magufuli, na Mradi wa Bandari ya Bagamoyo

    Ishu ya kimikataba kuijadili bila kuona mikataba au hata hints inatufanya tushindwe kujua tumuamini nani Chige JPM Ndungai au mchina
  6. MSEZA MKULU

    Shajara ya Madikteta

    Usiwasahau na madikteta walioleta uchumi imara. Lee Kuan Yew Na Yule wa Chile mzee wa economic miraclealisaidiwa na vijana wa chicago university nadhani.
  7. MSEZA MKULU

    Halotel mmezingua hapa

    Usilalamike sana. Maana zamani ulipewa dakika 15 sasa hivi 100. Ila bora wangeacha SMS kuliko dakika za mtandao mmoja.
  8. MSEZA MKULU

    Maendeleo yoyote hayaji bila kufanya kazi kwa bidii na kwa nguvu

    Sijaelewa kusudio la mleta mada, maana kazi zinafanywa tangu enzi za wakina mtemi Myugumba. Kitu gani kimepungua hadi tuone haja ya kuandikiana haya
  9. MSEZA MKULU

    Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Sio hongo, mimi bado ni Rais, natangaza tenda ya barabara za mjini Itigi KM 10

    Mbona anasema Pesa atatoa yeye wala wasiulizr zitatoka wapi kwa mini asiseme ni budget inatekelezwa
  10. MSEZA MKULU

    CCM wanatumia gharama kubwa kutafuta wananchi huku wananchi wanatumia gharama kubwa kumtafuta Lissu

    Kila kinachosemwa kilionyeshwa live. Bunge lilikuwa gizani bali serikali na maendeleo yake yalikuwa live kila siku. Hivyo hata vijijini wanajua. Sasa inaboa kuambiwa kitu ambavyo tayari anayekuambia ameshakuambia tena Mara nyingi. Ni vizuri CCM waahidi na mambo Mapya yenye kuibua hisia za...
  11. MSEZA MKULU

    CCM wanatumia gharama kubwa kutafuta wananchi huku wananchi wanatumia gharama kubwa kumtafuta Lissu

    Karibu kila chombo cha Habari kinaonekana kupigia chapuo chama cha Mapinduzi. Gharama Kubwa inaonekana kutumika kwa CCM kutafuta wananchi watakaoipigia Kura CCM. Kinyume chake naona wananchi wanatumia gharama kubwa kumtafuta Lissu popote alipo hasa mitandaoni. Ukikuta Kikundi cha watu kikao...
  12. MSEZA MKULU

    Uchaguzi 2020 Amri za Tundu Lissu zinatekelezwa na Rais Magufuli

    Angepewa nafasi ya kusema hata tangu 2015 upinzani ungeshakuwa CCM. Kwa mada hii ile uongo kuwa magufuli sio msikivu tunauzika rasmi.
  13. MSEZA MKULU

    Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi yamrejesha Boniface Jacob jimbo la Ubungo

    Jamaa alikuwa ameshapanic anataka kujilipua. Afadhali hahahaha Sasa ashindwe yeye tu
  14. MSEZA MKULU

    Ajali sasa basi

    Aliyechora hiyo dotted line hapo bila kujua kuna scenario kama hizo barabarani
  15. MSEZA MKULU

    Kuna namna TCRA waanze kushusha rungu kwenye hizi online tv za makanisa maana huyu Mchungaji Geordavie amemdhalilisha dada wa watu

    wangefutwa hao wanaoenda kwa huyo mdau. maana maneno yake tu yanaonyesha ni msanii
Back
Top Bottom