Search results

  1. fundi bishoo

    Naomba mnijuze wakuu fridge za hisense znakuaga na rangi 2

    naomba kuuliza wakuu nmenunua fridge hisense rd 20 lakn naona mbele kwenye milango kuna rangi ya silver na pembeni kuna rangi flani ya kqma kijivu flan je ndo yanakuag hvo au nimepgwa hapa wakuu
  2. fundi bishoo

    Kibongo bongo nyimbo ya Daz Nundaz “Kamanda” ni nyimbo ambayo ukiiskia inaweza kukutoa chozi

    Huu ni ukweli wakuu hii ni nyimbo ambayo hata ukiiskia tu hisia za kulia inakujia hii nyimbo ni nyimbo ambayo haitowahi kutokea kwenye muziki wa bongo flava 🙌🥲 hakuna na haitowahi kutokea nyimbo ya kuhuzunisha kama hii
  3. fundi bishoo

    Wataalamu wa IT naomba mnisaidie kuifunga simu isifanye kazi na kumtafuta aliyeniibia

    Wakuu kuna kisimu changu kimeibiwa sasa nimehangaika naona imekuwa mambo mengi kama mtu unaweza kuifunga isifanye kazi kama inawezekana nitashukuru Lakini pia kama utaitrack kama utamlipisha ukimkamata aliyeiiba hii simu ni wewe tu upendavyo mimi nimesamehe lakini roho inaniuma naweka na imei...
  4. fundi bishoo

    Nahitaji kununua kiwanja naomba kujua ni hatua zipi za kufuat wakuu

    kwema wakuu, Mdogo wenu huu mwaka nimejitafuta nataka nikanunue uwanja mwsho wa upepo uko ndani ndani. Sasa sijui chochote kuhusiana na kununua uwanja naombeni mnipe muongozo mdogo wenu napoenda kukamilisha hii ndoto yangu maana naogopa kutapeliwa wakuu
  5. fundi bishoo

    Maduka mengi ya wabongo guarantee yao ni za michongo bora kununua kitu kwa wahindi au waarabu

    Kama heading inavyosema kununua bidhaa kwenye duka la mbongo msawahili kabsa mweusi tiiiiiiiiii ni shida sana atajifamya kukupa guarantee ya mwaka au miaka 2 au miezi sita halafu bidhaa ikileta chanagamoto aisee wanaruka hawataki kabsa kukurekebishia au kukupa fundi wao bora kununua vitu kwa...
  6. fundi bishoo

    Nikipataga seat kwenye mwendokasi huwaga najiona kama nimefanikiwa kimaisha vile wakuu

    Siwafichi wakuu, mimi ninapofaniliwa kupata seat kwenye mwendokasi halafu mwendokasi zikiwa ni za shida huwaga najiona kama nimeshawini kwenye maisha. Najiona kama mimi nna gari langu kwahiyo hawa waliosimama huwaga nawaona kama maskini hivi, muda mwingine nawaonea huruma kabisa huku nimefungua...
  7. fundi bishoo

    Nani mwenye jukumu la kulipa hela ya kunyonya maji ya choo endapo kitajaa kati ya mwenye nyumba na mpangaji

    Kwema wakuu nataka nilianzishe hapa maana mtu unalipa kodi kila baada ya miezi 6 halafu choo kimejaa, mwenye nyumba hakai hapa lakini je ni nani mwenye jukumu la kulipa wakati sio mwenye nyumba ndo anaestahili kulipa hyo pesa kama shilingi 80,000. Inakuaje wapangaji tupigishwe mchango wa elfu...
  8. fundi bishoo

    Wamasai kaeni tu mkoani mmejaa sana Dar manaaibisha aisee

    Hivi kwann wamasai hawataki kabsa kukaa porini yaan kila siku wanakuja Dar wanaongezeka kwa kasi sana aisee hawataki kabsa kuchunga n'gombe mnataKa nani awachungie aisee masai hamtaki kufanya kazi za asili. Yaan masai mmekua kama watu wa makumbusho kutaka kazi nyepesi kusuka tu na kukaa tu...
  9. fundi bishoo

    Msaada: Nimepata fangasi kwenye ulimi

    E bwana kwema wakuu? Nna week ya pili inaenda hii nimepata fangasi /weupe kwenye ulimi sasa nilienda pharmacy nikaambiwa nI fangas ila hakuna maumivu yyte wakuu nkapewa dawa ya Miconazole Oromucosal gel BP ambayo nliambiwa nitumie kwa week lkn bado akupata mabadiliko yaan ilipungua kidg sana...
  10. fundi bishoo

    Wanajeshi acheni ubabe, mapenzi hayafosiwi. Kwa nini ufosi ikiwa mtu hakutaki?

    Kwema niko chaka mji kasoro bahari huku nimepata mwanamke mzuri sana ananipenda tena yuko vzr haswaa ila changamoto ni Hawa jamaa sijui wapoje ningekua na uwezo wa kumroga ningemroga uyu jamaa anamsumbua demu wangu. Mda mrefu sasa anafkia hatua ya kumtishia maisha kisa yy mjeshi. Wakuu...
  11. fundi bishoo

    Kuna muda unatamani kwenda kuroga kwa mganga ili nipate chaneli za pesa

    Eh bwana wakuu chaneli za pesa ni ngumu sana kuna muda mambo yanabana moka unatamani hata ungekua una imani ya kishirikina ukaroge ilimradi na mm nipate chaneli za pesa wazee mambo hayaendi ukiangalia vijana wenzetu wanafanya mambo ya maendeleo sisi tunakomaa kupambana lakini inakua ni kama...
  12. fundi bishoo

    Changamoto ya kadi za kuvukia Kigamboni ni suala sugu. Wizara tusaidieni!

    Kwema? Iko hivi kuna muda mtu mlunataka kuvuka na hauna kadi unajitoa unataka kukatisha kadi mpya kwa shilingi elfu 2 unapita pale kwa wanaosajili unakuta hawapo kabsa au wakiwepo unaambiwa sijui rimu sijui ni karatasi zimeisha. Hii imetokea jana nikienda huko nikiwa sina kadi maana...
  13. fundi bishoo

    Kutana na mwamba alie hack page ya chuo cha Karabag Kenya anadai apewe $500 ndo aiachie

    Wagwaniiiii..? Kama umefatilia mitandaoni Kenya kuna gumzo baada ya mwamba kutoka Indonessia ambae amehack page ya chuo cha karabag ambacho wanadai kinadeal na mambo ya it lakini wamehakiwa na mchizi kutoka indonessia ambae anataka dola $500 ndo aachie account lakn uongozi wa chuo umegoma...
  14. fundi bishoo

    Kwa anayejua jinsi ya kulipia matangazo Instagram naomba msaada wako

    Habari naomba mtu anaejua jinsi ya kulipia matangazo instagram ili kuwafikia wateja au wahitaji wa huduma ninazotoa naomba anielekeze vizuri maana sina utaalamu mkubwa kihivo. Mwaka jana nilifungua account nikapromote tangazo na likawa limepata viewers wengi sana lakn jinsi ya kuwalipa...
  15. fundi bishoo

    Hii ngoma mpya Zuwena ya Diamond Platnumz amedhihiridha kuwa bado yupo na utamu wake hajaisha kama tunavyodhania

    WagwaNiiiiiii Ebhna simba mwenyewe chibu deee aka baba zuchu hiki kichupa alichoachia katuonesha kuwa bado ana uwezo wa kuendelea kutawala mziki wa bongo kwa zaidi ya miaka kadhaa sasa anataka kuwarudisha fanbase yake iliyoondoka baada ya kuona anaimba ngololo ngololo hii kichupa cha Zuwena ni...
  16. fundi bishoo

    Kwanini Serikali yetu isitumie mbinu hii ili kufikisha maji sehemu ambazo zinahitaji wa maji kwa uharaka ilo kukabiliana na tatizo la maji

    Habari wakuu kwema? Kutokana na changamoto ya nchini kwetu la tatzo la maji safi nchini mi naona kama serikali yetu pendwa ikitumia mbinu ya kuweka mabomba ya maji makubwa yategwe juu yaani kama zilizopita lines za tanesco. Zile nguzo ambazo zinakuwa zimetegwa sasa bomba la maji ili lisiweze...
  17. fundi bishoo

    Kama mmiliki wa Uhuru Peak Kinondoni upo humu soma hapa

    Kiwanja chako mwanzo tulikuwa tunamimika kwa wingi lakini baada ya kuona watu tunajaa maana wengine sisi ni wazee wa kupigiana simu wana kwa wana hasa kipindi kama hiki cha sikukuu tunapenda kuenjoy lakini kwa utaratibu mliouanzisha juzi siku ya sikukuu ya Christmas utawapunguzia wateja kama...
  18. fundi bishoo

    Asake kutoka Nigeria

    Mambo vipi wakulungwa? Aisee huyu jamaa anajua sana aina ya mziki anaoufanya amapiano, halafu anachanganya na fuji sijui na makorokoro gani. Anajua sana kucheza na mdundo, hasa Producer wake huyu anamjulia. Ukisikiliza ngoma kama Nzanza, Sungba Peace be Unto You, Reasons, Ototo, aisee, jamaa...
  19. fundi bishoo

    Kwanini serikali yetu isijaribu kuifanya Mwanza iwe kivutio cha utalii kwa kutengeneza mfereji wa bahari mpaka Mwanza

    Habari zenu wakubwa shikamooni Fundi bishoo hapa nimewaza nimeona hivi kwa nini serikali yetu isingefanya hiki kitu yaani ikatengeneza mfreji wa maji ya bahari kutoka Dar es salaamu mpaka Mwanza halafu waitengenezee kitu kama bwawa flani hivi la bahari ili iwe kivutio maana ni mji mzuri ila tu...
  20. fundi bishoo

    Tetesi: Kawe nasikia kuna panya road wamekiamsha mida ya saa moja

    Habari nataka kupita Kawe nasikia kuna panya wameliamsha dude eti wamefunga road ni kweli maana kila nayempigia simu wa maeneo hayo hawanipokelea simu na mimi nataka nipite Ukwamani vipi kuna anayejua tukio hili wazee?
Back
Top Bottom