Search results

  1. E

    Tusaidieni wanasheria watanzania wenzenu vijijini?

    mi ni afisa wa kata,leo nimekamata fataki kijijini kwangu,anamuoa mwanafunzi aliyefanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi wiki iliyopita,tafadhari tusaidieni wasomi wetu sheri inasemaje ili niweze kumtia hatiani hili fataki linaloharibu watoto na kuwambukiza ukimwi?
Back
Top Bottom