Search results

  1. Deo Castory

    Tabora: Mzee (miaka 60) Asakwa akidaiwa kumbaka mwanafunzi (Miaka 13) baada ya kumrubuni

    Sheria imetafsiri kwamba kumuingilia msichana wa chini ya umri wa miaka 18 ni ubakaji kwakua hana umri wa utu uzima. Kwahiyo ameshawishi kwa miwa na pipi ila kumuingilia ni kumbaka
  2. Deo Castory

    Body to body massage ikoje?

    Nenda massage parlour. Kisha atakayekufanyia massage muombe namba yake unakua unamuelekeza location tu.
  3. Deo Castory

    Miaka 40 ya World Vision Tanzania - Hotuba ya Kaimu Mwenyekiti wa Bodi

    Posts kwao ni mpaka connection ya nguvu, siyo?
  4. Deo Castory

    Leo nimemuona Nadir Haroub Cannavaro nikakumbuka kisa chake cha jezi na Eto'o

    Mashabiki wakasema wapo tayari kuchanga. TFF ikatuliza munkari
  5. Deo Castory

    Nani mwingine katumiwa email na FUNDSFORAFRICA

    Haujaona sehemu wanayoonyesha kwamba wamepokea resume na kumwambia mtumiwa email amepass kwa reference aliyoomba?
  6. Deo Castory

    Nani mwingine katumiwa email na FUNDSFORAFRICA

    Wanazipata wapi??? Wewe CV yako haina info zako?
  7. Deo Castory

    Nani mwingine katumiwa email na FUNDSFORAFRICA

    Huo ni utapeli. Unaelekezwa sites ambazo wanamiliki wao wenyewe ili upate cheti. Utaambiwa ulipie. Ukishalipia, ukirudi huku utakua na bahati kama watakuacha la sivyo utaambiwa kinachohitajika ni kama hichi so kalipie tena.
  8. Deo Castory

    Msaada Infinix smart 5

    Hiyo inamaanisha spika mbovu. Katengeneze spika.
  9. Deo Castory

    Sadaka za Jumapili moja Ml 40-60, ubunge sh Ml 10 kwa mwezi, bora siasa ama Imani?

    Hizi za Jumapili ni lazima uingie ofisini na uongee non stop na hazina kiinua mgongo.
  10. Deo Castory

    Matakwa ya Spika Ndugai kuhusu Kamati za Bunge kufuatilia mchakato wa ajira za walimu. Je, Serikali inafanya udanganyifu?

    Wimbo wa "Vijana tujiajiri" bora upumzishwe na tukabiliane na hii changamoto ya ukosefu ajira.
  11. Deo Castory

    Mwigulu atolewe Uwaziri, apokee kijiti cha Polepole kuwa Katibu Mwenezi

    Kwamba uenezi unaenda sambamba na kujibizana?
  12. Deo Castory

    Vitu vya ndani vinauzwa Mbezi Africana

    Nimekubali nimekubali.
  13. Deo Castory

    Je, Mwendazake hakupata kuyajua haya?

    CAG ameonyesha kuna ubadhilifu wa 3.6B Pesa aliyokutwa nayo inagonga 3.7B So uchuguzi wa CAG ni wa ndani ya mwezi huu baada ya kifo cha Rais na DG wa TPA akaiba 3B+ huku akijua CAG atakuja kuchunguza?
Back
Top Bottom