Sijajua ni matatizo ya afya ya akili au ni laana kama laana zingine pale mtu mstaafu badala ya kutulia na maisha lakini unaanza kuweweseka, Wataalam watatusaidia.
Askari mstaafu anayejulikana kwa nick name Saba Sita, Miaka iliyopita alijichimbia kaburi kwa ajili ya manzishi yake nyumbani kwake...
Kenya mpo ,Tanzania rasmi ndani ya Afrika imepeleka timu kubwa mbili toka Derby ya kariakoo yaani Young Africans na Simba
Kuna wakati lazima usemwe Tanzania ndio Giant ya mpira kwa sasa Africa
Ndugu zetu wakenya msione aibu kuja Dar es Salaam kujifunza mbinu
Uongozi wa AL Ahly SC umewakaribisha Young Africans SC katika makao yao makuu na imeamriwa watafanya ushirikiano katika kukuza uwekezaji
Eng Hersi amesisitiza mbele ya uongozi wa al ahly kuwa mabadiliko ya kwanza walienda kujifunza FC Barcelona na kuanzisha ushirikiano ambao unawasaidia kupata...
Tundu Lissu ameyasema hayo alipotembelea familia ya Lowassa kuhani msiba kuwa amefika kumpa pole mwalimu wake aliyemfundisha darasani miaka arobaini na moja iliyopita.
Tundu Lissu amesisitiza ukimtoa Mwalimu Nyerere kwa ushawishi anayefuata ni Edward Lowassa kwa ushawishi, hivyo Taifa...
Maamuzi ya wizara ya habari kutafuta Software developers au ushirikiano toka sekta ya kibenki ni wa kupongezwa,Serikalini bado wanajikongoja sana software engineers wake
,Wale vijana waliokuwa wabunifu pale BOT sasa walihamishwa na kupewa vyeo huko e-GA
Baada ya kusikia wizara ya habari...
Mamlaka ya ardhi ijitathimini na ichukue hatua kabla maafa hayajatokea mitaa ya kariakoo kwa maghorofa kuporomoka ghafla kama ilivyokuwa pale posta mtaa wa Indira ghandi kwa kukagua na kusimamia ubora wa majengo
Leo naangazia mtaa mmoja tu wa kariakoo
Livingstone street Kariakoo,
Huu ni moja...
Sikushangaa kusikia Waziri wa michezo akisema hata wao huwa wanamuuliza kocha kwanini amemuacha Shabalala na Feitoto lakini majibu ya kocha yanawaridhisha.
Wakati wa kocha Amunike pale Misri,Wabunge wakiongozwa na ndugai walienda kumpangia kocha Amunike nani acheze au asicheze na alipokataa...
Afrika ni Afrika tu,Na wa Afrika ni wa Afrika tu
Timu ya al Ahly inayojiandaa kucheza na yanga desemba 02,2023 imezua gumzo la mwaka kwa kusafiri na mizigo mingi iliyopita kiasi na kuhitaji gari tatu ,Basi moja kubwa la Happy Nation,Coastal moja ,Pamoja na Noah moja lakini bado gari zote hizo...
Leo club ya Young Africans imekabidhi ng'ombe kwa waandishi wa habari baada ya kureport vizuri na kuhabarisha uma tukio la kumkanda kolo goli tano
Yanga imewashukuru waandishi wa habari kwa ushirikiano mkubwa wanaouonyesha katika kuhabarisha uma
Leo tarehe 27/11/2023 Serikali ya Zanzibar chini ya Rais mwinyi wamekubali kutoa udhamini kwa yanga kupitia taasisi yake ya mapato yaani zanzibar revenue authirity (ZRA) pamoja na ZIPA(Zanzibar investment and promotion agency).
Wawakilishi wa ZRA na ZIPA wameishukuru club ya Yanga kwa kuonyesha...
Zanzibar,
Kwa mujibu wa msemaji wa Yanga ndugu Ally Kamwe mchezaji wao wa kati Ibrahim Bacca ni mwanajeshi wa KM Zanzibar hivyo ameomba mashabiki wa Yanga waliopo kwenye vyombo hivyo siku ya BACCA day tarehe 02 , December 2023 waje kumsupport mwenzao na magwanda yao uwanjani
Kwa mujubu wa Rais...
Kuna maswali huwa najiuliza hivi inakuwaje timu zetu zinakuwa na magolikipa mapazia halafu wanachaguliwa timu za Taifa na kudaka mechi za umuhimu
Manula na Metacha hawawezi kutulia golini na wala hawana uwezo wa kuanzisha mashambulizi inakuwaje tunawapanga kwenye mechi za kimataifa iwe ligi au...
Sijasikia mtu yeyote akipinga uwekezaji bali kelele za watu ni vifungu vya kwenye mkataba
Wajibu hoja wajibu vifungu vya mkataba na sio kujificha kwenye kichaka cha uwekezaji
Uchambuzi wote wa akina Mwabukusi,Dkt slaa,TEC na TLS pamoja na Tundu Lisu umejikita kwenye vifungu vya mkataba kuwa...
Wanabdodi,
Nimewahi kwenda mwenyewe zaidi ya mara mbili kupata vipimo naambiwa huna kitu lakini napatiwa dawa za kutibu ugonjwa kwa makisio tu na hali huwa haibadiliki
Gharama zao zipo juu sana lakini kinachofanyika kina mashaka makubwa
Madaktari ni mabinti wadogo vijana sana lakini uwezo wao...
Wakuu mara ya mwisho nilifika mkoani Mbeya mwaka 2017 ,Sikuona hotel nzuri za kuweza kuwabeba waheshimiwa na mabalozi ,Na kabla ya hapo nimeishi hapo Mbeya miaka mitano
Sijawahi kuona Mbeya ghorofa lenye floor zaidi ya kumi? Wakati huo story zilikuwa Mbeya ni volcanic area na kuna tectonic...
Hofu ni mambo yasionekana bali ni dhahania tu yanaweza kutokea au kutotokea
Taifa haliwezi kukwepa uwekezaji kisa hofu,Hofu huwezi kuikimbia bali unaweza kupunguza hofu
Hatuwezi kuwaogopa Dp World eti kisa waarabu ,Wakifika tutaishi nao na kuwazoea tu
Wazungu Afrika kusini walikuwa na hofu na...
Kwa Tanzania bila kutumia nguvu au kukata kodi kwa lazima hakuna ambaye yupo tayari kulipa kwa hiari
Ukiwauliza wafanyakazi kama kodi ya Pay as you earn(PAYE) ingekuwa unapeleka mwenyewe baada ya kupokea mshahara ,Ni wafanyakazi wachache sana wangepeleka kodi kwenye mamlaka
Kariakoo hata...
Jaji wa Mahakama Kuu anaamua kuficha historia ya Membe kwa kuacha kusema alikuwa mwanachama wa ACT na aligombea urais, kwenye ulimwengu wa kidijitali ambao taarifa zinatunzwa jaji anajaribu kuficha ukweli
Mzee Mohamed Said amekuwa akisisitiza sana kuwa kuna makosa makubwa historia ya hii nchi...
Nimekuwa mtumiaji wa samsung kwa muda mrefu lakini miaka miwili iliyopita niliiweka pembeni simu yangu ya zamani Samsung s20+5g sikuitumia kabisa baada ya kujiunga kwenye simu za ulimwengu mwingine ambazo ni powerful lakini hazina majina
Leo nimeiwasha samsung s20+5g inanihitaji nifanye...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa,Tundu lissu aliwaonya serikali kuhusu mikataba ya MIGA lakini wabunge wa ccm pamoja na serikali walimuona Tundu lissu sio mzalendo
Bunge lile lile na watu ni wale wale kupitia kwa Prof Mkumbo ambaye ni mbunge wa ubungo wameanza kulalamika kuwa serikali inaingia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.