Search results

  1. Madumbikaya

    Anayeijua vizuri Shooters ya Mtwara

    Mimi sio wa huko
  2. Madumbikaya

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Julius Mtatiro ameripoti kwenye kituo chake kipya cha kazi Shinyanga

    Mbona alikuwa waziri mkuu udsm. Wao na akina Silinde na odong odwar plus Bush ndio walileta migomo na changes kwenye bodi ya mikopo ya sasa Mkuu sio kila mtu haifahamu udsm, Ondoa ujinga wako hapa
  3. Madumbikaya

    Mnataka kumbebesha Hayati Magufuli madhambi yenu?

    Summarize uandishi wako,Unaandika maneno mengi mno hueleweki lengo lako? Jaribu kupangilia lengo kuu mwanzo mwa uzi wako Mara unaitwa Sukuma Gang Mara 2010 damu zilimwagika sana Mara JPM 2015 kwani aliharibu uchaguzi Mara Makamba Je ataachia jimbo la bumbuli Ulimwengu wa sasa unahitaji...
  4. Madumbikaya

    Simu za Google Pixel zina shida gani?

    Hakuna simu original china Plaza,Hizo zote zimetumika na kuchezewa huko Dubai Angalia vizuri storage za simu za china plaza Ni refurb zote
  5. Madumbikaya

    FT: Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 06.03.2024

    Simba hakuna timu pale,Wakikutana na Yanga kwa mpira huu watakula hata kumi Simba mpaka uchawi
  6. Madumbikaya

    Baba mweupe Mama mweupe watoto weusi kitaalamu inakaaje?

    Hapo ujue umepigwa na kitu kizito.umeibiwa Mchunguze mkeo labda kama weupe wake ni wa mchongo,Pengine mkeo sio mweupe ila alijichubua enzi zake kwa kunywa madawa ya kubadili rangi Muungalie vizuri miguuni hana weuse kwenye ugoko au mikononi,Wanawake wengi wanajichubua Ulizia vizuri...
  7. Madumbikaya

    Vituo vya Chapati na Mihogo ya kukaanga ndiyo uchumi mpya wa Dar es Salaam?

    Tatizo matumizi ya sponji na nailoni mkuu Wanageuza chapati kwa kutumia vipande vya godoro ambavyo vinashikamana na chapati Maana yake watu wanakula visponji
  8. Madumbikaya

    Dkt. Hussein Mwinyi adai Mzee Mwinyi hakuagiza azikwe Mkuranga

    Bado una Emotion ,Punguza preasure Tatizo lako unataka mawazo yako unayowaza ndio yawe mawazo ya wengine Mara nyingi watu wasiojiamini kama wewe huwa wanakimbilia kulazimisha hoja moja yenye mapungufu na kuacha maana halisi ya mjadala Hakuna logic unayotoa ,Hata Rais Mwinyi hajathibitisha...
  9. Madumbikaya

    Kwanini Kwaresma inaonekana haina uzito kuliko Ramadhani?

    Unajiita Mkristo wakati wakatoliki wao ndio waanzilishi wa ukristo mpaka Biblia wameandika wao Sasa unabishana na mkatoliki aliyeandika biblia na kuisambaza Bibilia yenyewe ni kubwa sana , Watu walipokimbia katoliki akina Martin luther wakapunguza vitabu Acha kuchekesha watu mkuu?
  10. Madumbikaya

    Kwanini Kwaresma inaonekana haina uzito kuliko Ramadhani?

    Ramadhani unamaanisha badala ya kula mchana unakula usiku Unafahamu maana ya kwaresma ?Kwaresma sio kushinda njaa au kubadili milo na kula usiku Kwaresma ya katoliki na wao ndio wahusika wanaongelea matendo ya huruma ,kusaidia wahitaji na wana shirika linaitwa caritas linafanya kazi kila siku...
  11. Madumbikaya

    CCM mnataka hayati Magufuli agombee 2025?

    Ukiachana na Mapungufu mengine Jamaa alikuwa anapiga kazi
  12. Madumbikaya

    Dkt. Hussein Mwinyi adai Mzee Mwinyi hakuagiza azikwe Mkuranga

    Huwezi fananisha siasa za Afrika na Siasa za Marekani.Kila Taifa kuna siasa zake na hata majimbo ya Marekani hayafanani kabisa kisiasa Siasa za Afrika ili ushinde lazima umshambulie mpinzani wako sana ,Lazima utengeneze kamati ya majungu ,Bila kumtengenezea ajali mpinzani wako huwezi kushinda...
  13. Madumbikaya

    Dkt. Hussein Mwinyi adai Mzee Mwinyi hakuagiza azikwe Mkuranga

    Mambo ya akina mwinyi na uzanzibar unavuruga ,Mwinyi ni mtu wa mkuranga na itabaki hivyo Tatizo linakuja sheria za zanzibar zinamuhitaji mnzanzibar awe Rais wa nchi Mwinyi anakumbana na upinzani sana wa chini kwa chini ndani ya wana ccm wazanzibar toka kwenye kugombea Hao ACT wazalendo...
  14. Madumbikaya

    Askari mstaafu Polisi Saba Sita baada ya kuchimba kaburi sasa anunua jeneza

    Sijajua ni matatizo ya afya ya akili au ni laana kama laana zingine pale mtu mstaafu badala ya kutulia na maisha lakini unaanza kuweweseka, Wataalam watatusaidia. Askari mstaafu anayejulikana kwa nick name Saba Sita, Miaka iliyopita alijichimbia kaburi kwa ajili ya manzishi yake nyumbani kwake...
  15. Madumbikaya

    Wakatoliki mnakwama wapi kwenye media?

    Hao wachungaji wana elimu ya dini? Au ndio nabii Tito
Back
Top Bottom