Search results

  1. P

    Kabila amuangukia Kikwete

    mbona mna jump to conclusion?kwani raisi wetu amekubali hilo ombi la kabila?
  2. P

    January Makamba alifadhiliwa na Barrick kuingia bungeni?

    Mwamvita Makamba alituma email kwa bwana wake ambaye ni bosi wa Barrick Gold, tarehe 17/03/2010 saa 18:33 Email inasema"Following our conversation,i can assure you that arrangement have been made for you and your team to meet H.E the president,prime minister and other high ranking officials...
  3. P

    Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

    matokeo ya kata 10 yanaonesha kuwa CCM imepata kura 10,228 wakati CDM imepata kura 7316 hivyo CCM inaongoza kwa kura 2912!
  4. P

    Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

    Hamna cha maandamano wala nini,wote wabeba boksi tu muende kuandamana halafu boksi mtamuachia nani?mkifukuzwa vibarua vyenu nani atawapa kazi?wote wanafiki tu ninyi mpo marekani maisha ya mTZ wa igunga hamyajui acheni kutuvuruga akili
  5. P

    Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

    kwanini msifunge safari ya kurudi TZ illi kuongeza idadi ya kura za kuiondoa ccm madarakani?
  6. P

    Tukumbushane kidogo: Wanasiasa maarufu waliopata kubwagwa ubunge

    Marehemu Capt Ukiwaona Ditopile Mzuzuri mwaka 1995 alibwagwa na Mzee Paul Rupia Mzee Paul Rupia akaja kubwagwa na Dr Makongoro Mahanga mwaka 2000
  7. P

    Mabadiliko ya Katiba: Kikwete aongezewe muda wa miaka mitano

    Wakati Rais JK anaingia madarakani mwaka 2005 watanzania wote bila ya kujali itikadi za kidini,kikabila na kisiasa tulikuwa na matumaini makubwa na rais, tulikuwa na imani kuwa mianya ya rushwa ingezibwa,wigo wa demokrasia ungepanuka kwa kiasi kikubwa na la muhimu kabisa ni Maisha ya Mtanzania...
Back
Top Bottom