Leo nimekaa sehemu namwagilia moyo, nikiwa natafakari ya ulimwengu na walimwengu wake, ghafla nikajikuta nakumbuka mikasa mingi ya kusikitisha, ya kishujaa,ya kufurahisha na mingine ni ya kusisimua kipindi bado mdogo naangali mifugo ya wazee wetu mzee Shamakala.
Nikaona ni vyema basi tuwe na...
Chatu huwa sio tu anajisalimisha,huwa anajisalimisha huku anajua kinachoenda kutokea,maana mmbwa huwa anatoa ile sauti ndogndogo ya maumivu huku kaficha mkia,sie tuliochunga ukiona mmbwa nyuma yako anagugumia unageuka chap kukagua..mita chache unamuona chatu..basi unamuokoa kwa kumkata na panga...
Kutoka kushoto ~ Habibu R Halahala -Mwandishi wa Raisi AH Mwinyi, Paul Sozigwa Mkurugenzi wa Radio Tanzania Dar-es-Salaam, Mwalimu Julius Nyerere, Brigedia Hashim Mbita Mkurugenzi wa Kamati ya Africa ya Ukombozi wa nchi zilizo kwenye ukoloni Africa na Mwamba Benjamin W Mkapa, wote hatunao hapa...
Natafuta wimbo wa Sanura, sijui umeimbwa na msanii gani wa Tanzania,ila sauti yake ni kama ya Tongolanga wa Makondeko Musica.
Baadhi ya verse zake ni
'Sanura umeumbika,
kwako nimefika mwisho kwa kupenda,
Mtamaliza maneno,
Na mwisho wake vitendo,
Kinacho muweka kwangu,
ni siri ya moyo wakeeeee!
Lengo la MUNGU kuufanya moyo wa Farao kuwa mgumu,ilikuwa ni kutaka kuonesha ukuu wake kwa Wana wa Israel pamoja na Farao mwenyewe...ikumbukwe kuwa MUSSA alikimbia ikulu ya Misri kwa mauaji,kwa hy alikuwa WANTED, lakini pia asingeaminiwa kirahisi na waisraeli,unless huyo MUNGU afanye...
Hiyo ni roho ya kwa nini,ni mbaya sana...kuna mawili yanaweza kukutokea usipojifunza kukubali na kuwaunga mkono wenzako wanaofanikiwa...udhoofike na ufe kabisa,au uwe mchawi uroge wenzako.
Funga uombe MUNGU akuondolee hilo tatizo.
Mshara wa kwanza kama alivyo mzaliwa wa kwanza katika familia huwa ni wa BWANA/MUNGU....ungemshauri mshahara wote apeleke kanisani/msikitini kama shukrani..na aombe MUNGU amzidishie..ili inayofuata ndiyo afanye hayo uliyomshauri..asimsahau baba.
Uko sahihi sana, hata Mwl. Nyerere aliukubali uwaziri mkuu kisha ndio akaendelea kupambania kusaka uhuru....kabla ya jambo kubwa kupewa, MUNGU huanza na dogo kwanza...
Hawajui wao kuwa ni chumvi au chachu ya mabadiliko. Chumvi huwa haihitajiki kwa wingi kukoleza mbega au chakula, chachu pia huhitajika kidogo sana kugeuza mchanganyiko wa unga wa ngano na maji kuwa mkate.
Naungana na wewe,waende tu na wala wasiangalie uchache wao,sisi watanzania kipekee kabisa...
Hatujaanda kitu kikubwa sana zaidi ya pesa ya skaveta kiasi,maana kama ulifuatilia maelezo yangu kwenye uzi huu, kuna sehemu imekaa vibaya,kunajiwe lipo kama mtego....ndio tuliogopa kundelea kuchimba maana linaweza kushukia mtu humo shimoni likaleta maafa. Sasa hapo ndio pakufanyiwa kazi,kule...
Kwa nini mzee,hebu ongeza nyama kidogo,maana karibu kila kitu kimeshaandaliwa...tunamsubiria mshirika mmoja tu akifika kazi ifanyike. So kama unauzoefu hebu tiririka kidogo.
Sijajua kama ni uongo au utapeli, ila jamaa ndio kasema vile.
Hy site tuliingundua, na tuliifanyia kazi lakini kuna pahala tulikwama, sasa kama mtu kasema atafanya kazi ya kutoa mzigo na hajatuomba fedha utapeli unaijia wapi sasa!
Sie wenzako huwa tunafanyia kazi kila taarifa kuthibitisha usahihi au upotofu wake, cha msingi tu hy kitu ni practically possible. Utapeli au ukweli utajulikana...kikubwa ni uthubutu huku tukiwa na tahadhari,basi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.