Search results

  1. Dong Jin

    Mzizi wa fitna: Pacome vs Chama, nani zaidi?

    Samson Mbangula 🤣🤣🤣
  2. Dong Jin

    Mzizi wa fitna: Pacome vs Chama, nani zaidi?

    ... 🔖 𝙉𝘼𝙉𝙄 𝙕𝘼𝙄𝘿𝙄 ? Baada ya ushindi wa Simba (6-0) dhidi ya Jwaneng nimeona mijadala mitandaoni watu wakibishana nani zaidi kati ya Chama na Pacome ?! Nami nimeona nisipitwe na mjadala huu. Kama kawaida yangu huwa naongea na takwimu kisha nawaachia mchambue wenyewe kama hivi ; 𝘾𝙃𝘼𝙈𝘼...
  3. Dong Jin

    Sijawahi kuambiwa maneno yakaniuma kama aliyoniambia aliyekuwa mpenzi wangu, sitayasahau kamwe

    Huyu anaishi nje ya reality kwa kujifananisha na mtu ambaye kamuacha mbali kitabia na kisifa Kwenye mithali 31:30 utagundua kuwa mume wa huyo mwanamke alikiri wazi kuwa katika mabinti wengi aliowaona ni huyo pekee kawazidi wote (hata bukuku alitungia wimbo huu mstari)... Lakini kwa huyu dada...
  4. Dong Jin

    Sijawahi kuambiwa maneno yakaniuma kama aliyoniambia aliyekuwa mpenzi wangu, sitayasahau kamwe

    Sipo rude ila nimejaribu kung'amua mambo machache kutoka kwa maneno yako na ndo maana nimekwambia hivo. Jaribu kuishi uhalisia wako itakusaidia sana kuliko kuigiza kama mithali lady kumbe kiuhalisia haupo hivo
  5. Dong Jin

    Sijawahi kuambiwa maneno yakaniuma kama aliyoniambia aliyekuwa mpenzi wangu, sitayasahau kamwe

    Mithali what??? Hahahaaah! Tuache kudanganyana hapa. Just imagine; (kutoka katika komenti zake) ~age: 36 ~watoto: hana ~bikra: hana ~maex: wawili (wanaojulikana mpaka kwa ndugu akiwemo mchungaji) ~hitmen (madanga): unknown ~kutongozwa: yes as a lady ~nk Kiufupi, our mithali lady yupo desperate...
  6. Dong Jin

    Wimbo wa enjoy ungekuwa ni collabo kati ya Jux na msanii wa kawaida ingetisha sana

    Hata sumu alikiba angemshirikisha mond ingekuwa global hit... Ye kajichagulia kina marioo! Hv unajua "enjoy" haijaizidi kwa uzuri na kupendwa "sugar daddy" aliyoimba gnako na jux lakini enjoy ndo imehit zaid ya sugar daddy??? Mtu unayemshirikisha ndo anadetermine ukubwa wa nyimbo na sio uzuri...
  7. Dong Jin

    Klabu ya Yanga inaongozwa ovyo ovyo sana!

    Nina wasiwasi na uwezo wa ubongo wa mtoa mada... Inaonesha ana akili ndogo sana ya kufikiria
  8. Dong Jin

    Siwezi kuwapigia makofi mashujaa FC kwa ushindi wao wa mchongo ulioaandaliwa na lazima wapande ligi kuu

    Mi naona marefa wamefanya jambo la maana sana kuisukumizia mbeya site kule nje na kuibeba mashujaa kama yai... Waende wakajipange upya. Timu haikuwa serious kabisa! Misimu karibia mitatu wananusurika playoff...
  9. Dong Jin

    Kocha Noureddine Al-Nabi atua Yanga

    Hahahaaah! Kufukua makaburi kuna raha yake aiseee!
  10. Dong Jin

    Msanii gani Tanzania yupo zaidi ya Marioo?

    We marioo acha makasiriko ww, mwenzako mbosso keshaachia dude huko la "sitaki". Vp umejipangaje kumjibu? Maana ndo zako hizo
  11. Dong Jin

    Msanii gani Tanzania yupo zaidi ya Marioo?

    Sahv bado tunaumalizia utamu wa "kibela remix"
  12. Dong Jin

    Msanii gani Tanzania yupo zaidi ya Marioo?

    Sawa Marioo tumekusikia... Lipia tangazo
  13. Dong Jin

    Mwanaume akizama kwenye dimbwi la mapenzi anakuwa na tabia gani?

    Huyo hakufai, niamini mimi... Kuna mwamba mmoja alimfukuzia dada angu (family friend), tokea 2015 mpaka 2020 (wakati wa korona). Alipopata utalezi huwezi amini mpaka leo huyo dada anajilaumu kuigawa bikra yake kizembe
  14. Dong Jin

    Mwanaume akizama kwenye dimbwi la mapenzi anakuwa na tabia gani?

    Hahahaaaah! Ngoja mi nianze mdogomdogo...
  15. Dong Jin

    Mwanaume akizama kwenye dimbwi la mapenzi anakuwa na tabia gani?

    Mtu anaishi na sogea tukae, haujawahi ona wamegombana na bado anakutaka wewe... Hapo dada jiandae kwa haya matatu ~kuliwa harafu uachwe ~kuvuruga nyumba ya watu uishie kurogwa, na ~kuchukua jimbo harafu ujiandae kufanyiwa ulivyomfanyia sogea tukae wake
  16. Dong Jin

    Kuna nyimbo unaisikiliza na huikinai siku zote?

    Him or me - Chris brown, hili song sijawahi lichoka hasa kila nikimkumbuka yule mdada wa kipare alichonifanya 🤣🤣🤣
  17. Dong Jin

    Hii inatisha aisee! Nimemkosa binti wa kinyantuzu hivi hivi eti kisa ng'ombe

    Wacha maneno wewe, lipa mahari hiyo... Haina mbambamba no mara waaaa 🤣🤣🤣
  18. Dong Jin

    FT|| Horoya AC 1-0 Simba SC | CAF Champions League | Stade General Lansana Conte | 11.02.2023

    Huyu mdudu ndo kagoma kwenda kuchekea chooni 🤣🤣🤣🤣
Back
Top Bottom