Search results

  1. Mzee Kigogo

    Land Rover Defender Tdi vs Land Cruiser 70 series

    Nimekuta wadau wa magari wanabishana kuhusu ubora wa hizi gari pendwa za off road aka gari za pori. Nani mkali kuanzia Bei ikiwa mpya Au used, Maintenance, resale value nk. Binafsi naona LC 70’s ni gari ya uhakika kwa wapenzi wa off road.
  2. Mzee Kigogo

    Land Cruiser GX 105 series

    Wadau hizi gari unaweza kupata kwa bei gani kuanzia mwaka 2002 mpaka 2007. Nimewahi kusikia kwamba unaweza kupata kwa bei nzuri kwenye auctions za NGOs ama Serikalini. Mwenye kujua naomba info zaidi. Shukrani
  3. Mzee Kigogo

    Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Land Rover Discovery TD5

    Heshima kwenu Wakuu! Hapa kati nimejichanga kama $ 13000 hivi nikaona sio mbaya nitafute SUV kwa ajili ya Safari za Porini hasa siku nimeamua kutembelea mbuga za wanyama. Katika Pita pita zangu mitandaoni nikaona hizi gari Land Rover Discovery 2. Kuanzia mwaka 1999 mpaka 2004 kama sikosei...
  4. Mzee Kigogo

    Oliver N’goma: Mmoja kati ya wanamuziki bora zaidi wa kiume wa miondoko ya Zuku

    Huyu ni mmoja ya kati ya wanamuziki bora zaidi wa kiume wa miondoko ya Zuku kuwahi kutokea katika hii dunia. Embu tujikumbushe kidogo na hii ngoma yake Inaitwa Ng’e. Btw wale watoto wa bongo flavor sikilizeni hii ngoma alafu mlinganishe na muziki wa sasa wa wavaa suruali chini ya makalio.
  5. Mzee Kigogo

    Isuzu Wizard 3.0 Diesel Manual Transmission

    Wadau Kwema?! Samahani kama kuna mtu anafahamu wa hizi gari. Kuanzia Uimara wake, Ulaji wa mafuta, upatikanaji wa Spear zake, comfortability yake n.k. Nna mpango wa kuagiza kutoka Japan so kama kuna mtu ameshawahi kuitumia sio mbaya ukashare experience yako kuhusu hii gari. Ahsanteni
Back
Top Bottom