Search results

  1. Tella Mande

    Watu wenye sura mbaya na miili mibovu. Vinasaba vyao vikali sana

    Nimekuwa nikiona picha za familia mbalimbali na pale ambapo mmoja wao ana sura au mwili usioumbika vizuri unakuta karibu watoto wotee wanafana na yule mbovu, na yule mzuri anakuwa hajaambulia kitu. Mtu anakomba mpaka kucha, vudole, size ya mguu nk. Hii ni kwanini wadau ?
  2. Tella Mande

    WIZARA YA ELIMU: Mabadiliko kwenye elimu yetu Tanzania

    Nimekuwa nikisikia matamko ya wenye mamlaka kwenye sera, miongozo na watoa fedha kwenye sekta ya elimu nashangaa. Bado utasikia wapo wanafunzi wa msingi na sekondari wasiojua kusoma na kuandika. Wanaotoa fedha unasikia wakijisifu kujenga madarasa. Hongereni. Mimi huwa najiuliza, hivi mfuma...
  3. Tella Mande

    Kuruhusiwa kwa mikutano ya kisiasa, nasubiri kuona!

    Naona watu wanafurahia kuruhusiwa kwa mikutano ya vyama, ila tatizo sijui kama limezungumzwa na kuwekewa mipaka 1. Kuna kitu kimeitwa lugha ya staha, je, ni pamoja na kutokosolewa? Je, ni nani anayeamua kuwa wewe lugha uliotumia sio ya staha? Ni polisi? 2. Double standards. Huko nyuma kulikuwa...
  4. Tella Mande

    TRA mtaacha lini kero hii?

    Kumekuwa na tabia sugu ya TRA kufanya kazi kama Trafiki wa Tz. Wanaamka, wanaweka kizuizi njiani eti wanakagua mapato ya malori. Mbaya zaidi kazi hiyo wanaifanya baada ya muda wazi, baada ya ofisi za TRA yenyewe kufungwa. Unapigiwa simu saa 3 usiku na dereva anakuambia TRA wanasema unadaiwa...
  5. Tella Mande

    Kusahauliwa vitambulisho banks nk

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Kila ninapotembelea taasisi mbalimbali ambazo ili uhudumiwe unahitajika utoe utambulisho unakutana na vitambulisho vilivyosahaulika. Hivi vya bank ndivyo vibavyonitia simanzi kwani bank wana taarifa zako zote mpaka namba yako ya Simu...
  6. Tella Mande

    Tatizo la maji na umeme Dar mamlaka kimya

    Kwa muda sasa maeneo mengi ya Dar yana tatizo la maji zaidi ya wiki sasa na mamlaka husika ziko kimyaa !!. Maeneo ya Sinza, Mwenge, Kinondoni, Mwananyamala nk maji hamna kabisaa. Kukatika umeme zaidi ya mara 3 kwa siku nayo inaanza kuzoeleka hukumamlaka zikiwa kimyaaa. Huku ni kutupa ishara...
  7. Tella Mande

    Baadhi ya magari ya serikali yanaendeshwa vibaya sana

    Sijui kama hili ninaliona mwenyewe au la. Nilikuwa safarini kutoka Dar kwenda Katavi. Njiani nimepitwa na magari ya serikali yakiendeshwa kwa mwendo kasi, overtake za hatari, wrong site na taa zimwwashwa mchana kweupe. Barabara ya Dar kwenda dodoma na dodoma singida ndo zimetia fora. La...
  8. Tella Mande

    Hivi Wachumi nchi hii wapo?

    Tunavyo vyama vya kitaalam mpaka kwenye taaluma ambazo ki ukweli hazina impact kiville, lakini wapo. Kuna chama cha wahasibu Chama cha wanasheria Chama cha waalimu Chama cha madaktari Chama cha wauguzi Ila kinachonishangaza ni kuwa taaluma muhimu kama WACHUMI sijasikia kama wana umoja wao na...
  9. Tella Mande

    Tuwashauri Azam TV - Sinema Zetu

    Mimi ni mpenzi wa Azam Tv kwa ujumla wake ila yapo mambo ambayo nadhani bado ipo fursa ya kuboresha zaidi. Kwanza niwashukuru Azam TV kwa kuboresha movie za ndani. 1. Waboreshe wigo wa kuchagua sinema za kuonyesha kwa kuzipa nafasi movie zilizogizwa katika mazingira ya mikoani. Kwa sasa sinema...
  10. Tella Mande

    Mchongo wa Biashara ya magari ya maji taka hapa Dar

    Mimi ni transporter wa muda mrefu toka coaster kuja fuso mpaka sasa malori. Ninaona kama fursa ipo kwenye biashara ya malori ya maji machafu haswa haya makubwa ( lita 15,000 hadi 20,000) Natamani kupata uzoefu wa walioko kwenye hii biashara.... 1. Njia nzuri na rahisi ya kupata haya malori...
  11. Tella Mande

    Uchafu na harufu mbaya machinjio ya kuku

    Nimekuwa kila nikipita maeneo ya masoko mengi yenye machinio ya kuku hapa Dar haswa Shekilango na Manzese ninarudishwa na harufu kali inayotoka kwenye machinjio hayo. Cha kushangaza uongozi wa masoko hayo, serikali za mtaa na uongozi wa halmashauri zimekuwa kimya kabisa. Kukiwa na mvua au...
  12. Tella Mande

    Kodi ya malori ni kodi gani?

    Katika hotuba nimesikia kuanzishwa kwa kodi ya malori. Nijuavyo mimi wenye malori wanalipa kodi kama wamiliki maana ukaguzi wa risiti za usafirishaji unafanyika mbele ya macho yetu. Sasa hii kodi ni kwa kila lori bila kujali kazi au ni kima cha chini cha kodi bila kujali biashara? Wenye kulijua...
  13. Tella Mande

    Shida yangu na NHIF ni pale kadi inapoandikwa ile tarehe uliyolipia kama tarehe ya kuanza matumizi badala ya ile tarehe uliyoambiwa uchukue kadi

    Umekuwa ni utaratibu wa kawaida kabisa unapokata bima ya afya kutakiwa kusubiri miezi 3. Hili mimi sina shida nalo. Shida yangu ni pale kadi inapoandikwa ile tarehe uliyolipia kama tarehe ya kuanza matumizi badala ya ile tarehe uliyoambiwa uchukue kadi. Mfano. Unapolipia kadi december...
  14. Tella Mande

    Natafuta dawa ya kuacha pombe na Sigara

    Wana JF, Nina rafiki anasumbuliwa sana na ulevi na sigara na tayari vimemgharimu ajira yake na familia imeyumba sana. Familia yake wamejaribu maombi, rehabilitation nk lakini bado. Nasikia kuna dawa za mitishamba za kuacha pombe na sigara ila sijui wapi pa kuzipata. hizi za maduka ya kisuna...
  15. Tella Mande

    Sheria yetu ya ndoa kila kukicha inazidi kupitwa na wakati

    Sheria yetu ya ndoa kila kukicha inazidi kupitwa na wakati na teknoligia. Hebu tutizame mifano ifuatayo inayoonyesha mapungufu ninayoongelea. 1. Kumekuwa na ongezeko la watu wenye ndoa kufunga ndoa ya pili bila kutambulika. Mtu akiwa ndani ya dini moja akihama dini hiyo anafunga ndoa kwenye...
Back
Top Bottom