Search results

  1. hoffman

    Garage inayoweza kukata na kuunda board ya gari.

    Ninataka kuagiza gari aina ya Suzuki jimny, ikifika niikate iwe kama pick up. kwa yeyote mwenye uzoefu na garage nzuri inayoweza kuniundia anisaidie mawasiliano.
  2. hoffman

    Sehemu zinapopatikana mashine za kuranda mbao

    habari wanajamii wezangu, ninahitaji kujua ni sehemu gani wanauza mashine za kuranda mbao na ni kwa bei gani Jijiji Dar, uwezo wake na ipi ni bora zaid kwa kuanzia biashara hii! matumizi yake ya umeme inahitaji 3 phase au hata huu wa kawaida, mwenye kujua zaidi kuhusu biashara hii naomba anijuze.
Back
Top Bottom