Search results

  1. hoffman

    Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

    Inasikitisha sana kupigwa ovyo hivyo na kibaya zaid hana mtetezi hapo alipo.
  2. hoffman

    Nawakumbusho: MAGUFULI DAY ni kesho

    R.I.P rais wangu mpendwa.
  3. hoffman

    Ili kupaa kisiasa Tanzania inabidi umuongelee Hayati Magufuli tu

    Nilikuwa sijui maana halisi ya UNAFIKI but now I can understand it clearly. Hii ni baya sana.
  4. hoffman

    Kwanini kodi ya gari la miaka ya karibuni iko juu sana

    Ukiachana na mwaka wa zamani kuwa na ushuru kidogo lakini pia kuna Pickup, lorries na the likes ambazo ni muhimu kwenye shughuli za kijamii unakuta ushuru ni mkubwa ajabu. Serikali inajukumu la kutusaidie tuishi maisha ya first world. Waache kuangalia kodi ambayo inazuia watu kuishi maisha ya...
  5. hoffman

    Je, ni Rais gani aliyependwa kuliko wote Tanzania?

    JPM, Mwamba kabisa (R. I. P)
  6. hoffman

    Mkataba wa Bandari, Wabunge wasema waliburuzwa

    Hahahah, ahagaike na vitu alivyo navyo uwezo.
  7. hoffman

    Kibongobongo kumiliki milioni 100 kabla ya miaka 30

    Hahaha, umekuja kuwasidikiza watu.
  8. hoffman

    Kitabu cha Afrika Magufuli and Change chaingia Tanzania

    Tunakipataje kitabu cha Mwamba, aka Uncle Magu.
  9. hoffman

    Naielewa sana channel ya Alzeeera news

    Hahahah eti yupo yuropu kuomba omba
  10. hoffman

    Taifa la washangilia Misiba na Visasi

    Kulia na kucheka zamu zamu, mlifikirri tutalia sisi tu.
  11. hoffman

    Taifa la washangilia Misiba na Visasi

    Hahahah
  12. hoffman

    Rais Samia Ziarani Namibia

    Siku moja moja unakuwa positive kwa mh. Rais ili apige kazi zaidi
  13. hoffman

    Kusema Ukweli Rais Samia amemzidi mbali sana Hayati Dr. Magufuli

    Ushahidi kamuulize CAG, na kwa sasa mnasema CAG pengine haelewi anachokifanya.
  14. hoffman

    Medard Kalemani kwa nini haupambanii jimbo lako?

    Nani kakuambia kabaki peke yake?
  15. hoffman

    Rais Samia aamuru Wasaidizi wake wamtoe nje ya uwanja mtu mmoja kwenye Sherehe za Mei Mosi

    Inabidi ujue kuwa hadi mtu kufikia hapo mara nyingi anakuwa hajapata msaada kwa viongozi wake. Kuongea mbele ya rais wala siyo dhambi.
Back
Top Bottom