Search results

  1. R

    Ulivyoagiza gari yako spare key uliikuta sehemu gani?

    Sio kweli mzee...nadhani kama umeshawahi kuagiza gari utakutana na hali tofauti unisikilize stori za kijiweni mimi nakwambia nimenunua gari mpya na used na zote nakuta spare keys sehemu tofauti
  2. R

    Ulivyoagiza gari yako spare key uliikuta sehemu gani?

    Chini ya siti ya dereva ulikua umewekwa kule
  3. R

    Msaada: Nataka kujua utumikaji wa mafuta kwenye Valve Matic Engine

    Mimi kwa sasa natumia yenye valve matic engine siwezi kusema nibaya kwa kua hazijanipa shida ila ina nguvu sana kwa sababu valve matic ni kitu kinaongezwa kuipa nguvu gari kama ilivyo turbo...engine zenye valve matic ni kuanzina cc1790 ambayo ukiwa kwenye highway inakupa matumizi bora sana ya...
  4. R

    Msaada: Nataka kujua utumikaji wa mafuta kwenye Valve Matic Engine

    Hakuna mwenye ufahamu na hii engine au ndio watu hawazitumii
  5. R

    Msaada: Nataka kujua utumikaji wa mafuta kwenye Valve Matic Engine

    Nimeona gari nyingi ndogo sasa hivi zinatumia hii engine ya valve matic na zikiwa na cc1790 kuhusu ubora wanasema ni nzuri zaidi ya VVTI ila tunahitaji kwa mtu aliyeitumia hasa labda alete ushahidi Sent using Jamii Forums mobile app
  6. R

    Msaada kuhusu EGM combination

    EGM ni nzuri sana mimi nilisoma hiyo combination halafu chuo nikasoma procurement sijawahi kujuta maisha yanaenda
  7. R

    Hivi hii Halotel ina nini?! Au ni kwangu tu...

    Hakuna lolote halotel kwa dar sasa mtandao ni wa sehemu zote au ni mtandao wa mtaa kwa mtaa.kama wanataka kutoa huduma wahakikishe kote kunakua sawa labda kama unatoka nje ya mji
  8. R

    Hivi hii Halotel ina nini?! Au ni kwangu tu...

    Basi itakua nchi nzima sasa kwa hapa dar mwanzoni ilianza vizuri sana ila siku zinavyozidi kwenda network yao inapungua nguvu sa ivi natumia voda 4g iko poa sana halotel sitaki tena
  9. R

    Hivi hii Halotel ina nini?! Au ni kwangu tu...

    Watakua wako bize vijijini wa huku mjini hamlipi
  10. R

    Hivi hii Halotel ina nini?! Au ni kwangu tu...

    Kweli kabisa me niko dar network hasa ya internet imekua mbovu mno mpaka nimeamua kurudi zangu kwenye mtandao wa zamani
  11. R

    Mabasi gani mazuri kutoka Dar kwenda Kigoma?

    Basi la moja kwa moja dar es salaam mpaka kasulu ni adventure nauli 60,000/=
  12. R

    Mabasi ya HYUNDAI yanamuonekano mzuri sana. Vipi kuhusu ubora wake?

    Hizo basi sio Hyundai balo ni za kichina kampuni inaitwa HIGER sema zinakua kama na logo zinataka kufanana
  13. R

    Mpangaji ukinunua Mita ya LUKU, siku ukitaka kuhama unaondoka nayo?

    Kama nyumba ni ya kupanga hama tafuta nyumba nyingine
  14. R

    Ratiba yangu ya tarehe 25 october.

    Aise hii mada imekaa kikomedi zaidi lakini kuna watu wataunga mkono.manake ukiwa unaenda machinjioni lazima sura yako pia ikae kichinjaji
  15. R

    Galaxy Special: Kwa waliowahi kusoma/kufundisha Galanos High School.

    Hahaha dah Galanos nimesoma hapo nimefurahi kwenye wimbo tu.msocha yupo kama kawaida yake....ana tabu mzee yule
  16. R

    Magari haya yameachwa kuzalishwa?

    Magari yenye uhakika ambayo hayazalishwi kwa sasa ni toyota verrosa na toyota volts kutokana na kua na soko dogo
  17. R

    Basi la Gameti lapata ajali

    Sasa hii hali imezidi...siku hizi hatuulizani habari nyingine zaidi ya leo kuna ajali gani
  18. R

    Basi la Gameti lapata ajali

    Me sisafiri
Back
Top Bottom