Search results

  1. Jabari XVI

    Huyu mtu ananifaa kweli au niachane nae

    Mume nipo hapa lakini kila siku unaniringia, haya we endelea tu na hao mabishoo wako. Wasalam ni mimi mume bora kutoka kwa bwana
  2. Jabari XVI

    Kama hujawahi kufika jiji la Tanga, basi haya ndio mambo yanayopatikana huko

    Twende tukanywe anjari, nina safari ya huko kesho jioni
  3. Jabari XVI

    Dudley Mbowe anatosha kurithi Uenyekiti CHADEMA?

    Hapana siyo wa ukoo wao, isipokuwa tu mimi ni mfuatiliaji wa mienenendo ya siasa ya Tanzania
  4. Jabari XVI

    Dudley Mbowe anatosha kurithi Uenyekiti CHADEMA?

    Nilikuwa namjua na tayari alikuwa anajihusisha na chama
  5. Jabari XVI

    Yanga leo kacheza vibaya na Namungo

    Points 3 tu inatosha hayo mengine ni ziada
  6. Jabari XVI

    Dudley Mbowe anatosha kurithi Uenyekiti CHADEMA?

    Nilikuwa nashangaa hapa, mbona huyu mtu sijawahi hata kumsikia!
  7. Jabari XVI

    Haya maradhi sasa imekuwa too much!

    Kumbe uliondoka Dsm binti madeko!
  8. Jabari XVI

    Hatimaye nimempata!

    Nimekuelewa mkuu 🙏
  9. Jabari XVI

    Hatimaye nimempata!

    Really! How do you feel the happiness in upweke mkuu?
  10. Jabari XVI

    Hatimaye nimempata!

    I'm always here nafuatilia kila threads, comments na kila kitu chako... Sasa subiri niende ngende nikakuroge tu 😭
  11. Jabari XVI

    Hatimaye nimempata!

    How can I join you, stop this please 😭😭😭
  12. Jabari XVI

    Hatimaye nimempata!

    Yani today "my on will go heart" ngoja nikanywe maji kwanza labda nitapata a relief kidogo.... KHEEE! 😭
  13. Jabari XVI

    Hatimaye nimempata!

    Daaaah I can't believe that you have decided to dishonor me this much, yani after all long wait but you choose to go to other guy. Kweli life is so unfair.... AMA KWELI, KULIA ALIE CHIRIKU AKILIA BUNDI NI MCHAWI 😔
  14. Jabari XVI

    Serikali itangaze Umeme kuwa janga la Kitaifa

    Wewe unasema jana na leo tu, mwenzako huku wilaya nilipo muda tunaopata umeme ni robo tu ya ule tunaokuwa bila ya umeme karibu kila siku, yani 25:100. Na shughuli yangu bila umeme ni sawa na bure. Tunafelishwa na tatizo hili
  15. Jabari XVI

    CHADEMA wakiwa kwenye Maandalizi ya Kufanya maandamano

    Pipa + mfuniko + takataka
Back
Top Bottom