Search results

  1. diana chumbikino

    TANCOAL watekeleza agizo la Waziri Biteko, wakabidhi tani 30 za makaa ya mawe

    Kampuni ya uchimbaji wa madini ya makaa ya mawe Tancoal imetekekeleza ombi la waziri wa madini Doto Biteko kwa kukabidhi tani 30 za makaa ya mawe,juu ya kumsaidia mzee Reuben Mtitu maarufu kwa jina la mzee Kisangani wa Kijiji cha Mkiu wilayani Ludewa Mkoani Njombe kutokana na changamoto ya...
  2. diana chumbikino

    Mashine za kutafsiri kazi za Ubongo

    WANASAYANSI wameweza kuongeza utaalamu zaidi wa kutambua jinsi binadamu anavyozungumza kwa kuangalia mfumo wa ubongo wake. Wataalamu hao wameweza kuhamisha mfumo wa ubongo kwa jinsi sentensi zinavyoundwa katika uhalisia na kupata kiwango cha makosa cha asilimia tatu katika neno. Awali mashine...
  3. diana chumbikino

    Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    MAFANIKIO ya kishindo, kujivunia na ya kihistoria yanayojumuisha maeneo 23 yamepatikana katika Serikali ya Awamu ya Tano katika kipindi kifupi cha miaka minne ya uongozi wa Rais John Magufuli. Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango (pichani) alielezea mafanikio hayo juzi wakati...
  4. diana chumbikino

    Umeme wa megawati 80 kuanza mwakani

    BODI ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) inatarajia kupokea umeme wa mradi wa maporomoko ya Mto Kagera ya Rusumo, unaojengwa katika Kata Rusumo wilayani Ngara mkoani Kagera ifikapo mwaka 2021. Mradi huo utakapoanza kutekelezwa, utasaidia kutatua changamoto za umeme nchini. Mradi huo...
  5. diana chumbikino

    BoT yaja na mfumo bora wa uwekezaji taasisi, mashirika

    BENKI Kuu ya Tanzania (BoT), imesema imeandaa mfumo bora wa kuziwezesha taasisi binafsi na mashirika ya umma kuwekeza kwa faida badala ya kupata hasara katika shughuli za biashara na uwekezaji kwenye jamii. Akizungumza wakati wa semina ya waandishi wa habari za uchumi na biashara, Meneja wa...
  6. diana chumbikino

    Mitambo ya viatu Magereza yawasili

    AWAMU ya kwanza ya mitambo ya Kampuni ya Kutengeneza Viatu ya Jeshi la Magereza imeshawasili nchini kutoka nchini Italia. Hayo yamebainishwa na Msemaji wa Jeshi la Magereza nchini, Amina Kavirondo alipozungumza na HabariLEO. Kavirondo amesema makontena 15 kati ya 80 ya mitambo hiyo yaliwasili...
  7. diana chumbikino

    Serikali kuondoa changamoto zote uwekezaji

    SERIKALI itaendelea kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji na kuondoa changamoto zote zinazokwamisha sekta ya uwekezaji nchini. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema hayo juzi alipotembelea Kiwanda cha Saruji Simba jijini Tanga ambapo alizungumza na uongozi pamoja na wafanyakazi wa kiwanda hicho...
  8. diana chumbikino

    Rais Magufuli afanya mazungumzo na msomi Prof Patrick Loch Otieno Lumumba, msomi huyu ammwagia sifa lukuki Dr Magufuli

    MSOMI na mwanamajumui wa Afrika (Pan-Afranist), Profesa Patrick Lumumba amesema Rais Dk John Magufuli ni mfano wa kuigwa kutokana na uongozi wake wa kupigania rasilimali za nchi ikiwemo madini, kujenga nidhamu ya utumishi na kuimarisha uchumi. Amesema Rais Magufuli ameweza kupambana vyema na...
  9. diana chumbikino

    Madalali wa nyumba, viwanja kuwa na leseni

    SERIKALI imetoa onyo kwa madalali na waendesha minada wote nchini, wanaoendesha shughuli hizo bila ya kuwa na leseni, kuwa kuanzia sasa atakayebainika hatua kali zitachuliwa dhidi yake. Madalali hao ni wa nyumba, viwanja, mahakama, usafiri na magari na kampuni zinazoendesha minada. Pamoja na...
  10. diana chumbikino

    TANESCO yakarabati vituo 9 kupoza umeme

    SHIRIKA la Umeme Tanzania(Tanesco) limepata Euro milioni 139 kwa ajili ya mradi wa ukarabati wa vituo tisa vya kupoza umeme sambamba na kujenga mfumo wa kisasa wa kudhibiti umeme, ambao utakuwa na uwezo wa kutambua tatizo la kukatika umeme lilipoanzia na kufanyiwa kazi mapema. Hayo...
  11. diana chumbikino

    Ujumbe maalum kwa maaskofu na waumini wa KKKT

    Kwa muda mrefu nimekuwa katika shuhuda kwa watu, ndani na nje ya nchi kuhusu mwenendo wa kanisa letu, viongozi wetu katika kanisa na hata kuhubiri mambo ambayo kwayo, KKKT limelelewa miaka mingi iliyopita. Sishangai mabadiliko ndani ya kanisa, ila mabadiliko yanapokiuka misingi ya dini, imani...
  12. diana chumbikino

    Barabara za mzunguko Dodoma kujengwa kwa miezi 36

    Ujenzi wa barabara za mzunguko katika Jiji la Dodoma zenye urefu wa kilomita 112.3 utafanyika kwa miezi 36 huku Sh17 bilioni zikitengwa kuwalipa wananchi fidia. Kiasi cha Sh494 bilioni za ujenzi wa barabara hizo kitatolewa na Benki ya Maendeleo ya Afrika na Serikali ya Tanzania. Akizindua...
  13. diana chumbikino

    SADC Wapinga Mkataba kutouza Twiga, Tembo

    NCHI za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zimepinga Mkataba wa Kudhibiti Biashara ya Kimataifa ya Kuhifadhi Mimea na Wanyamapori walio hatarini kutoweka (CITES), unaowataka kuongeza idadi ya wanyama wanaozuiwa kufanyiwa biashara wakiwemo tembo, twiga na faru. Akizungumza katika...
  14. diana chumbikino

    Serikali yatoa mwongozo Uchaguzi Serikali za Mitaa

    SERIKALI imetoa mwongozo wa uchukuaji fomu za kuwania nafasi mbalimbali katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa zinazoanza kutolewa Jana . Katika mwongozo huo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo, amesema ni marufuku kufanya kampeni katika...
  15. diana chumbikino

    Tanzania yaingia ‘Top Ten’ mazingira bora uwekezaji Afrika

    TANZANIA imeshika nafasi ya saba, katika nchi 20 zenye mazingira bora ya uwekezaji barani Afrika. Anaripoti Faki Sosi . Akizungumza na wanahabari leo tarehe 28 Oktoba 2019, Geofrey Mwambe, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) amesema, utafiti huo huria uliofanywa na Kampuni...
  16. diana chumbikino

    Benki ya Dunia yaimwagia Zanzibar bil.340/-

    SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar inatarajia kupata dola za Marekani milioni 150 kutoka Benki ya Dunia kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ikiwamo kukuza Utalii na ustawishaji miji. Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar, Khamis Omar, alisema jijini hapa jana kuwa Benki ya Dunia...
  17. diana chumbikino

    ATCL yasaini mkataba wa ununuzi wa ndege mpya aina ya Bombadier

    Serikali ya Tanzania imesaini mkataba na kampuni ya kutengeneza ndege kutoka Canada kwa ajili ya ununuzi wa ndege mpya aina ya Bombardier Q400, inayotarajiwa kufika nchini June 2020, yenye uwezo wa kubeba abiria 78. Mkataba huo umesainiwa leo Oktoba 19, 2019, ambapo Mkurugenzi wa Shirika la...
  18. diana chumbikino

    Kioo Ltd yang'ara tuzo uzalishaji bora

    KAMPUNI ya kutengeneza chupa ya Kioo Limited ya jijini Dar es Salaam, imeibuka mshindi wa wazalishaji wa bidhaa zinazotokana na madini kwa viwanda vikubwa kwenye tuzo za Rais za mzalishaji bora kwa mwaka 2019. Tuzo hizo zilizoandaliwa na Shirikisho la wenye Viwanda Tanzania (CTI), zilitolewa...
  19. diana chumbikino

    Serikali kutumia shilingi bilioni 89 kujenga meli mpya Ziwa Victoria

    Serikali kutumia sh bilioni 89 kujenga meli kubwa mpya katika ziwa Victoria mkoani Mwanza yenye uwezo wa kubeba abiria takribani 1200 pamoja, mizigo tani 400 na Magari 20. Ujenzi wa meli hiyo umeanza mapema mwezi huu hapa nchini pembezoni mwa ziwa Victoria baada ya kumalizika kwa hatua za...
Back
Top Bottom