Search results

  1. esther mashiker

    Usultani wa Maalim na usaliti wa Membe na Lissu

    Mara paap jioni imefika nakutana na picha za maigizo ambazo naona watu wanajidanganya kwamba eti kupitia picha hizo wanaweza kuongoza nchi ikanibidi nicheke kidogo kisha nikashushia na glasi yangu ya wine isiyo na kilevi, kisha nikajiuliza hivi huyu Sultan Maalim Seif, Msaliti Membe na Mtumishi...
  2. esther mashiker

    Wataalamu wa uvuvi kupata ajira kimataifa

    WATAALAMU wa vyombo vya uvuvi nchini wataanza kuajiriwa kitaifa na kimataifa, baada ya Bunge kuridhia mkataba wa kimataifa wa viwango vya mafunzo na utoaji vyeti kwa wafanyakazi wa vyombo vya uvuvi wa mwaka 1995 Mawasiliano, Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani, alisema kuridhiwa kwa mkataba...
  3. esther mashiker

    Yuda Gurty aliyewahi kuwa M/kiti BAVICHA Mbulu amehamia NCCR Mageuzi

    1. Akiongea na waandishi wa habari alianza kwa kuelezea historia yake fupi akiwa CHADEMA huku akielezea baadhi matukio ya hatari kwa dhana ya kutumikia chama chake akitolea mfano Maandamano ya tarehe 5/01/2011 yaliyokuwa kwaajili ya kupinga Mayor fake katika manispa ya Arusha, kwamba katika...
  4. esther mashiker

    Mchanganuo wa michango iliyokusanywa na CHADEMA ili kuwalipia faini viongozi wao

    MCHANGANUO WA MICHANGO ILIYOKUSANYWA NA CHADEMA ILI KUWALIPIA FAINI VIONGOZI WAO. 1. Rais Magufuli 38,000,000/= 2. Watanzania 30,000,000/= 3. Ndugu wa Mch. Msigwa 2,000,000/= 4. Hamphrei Polepole 30,000,000/= 5. Mkopo (Precision Air Tanzania) 250,000,000/= Jumla ya Michango yote ni...
  5. esther mashiker

    Mabilioni ya shilingi yamwagwa kujenga barabara Kigoma

    SERIKALI ya Tanzania imetiliana saini mkataba na wakandarasi wanne wa kampuni ya ujenzi ya China kwa ajili ya barabara ya kiwango cha lami kutoka Kabingo wilayani Kakonko hadi Manyovu wilayani Buhigwe yenye urefu wa kilometa 260 kwa gharama ya Sh bilioni 584.7. Waziri wa Ujenzi, Isack Kamwelwe...
  6. esther mashiker

    Liparamba: Pori lenye simba weupe na tembo ‘wakimbizi’

    PORI la Akiba la Liparamba linalopita katika wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma, limejaaliwa kuwa na vivutio ambavyo havipatikani katika hifadhi nyingine nchini. Liparamba ni hifadhi iliyopo mpakani mwa Tanzania na Msumbiji ambayo ina wanyama aina ya tembo ambao ni wakimbizi ikiwa na maana kwamba...
  7. esther mashiker

    Profesa chuo cha Oxford asifu uchumi Tanzania

    TANZANIA imetajwa kuwa miongoni mwa nchi tatu zilizopo Kusini mwa Jangwa la Sahara, ambazo hazipo katika hatari kubwa ya kudodora kiuchumi kutokana na kuwa na kiwango cha chini cha madeni. Hali hiyo imebainishwa jijini Dar es Salaam juzi na Mchumi kutoka Chuo cha Oxford cha Uingereza, Profesa...
  8. esther mashiker

    Wazee wampongeza Rais Magufui ujenzi bwawa la Nyerere

    CHAMA cha Saidia Wazee Tanzania (SAWATA) kimempongeza Rais John Magufuli kwa ushupavu, alioonesha wa kuamua kutekeleza ujenzi wa Mradi wa Kuzalisha Umeme wa Mto Rufi ji wa Julius Nyerere Hydropower Project (JNHPP), ambao ujenzi wake kwa sasa umefi kia asilimia 10. Mradi huo wa kuzalisha...
  9. esther mashiker

    Matumizi ya gesi majumbani yaongezeka

    BIASHARA ya utumiaji wa gesi majumbani (LPG) inazidi kuongezeka nchini kutokana na takwimu za miaka ya hivi karibuni kuonesha ongezeko la wastani wa zaidi ya asilimia 100 kutoka mwaka 2010 hadi kufi kia mwaka 2018. Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati...
  10. esther mashiker

    Muhimbili wajivunia ubora Kurugenzi ya upasuaji

    HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH), inajivunia ubora unaotolewa katika Kurugenzi ya Upasuaji kwa kuongeza huduma nyingi pamoja na ubora wa mashine za kisasa ambapo wameokoa fedha nyingi kama Watanzania wangefuata huduma hiyo nje ya Nchi. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa huduma za...
  11. esther mashiker

    Mitambo ya mabilioni yatua kwa Mkemia Mkuu Serikali

    MAMLAKA ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA), imenunua mitambo tisa yenye thamani ya Sh. bilioni 6.5 katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais John Magufuli, kwa lengo la kuboresha utendaji kazi wa mamlaka hiyo. Kutokana na kuwapo kwa mitambo hiyo ya kisasa, mamlaka hiyo...
  12. esther mashiker

    Daraja la Kigongo - Busisi kupaisha uchumi

    MTANDAO wa miundombinu umekuwa ukifananishwa na mishipa ya damu katika mwili wa binadamu. Kama ambavyo mishipa ina kazi ya kupeleka damu katika kila kiungo cha mwili, miundombinu ina umuhimu mkubwa kuwezesha maeneo mbalimbali kufunguka kiuchumi. Kwa hiyo kuna uhusiano mkubwa wa maendeleo ya...
  13. esther mashiker

    JKCI kupasua mishipa ya damu bila kufungua kifua

    TAASISI ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa mwaka wa 2020 imejipanga kufanya upasuaji wa mishipa ya damu na mapafu, upasuaji wa moyo wa kufungua na bila kufungua kifua kwa wagonjwa 2,140. Hayo yamesemwa jana na Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi hiyo Profesa Mohamed Janabi katika kikao cha kufungua...
  14. esther mashiker

    Serikali yapongezwa kwa kuanzisha kliniki tembezi

    Wananchi wa Kijiji cha Kikombo katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma wameishukuru Serikali ya Awamu ya Tano kwa kuanzisha huduma yakiliniki tembezi ambayo inatoa huduma za afya karibu na maeneo wanayoishi jamii. Hayo yamesemwa na Diwani wa Kata ya Kikombo, Yona Kusaja wakati wa uzinduzi wa...
  15. esther mashiker

    Rais Ramaphosa aipongeza Tanzania kwa ukuaji uchumi

    RAIS wa Jamhuri ya Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa ameipongeza Tanzania kwa kasi kubwa ya ukuaji wa uchumi wa wastani wa asilimia 7 kwa mwaka na kubainisha kuwa hiyo ni fursa muhimu ya kuhakikisha Tanzania na Afrika Kusini zinakuza zaidi ushirikiano wa kiuchumi kwa manufaa ya pande zote mbili...
  16. esther mashiker

    Wawekezaji wa Afrika Kusini wakaribishwa

    RAIS John Magufuli amewakaribisha wawekezaji kutoka Afrika Kusini kuwekeza viwanda vya nguo, viwanda vya dawa na vya magari, na maeneo mengine yatakayowavutia. Akizungumza jana wakati wa mkutano wa Baraza la Wafanyabiashara wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliowakutanisha...
  17. esther mashiker

    Magufuli, na Ramaphosa wakubaliana mambo 6

    Rais John Magufuli na Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa wamekubaliana kushirikiana zaidi kwenye mambo makuu sita. Hayo ni pamoja na kutoa fursa za uwekezaji wa viwanda vya dawa na vifaa tiba nchini, ili kupunguza bajeti kubwa inayotengwa kwa ajili ya ununuzi wa vitu hivyo nje ya nchi...
  18. esther mashiker

    Pwani: Watuhumiwa 9 wale wa ‘tuma hiyo hela kwenye namba hii’ wakamatwa

    Jeshi la Polisi mkoani Pwani linawashikilia watu tisa kwa tuhuma za kujihusisha na matukio ya utapeli kwa kutumia simu za mkononi. Aidha watuhumiwa hao wanadaiwa kukutwa na simu 13 za tochi na smart 4 na laini 22 za kampuni mbalimbali pamoja na orodha ya namba ambazo wanadhaniwa kuwa walitaka...
  19. esther mashiker

    SADC itokako na iendako sasa

    HISTORIA ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) inaturudisha nyuma hadi miaka ya 60 na 70 wakati viongozi wa nchi huru za Kiafrika na vyama vya ukombozi waliposhirikiana katika masuala ya kisiasa, kidiplomasia na kiukombozi. Lengo lao lilikuwa kupiga vita utawala wa kikaburu katika...
  20. esther mashiker

    Ujenzi wa hospitali iliyopewa fedha na Rais Magufuli waanza

    MCHAKATO wa matumizi ya Sh bilioni 1.5 zilizotolewa wa Rais John Magufuli (JPM) kwa ajili ya ujenzi wa hospitali itakayozishirikisha kata za Buseresere na Katoro mkoani Geita na kuwanufaisha wakazi zaidi ya 100,000 umeanza. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Geita, Said Kalidushi...
Back
Top Bottom