Search results

  1. Nyalotsi

    Mbeya Jiji barabara zimewashinda hata usafi umewashinda?

    Moja ya miji unplaned humu nchini ni Mbeya. Barabara za mitaa hazijatengenezwa kiasi kuwa na mashimo ambayo hayapitiki. Mji unategemea barabara moja miaka yote. Nayo Haina mitaro. Maji yanatuama kila sehemu ya barabara. Mji una takataka zimetapakaa kila sehemu kama hakuna maafisa afya wa Jiji...
  2. Nyalotsi

    Jiji la Mbeya kuna TARURA?

    Pamoja na Jiji kuwa na makusanyo mengi ya Kodi lakini ni Jiji ambalo liko nyuma kwa upande wa barabara za mitaa! Mitaa ya zamani kama Mwanjelwa, Nzovwe, Soweto, Uyole barabara hakuna ni mashimo tu. Mitaa mipya ambayo wakati mwingine imepimwa na viwanja kuuzwa na Jiji hakuna hata barabara nzuri...
  3. Nyalotsi

    Waziri husika, hili la uwekaji vibao kwa ajili ya utambuzi wa makazi mliangalie upya

    Hili suala ni zuri sana kwa mustakabali wa maendeleo ya makazi na maeneo tunayoishi. Tatizo limeanzi kwa watu waliopanga kufanya kazi hii. Hakuna ushirikishwa wa wananchi wa maeneo husika Wala viongozi wao! Kuna mianya mingi ya watu binafsi kupanga mambo yao kwa manufaa yao. Mf Kuna maeneo...
  4. Nyalotsi

    Hizi shule za English Medium zimetugeuza Wazazi kuwa Walimu?

    Watoto kila siku wanarudi na homework mpya mzazi uwasaidie. Ukimuuliza anakuambia mwalimu hajamuelekeza akaelewa. Sasa nalipia ada zaidi ya milioni ili watoto wapewe homework niwe mwalimu wao? Kwa nini hawawafundishi wanafunzi wakaelewa ndipo wawape hizo home work wakazifanye!? Wazazi wengine...
  5. Nyalotsi

    Ushauri wangu kwa wanaotarajia kufunga ndoa/kufanya send off

    Ukitaka sherehe ujipange sawa sawa. Hakikisha una pesa ya kutosha kuchukua gharama za sherehe pale Mambo yanapoenda tofauti. Vinginevyo utajikuta unawachukia watu kisa hawajakuchangia wakati sio lazima. Kuna watu wananuniana humu mijini kisa mwingine hakuchanga mchango wa sherehe...
  6. Nyalotsi

    Kwa waliooa na wanaotarajia kuoa

    Mke wako hawezi kuwapenda na kuwatetea ndugu zako Kama ndugu zake. Ni wachache Sana wanaoweza kufanya hivyo. Wachache mno. Kuna muda yuko radhi hata mtu baki asaidiwe lakini asiwe ndugu yako!! Mwanaume tambua kuwa mkeo Ni rafiki tu wa ukubwani. Muda wowote kila mtu anaweza kuwa na njia yake...
  7. Nyalotsi

    Hili ni la muhimu

  8. Nyalotsi

    Naomba msaada: TRA wamenikadiria kulipa kodi kubwa kuliko uwezo wa biashara

    Ninafanya biashara ya reja reja sehemu ninayoishi, nauza nguo za watoto. Mwaka huu TRA wamenikadiria kulipa kodi kubwa Kuliko uwezo wa biashara ninayoifanya. Mtaji ulioabdikwa kwamba ndio uko Kwenye mzunguko ni Kama Mara tatu ya mtaji halisi. Walikadiria tu kama kawaida yao. Niliandika barua...
  9. Nyalotsi

    Dada zetu tambueni hili

    Kulingana na sensa iliyopita, mko wanawake milioni moja zaidi ya wanaume. Kuna wanaume wengine ni mashoga. kuwa na mwanaume wa kwako peke yako ni kitu kilichoshindikana. tunadanganyana tu mchana lakini yanayoendelea gizani tunayajua. hizi mila zilizoletwa na wazungu waafrika zimetushinda...
  10. Nyalotsi

    Waziri wa Utumishi, mulika idara ya Utumishi wa umma makao makuu.

    Kuna watu wako pale wanajiita wao ndio system. wanazuia watumishi wapya kuingizwa kwenye payroll ya serikali wakisingizia waliajiriwa huko nyuma bila kufuatilia vyeti vyao. wakiona tu majina mawili yanafanana wanakuja tu na jibu la kwamba 'huyu alishaajiriwa', ndio wamefunga ukurasa...
  11. Nyalotsi

    Wanawake na wanaume naombeni majibu

    Fikiria kwamba umeoana na mwanaume/mwanamke na mnaishi kwa amani. Ikatokea mmoja wenu hana uwezo wa kuzaa au kubeba/kubebesha mimba utafanyaje? Mmehangaika sana bila mafanikio yoyote na umri ndio unakwenda hivyo. Utamruhusu akaoe/kuolewa kwingine ili aendeleze uzao wake? Utamruhusu azae na...
  12. Nyalotsi

    Nyie wanawake maisha sio muvi tu

    Unakuta mtu anataka muwe mnaishi maisha ya kuigiza ya kwenye muvi za kikorea!Tupo Africa sio korea na wale wanaigiza ili wapate hela ya kuendesha familia zao.Mambo ya kulazimisha waume zenu kuangalia muvi za kipumbavu kama zile ni upuuzi. Unakuta mtu anataka mkae wote muangalie muvi za Kikorea...
  13. Nyalotsi

    Kazi ambayo viongozi wa dini wanatakiwa kuifanya

    Mpaka sasa uchaguzi huu ulipofikia ni kwamba wapiga kura wameshaamua nani wa kumchagua. hizi porojo za majukwaani haziwezi kuwabadili wapiga kura kwani watanzania sio wasikilizaji wa sera zako na utendaji wako. Viongozi wa dini zote wanatakiwa kuunda kamati ya kuwaandaa kisaikolojia wagombea...
  14. Nyalotsi

    Nahitaji kuanzisha biashara ya Wakala wa LUKU, DSTV na M-Pesa, Ni vitu gani vinahitajika?!

    Nataka kufanya biashara hiyo hapo juu huku ninakoishi. Kwa wazoefu; Nahitaji kuwa na mtaji kiasi gani? Vitu gani vingine vinahitajika? Asanteni kwa mawazo yenu.
  15. Nyalotsi

    Hivi, benki ya wanawake TWB ni tawi jingine la CCM?

    Sasa hivi wameoutsource mikopo ya yao kwa wanawake huko wilayani. Sharti la kupata mkopo ni uwe mwanachama wa UWT wakidai kwamba hizi ni hela za chama. Hii benki si ilipewa mtaji kutokana na kodi zetu? kwa nini wakopeshe kwa ubaguzi wa vyama na mtaji ni wa hata wasiokuwa na vyama? Hii nchi ni...
  16. Nyalotsi

    Hivi wizara ya afya mpaka mhongwe ndio muingize watumishi kwenye payroll???

    Nina ndugu yangu nurse kaajiriwa kwenye idara/taasisi mojawapo chini ya Wizara ya Afya. Tangu aajiriwe huu ni mwezi wa 10 hajaingizwa kwenye payroll. Amefuatilia wizarani mara kadhaaa na kupewa ahadi tu lakini hakuna matunda yoyote. Imefikia hatua mpaka mkuu wake wa kazi amemwambia na yeye...
  17. Nyalotsi

    Moja ya sababu za wanawake kudundwa na wanaume wao

    Jana jioni nilipotoka kazini nikapitiliza nyumbani, nipo na mchumba wangu kama mwezi hapa alikuja kunitembelea. Nilipofika nikamkuta anaangalia tamthilia, nikavua nguo nikaenda kuoga. Ukweli njaa ilikuwa imenibana kishenzi. Nilivyotoka bafuni nikaambiwa, baby leo zamu yako kupika...
  18. Nyalotsi

    Msaada kuhusu payrol

    Kuna mtu alipangwa kituo cha kazi miaka minne iliyopita(walikuwa wanapangiwa moja kwa moja wakitoka chuo) hakwenda kuripoti kabisa. Hivi karibuni kaomba ajira na kupangiwa mji mwingine. Wakati wa kufuatilia aingizwe kwenye payrol wakamwambia cheki namba yake ipo serikalini na inaonekana...
  19. Nyalotsi

    Tumwombeeni mwenzetu jamani, yupo kwenye wakati mgumu

    Ni amu ndugu zangu, anaumwa wakati alio nao ni mgumu sana kwake. Kila mmoja wetu amuombee kwa Mwenyezi Mungu amuepushe na kumuweka kwenye hali nzuri.
  20. Nyalotsi

    Utaratibu gani unafatwa ili kuhairisha mwaka wa masomo chuoni?

    Msaada ndugu zangu. Ndugu yangu kapatwa na matatizo ya kikazi, wanataka kumfungia mshahara hivyo kaamua kuahirisha chuo ili atimize masharti ya ajira yake. Jamaa wamekomaa kwamba arudi kazini. Je, ni taratibu zipi za kupitia? Asanteni kwa msaada nitakaoupata
Back
Top Bottom