Bila kusomba wanafunzi wa shule mbali mbali mkutano usingekuwa na watu.
Mwambieni huyu dada Mbeya ni mji usiokuwa na miundombinu kabisa.
Hakuna mpango wa ujenzi wa mji.
Mitaa haipitiki.
Mji unategemea bara bara moja tangu uhuru.
Watakapoanza kuijenga kazi zitakuwa hazifanyiki.
Unaweza Muacha huyo na ukaoa mwingine na usipate mtoto kabisa na huyo mwingine.
Jitahidi kuwatunza.
Nunua chakula na kila kitu weka nyumbani kwao kama unahisi hela zinakuuma.
Muachie hela kiasi za mboga na dharula
Hawa wazanzibari ni hatari kwa maendeleo ya Tanganyika na watanganyika.
Natamani ccm waelewe na kuamka.
Wawapige chini na mama yao warudi kwao zanzibar
Sheria zetu za ardhi hazitupi favour hata sisi wanainchi.
Rais anaweza kukupora ardhi yako bila fidia muda wowote.
Kabla na kunufaisha watanzania wanataka kunufaisha wageni kwanza.
Kuna watu ndio maana magufuli aliwafukuza.
Hakuna akili kabisa wamejaa udalali tu.
Yaani mama kajaza madalali...
Yeye ndio hana uelewa.
Pale bandari wameigawa bure
Bora hata ingeuzwa Tujue tumepata kiasi gani.
Sasa hivi hela zimeishia kwa Samia na genge lake.
Wamegawa kwa mkataba usiokuwa na kikomo.
Na ardhi watatupora ili wampatie mwarabu.
Na bandari mpaka bubu.
Na zingine ni Beach za serikali wamegawa.
Akili za hawa wenzetu huwa ni za kuwaza misaada zaidi.
Wana extreme mbili.
Ile ya waliotumia akili wakawa matajiri sana
Wanaobaki ni omba omba.
Huyu maza yupo hii ya pili.
Hata kama ndani kwake ana mahindi atampa mtu hayo mahindi akasage aafu yeye akamuombe ugali
Mbeya hakuna jiji!!
Ni kiwilaya fulani kimepewa hadhi ya jiji.
Ni mji wa hovyo hakuna mwingine nchini.
Miundombinu hovyo
Mipango miji hovyo.
Ni tabu tupu.
Mji mzima unategemea zaidi barabara moja tu.
Huko pembeni Kuna Mashimo na shida za hatari.
Ukipita soweto mitaa ambayo watu wanatakiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.