Search results

  1. Premij canoon

    Rafiki yangu kamwagiwa maji machafu ya chooni na mkewe kisa amemtangazia nia yake ya kufanya mathinaa

    Kwakifupi jamaa ndio kaolewa na huyo mwanamke, halafu jamaa yako mbona kama hajakamilika kuwa mwanaume? ndio maana anadharauliwa kiasi kwamba mwanamke ameweza hadi kufanya hivyo!
  2. Premij canoon

    Msaada Nimegundua Fundi anaweza ua kabisa gari yangu

    Hii comment imenifanya vitu vingi vipite kichwani na kunipa tafakuri mpya. Kuanzia leo, google ndio atakua fundi wangu namba 1 halafu hawa mafundi wa kibongo watakua watekelezaji tu.
  3. Premij canoon

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Sio tu kuogelea, nipo tayari kuishi kabisa kwenye hilo bwawa
  4. Premij canoon

    Car4Sale Car for sale

    Mkuu uko speed sana hadi tangazo linakosa sifa ya kuwa tangazo, tulia weka details muhimu kama mwaka wa gari, saizi ya engine, petrol au deasel, manual au automatic? N.k... Hiyo hilux hapo umeweka picha mbili tofauti ya mwaka 90 na mwaka 2017.... Tulia vuta pumzi nyingi halafu itoe taratibu...
  5. Premij canoon

    Mwanachama wa UWABATA akitekeleza Ilani ya Chama

    Sasa mtu jana alikua SUPER WOMAN, Leo unaombaje 6000?
  6. Premij canoon

    Biashara na uwekezaji

    Nadhani unamaanisha betting na sio biashara wala uwekezaje...
  7. Premij canoon

    Car4Sale Unatafuta gari zuri la kuagiza nje ya nchi? Pita hapa

    2013 Hilux double cab, Manual transmission 4WD, Engine 3000 (1kd) Inasimama kiasi gani kutoka japan hadi bongo?
  8. Premij canoon

    Ila tuache masihara huyu dada mzuri aiseeeh.

    Naona bado una wenge mjini, karibu Daslamu kijana
  9. Premij canoon

    Watumiaji wa simu za Google Pixel pitieni hapa

    Nenda kariakoo utapata andaa 260k kwa pixel 4a 5G. Au lete 300k nikupe hii yangu, ipo na box lake na charger yake, shida yake haisomi line baada ya ku-update to android 14. Lakini inafanya kazi kama kawaida, internet unaingia kwa WiFi
  10. Premij canoon

    Watumiaji wa simu za Google Pixel pitieni hapa

    Mkuu yaani umenisemea mimi kabisa, mimi matatizo yote hayo yapo pia likajitokeza tatizo lengine yaani sim card haisomi. Ukiweka line inaandika sim card is locked. Kwasasa nimeiweka kabatini kwanza, ni pixel 4a 5g
  11. Premij canoon

    Malegend😊

    nmekuletea zawadi kutoka matembezi ,namuliza ipi ananichorea [emoji519]. [emoji848][emoji2955][emoji50]‍[emoji100][emoji2211]
  12. Premij canoon

    WanaJF wa humu wengi ni wabaguzi

    Duh dada kuna tatizo gani? Halafu huu mwandiko inaonesha kama haupo sawa vile, sijakuzoea hivi...
  13. Premij canoon

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Mshana, hiyo school bus ilikua na watoto??? [emoji24][emoji24][emoji24]
  14. Premij canoon

    Kama App ya Jamiiforums inakusumbua, tumia hii link

    Kwanini isitumwe na wahusika? Wewe ni mmoja wa wahusika kwenye huu mtandao?
  15. Premij canoon

    Ongezeko la panya wa ajabu mtaani

    Mbona GENTAMYCINE alishawahi kuliongelea hili...
  16. Premij canoon

    Mnaoishi Mabwepande au Chanika na kufanya kazi Posta mnaamka saa ngapi ili kuwahi ofisini?

    Mzee kiukweli niliposoma huu uzi sikucheka, ila nilipokutana na comment yako sasa [emoji23][emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom