Search results

  1. Regnatus Cletus

    Kwanini Magufuli hataki kuongea Kiswahili?

    Sijui shida ni nini tu? Maana Kiswahili ni lugha nzuri tu yenye hadhi na viwango stahiki vya lugha bora. Magufuli haishi kuchomekea vimaneno vyake vya broken English ; hata kwenye mkutano wa wakuu wa jumuiya ya Afrika mashariki alinishangaza kwa kuingiza vijimaneno vyake vibovu vya kiingereza...
  2. Regnatus Cletus

    Sura ya Africa bila ukoloni; mustakabali wa ukoloni na hatima ya Africa baada ya kutawaliwa

    Wanajamvi, Karibuni katika tafakari huria. Ni kweli inawezekana kwamba Africa ilitawaliwa kikoloni kwa makusudi ili kutimiliza mustakabali wa ustawi wa dunia. Haikuwa bahati mbaya, wala haikuwa ni tamaa pekee za wazungu kutawala na kupora mali. We were destined to be colonized. Fikiri kuhusu...
  3. Regnatus Cletus

    Je, CHADEMA ni nani?

    Wanajamvi, wasalaam ; Toka vuguvugu la kuhama hama vyama lianze, tumeshuhudia kasi ya wabunge maarufu wa upinzani wakitimkia CCM; miongoni mwao akiwa Waitara, mwenyekiti wa BAVICHA Patrobas Katambi, na wengine wengi. Kubwa kuliko, ni huyu Rais wa mioyo ya watu ndugu Lowasa Ngoyai...
  4. Regnatus Cletus

    Uchaguzi 2020 Wazo Langu: Lowasa kuwania urais 2020 kwa mara nyingine

    Mambo ni mengi na muda ni kiduchu. Vibweka kila mahali mchana na usiku. Ndugu Lowasa jana kasema hana nia ya kugombea urais tena, na hivyo tumuunge mkono Rais Magufuli mpaka mwaka 2020 kisha tumchague tena kwa awamu ya pili. Huyu Eddo akibadilisha gia angani na kuchuana na Magufuli 2020 ni...
  5. Regnatus Cletus

    Asante Jaji Lubuva kwa matokeo ya 2015

    DECLARATION OF INTEREST: Mimi sio mshabiki wa chama chochote cha siasa, wala sina utaalamu mkubwa wa mbinu za kisiasa. Mimi ni mtanzania huru na mwenye maoni huru. Licha ya kazi iliyofanywa na sekretarieti ya CCM katika kulikata jina la Lowasa kwenye kinyang'anyiro cha wagombea wa urais...
  6. Regnatus Cletus

    Adhabu aliyopewa mwalimu haitoshi; Apigwe mawe mpaka kufa

    Nikiri tu wazi kwamba mahakama imempendelea sana mwalimu Respicius Mutazangira ukilinganisha na mauaji ya kikatili aliyoyafanya dhidi ya mtoto mdogo yatima asiyeweza kujitetea. Kitendo cha kumbonda bonda mtoto kwa ukuni, kumng'oa kucha kwa bikari, na kumsukuma kwenye jiwe, ni unyama ambao hata...
  7. Regnatus Cletus

    Waalimu wote wachapwe viboko !

    Waalimu ni waamini wazuri sana wa adhabu ya viboko! Wanapenda sana matumizi ya fimbo wakiamini ni nyenzo ya kufundisha. Imani hii ya viboko imewafanya waone kwamba bila fimbo maisha yao yatakosa raha. Kimsingi wanapenda sana kuchapa, tena kuchapa mpaka mwanafunzi atoke uhai basi roho zao...
  8. Regnatus Cletus

    Ifahamu Sheria ya Uhalifu wa mtandaoni ; Kuwa mwangalifu!

    Ndugu Mtanzania, pamoja na kwamba sheria ya uhalifu wa mtandao ina baadhi ya vifungu ambavyo ni batili, kinyume na katiba, na onevu, lakini haina budi kufuatwa mpaka pale itakapokuwa vinginevyo. Katika uwanda wa sheria, kuna kitu kinaitwa LEGAL POSITIVISM ; yaani kwamba Sheria ni sheria, iwe...
  9. Regnatus Cletus

    Kwanini Watanzania wengi wanazungumza kizembe/taratibu?

    Habari wanabodi, Nimefanya utafiti usio rasmi nikagundua watanzania wengi, wakiwemo na baadhi ya waafrika kutoka nchi zingine, wanazungumza taratibu sana. Hata baadhi ya watendaji serikalini ukiwaona wanahojiwa, ni kana kwamba wanazungumza lugha wasiyoifahamu. Wanazungumza pole pole mno kama...
  10. Regnatus Cletus

    Mheshimiwa Rais Magufuli; Wamulike TCU

    Mheshimiwa Rais, Shkamoo. Pole na majukumu, lakini pole pia kwa msiba mzito uliotuchukulia ndugu zetu zaidi ya mia mbili. Ndugu Rais, natambua una uchungu na hamu ya kuinyanyua nchi yetu iende kwa kasi kubwa, lakini wakati huo huo tunahitaji rasilimali watu, yaani wasomi, tena wasomi imara...
  11. Regnatus Cletus

    Kiswahili ni kitamu; Ona aibu kukiharibu.

    Nimekuwa nikipitia majukwaa mbalimbali mitandaoni, nimeona waafrika wengi wakivutiwa na Kiswahili, hasa wanaposikiliza nyimbo za wasanii kama Diamond Platnumz. Kiswahili kina viimbo vitamu ambavyo vinaleta ladha ya kipekee na ladha tamu mno kinapozungumzwa na kuandikwa kwa ufasaha wake. Wote...
  12. Regnatus Cletus

    Mauaji ya Sperius Eradius na yawe fundisho kwa walimu wote wenye tabia za Kikatili

    Washitakiwa wa mauaji ya Mtoto Sperius Eradius, yaani mwalimu Respicius Patrick Mtazangira na Herrieth Gerald, wamefikishwa mahakamani, kisha kesi kuendelea kusikilizwa tena September 17, 2018. Washitakiwa wote wamerudishwa RUMANDE. Mwalimu; ZINGATIA SHERIA NA KANUNI ZA UTOAJI WA ADHABU YA...
  13. Regnatus Cletus

    Hongera Naibu Waziri wa Elimu kwa tamko la kudhibiti viboko mashuleni

    Ndugu wanabodi, Salaam! Nimpongeze ndugu Naibu Waziri wa Elimu, Mheshimiwa WILLIAM OLE NASHA kwa kutoa tamko lenye malengo ya kuendelea kufanya shule kuwa sehemu salama kwa wanafunzi, watoto, na wadogo zetu kupata elimu kwa amani na utulivu wa mwili na akili, ambapo kuanzia sasa NI MARUFUKU...
  14. Regnatus Cletus

    Adhabu ya viboko mashuleni ifutwe; walimu wameshindwa kufuata Sheria ya utoaji wa adhabu

    Pameshuhudiwa matumizi ya nguvu iliyozidi, adhabu za kutweza, na uchapaji wa viboko dhidi ya wanafunzi kwa namna ya kikatili, ya kuogofya, na isiyozingatia sheria. Jana, tarehe 28/8/2018 Paliripotiwa mauaji ya Sperius Eradius yaliyofanywa na mwalimu kwa tuhuma batili za wizi wa mkoba. Utoaji...
  15. Regnatus Cletus

    Ujue ubakaji na adhabu zake kulingana na Sheria ya Tanzania

    Nimeshawishika kuandika bandiko hili baada ya kuona umuhimu wa kuwaepusha watu na vitendo ambavyo vinaonekana ni vya kawaida tu lakini kusema kweli vinaweza kukuingiza katika hatia ya UBAKAJI. Nilisikia mtu mmoja anasema anaingiza kichwa tu! Hata kichwa tu kinatosha kuwa ubakaji. Ujue ubakaji...
  16. Regnatus Cletus

    Dhima ya kiingereza na nadharia yake

    Moderators, naomba Uzi wangu usimame peke yake. Ninasikitishwa sana na baadhi ya nadharia potofu zinazozushwa na watu kwa makusudi ama kwa kutoelewa juu ya matumizi ya lugha ya Kiingereza mashuleni na umuhimu wake. Nadhani tungeanza kwa kuvunja vunja kipande kimoja baada ya kingine; JE...
  17. Regnatus Cletus

    Usahihi wa tafsiri ya Sheria ya Ardhi na mamlaka ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Nimeshawishika kupachika bandiko hili baada ya upotoshaji unaofanywa na mwanajamvi mwenzetu ndugu Barbarosa. Kama mdau wa sheria, nimeumizwa, na nikapata msukumo wa dhati wa kuliweka jambo hili sawia ili kuzuia udanganyifu wa makusudi. SHERIA YA ARDHI YA MWAKA 1999, YAANI THE LAND ACT ...
  18. Regnatus Cletus

    Kati ya SAUT na UDSM wapi panafaa zaidi kwa kitivo cha SHERIA (LLB)

    Muda uliopita niliomba ushauri kuhusu mahali pazuri zaidi panapofaa kwa ajili ya kupata taaluma ya sheria lakini naona wadau wengi waliidharau Udom. (sijui ni kwanini???) Ndugu yangu amemaliza kidato cha sita lakini amebaki na sintofahamu ya kujua ni wapi aelekee. Ndugu wanajamvi, na wajuvi...
  19. Regnatus Cletus

    Kati ya UDOM na SAUTI wapi bora?

    Nina ndugu yangu amemaliza kidato cha sita anataka ku appy bachelor degree. Ni wapi mahali bora zaidi kwa maana ya wahadhiri, mazingira, na ubora wa elimu kati ya chuo kikuu UDOM na sauti???
  20. Regnatus Cletus

    Saini za kielekroniki za fedha za chakula vyuoni ni tatizo?

    Habari za jamvi wanajukwaa katika Bwana.
Back
Top Bottom