Search results

  1. Regnatus Cletus

    Msaada ya kisheria kwa tatizo la ardhi

    Epuka mawakili vishoka! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Regnatus Cletus

    Sheria inasemaje ndoa inavyovunjika kwenye mgao watoto hesabu yao ikoje?

    Watoto hawana mgao wowote inapotokea talaka, isipokuwa wana haki ya kutunzwa. [maintenance] Mgao ni wa mke na mume tu.
  3. Regnatus Cletus

    Kwanini Magufuli hataki kuongea Kiswahili?

    Hahaahaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Regnatus Cletus

    Kwanini Magufuli hataki kuongea Kiswahili?

    Hahaha.... Kazii ipo! Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Regnatus Cletus

    Kwanini Magufuli hataki kuongea Kiswahili?

    Afundishwe lugha! Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Regnatus Cletus

    Kwanini Magufuli hataki kuongea Kiswahili?

    We nae vipi! Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Regnatus Cletus

    Kwanini Magufuli hataki kuongea Kiswahili?

    Duh. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Regnatus Cletus

    Kwanini Magufuli hataki kuongea Kiswahili?

    Hayo mengine nakuachia wewe 'Jasusi la Tanganyika'.
  9. Regnatus Cletus

    Kwanini Magufuli hataki kuongea Kiswahili?

    Chadema ni nani hapa? au umelewa ugoro?
  10. Regnatus Cletus

    Ujasusi ndani ya Boeing

    Aisee...
  11. Regnatus Cletus

    Kwanini Magufuli hataki kuongea Kiswahili?

    Hata Kiswahili nacho ni mtihani!
  12. Regnatus Cletus

    Kwanini Magufuli hataki kuongea Kiswahili?

    Sijui shida ni nini tu? Maana Kiswahili ni lugha nzuri tu yenye hadhi na viwango stahiki vya lugha bora. Magufuli haishi kuchomekea vimaneno vyake vya broken English ; hata kwenye mkutano wa wakuu wa jumuiya ya Afrika mashariki alinishangaza kwa kuingiza vijimaneno vyake vibovu vya kiingereza...
  13. Regnatus Cletus

    Sura ya Africa bila ukoloni; mustakabali wa ukoloni na hatima ya Africa baada ya kutawaliwa

    Sikusema hatukuwa na tunu. La hasha, isipokuwa hizo "tunu" zilikuwa ni dhaifu sana. Mavazi tuliyovaa yalikuwa duni mno. Tulivaa magome, majani, na ngozi, au kutembea uchi. Utawala wa machifu ulikuwa ni wa kihayawani tu! Hapakuwa na ustaarabu wa kisasa wa kibunge na kimahakama. Tulitawaliwa...
  14. Regnatus Cletus

    Sura ya Africa bila ukoloni; mustakabali wa ukoloni na hatima ya Africa baada ya kutawaliwa

    1)Waafrika Walikuwa na maliasili nyingi na madini ambayo hawakujua kama ni madini wala hawakuona thamani yake! Mzungu amezithaminisha maliasili na rasilimali. Masoko, uchimbaji, uhifadhi, na uchakataji wa madini unafanywa na ulifanywa na wazungu, sisi hatukujua lolote lile. Tulichezea mdako...
  15. Regnatus Cletus

    Usahihi wa tafsiri ya Sheria ya Ardhi na mamlaka ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Sifahamu. Inawezekana walishalipwa fidia, na inawezekana pia hawakulipwa. Lakini kulipwa fidia ni LAZIMA.
  16. Regnatus Cletus

    Sura ya Africa bila ukoloni; mustakabali wa ukoloni na hatima ya Africa baada ya kutawaliwa

    We are naturally and genetically barbaric. Mzungu katukomboa, katustaarabisha, katupa elimu na utambuzi. Kabla na baada ya ukoloni hatujawahi kuwa na teknolojia yetu, ustaarabu wa kiutawala, wala uchumi wenye tija. Tunangoja hisani za mzungu. Madawa, ujuzi, mavazi, uchumi, viwanda, na kila...
  17. Regnatus Cletus

    Sura ya Africa bila ukoloni; mustakabali wa ukoloni na hatima ya Africa baada ya kutawaliwa

    1)Pamoja na kutawaliwa, lakini Marekani na China ni nchi ambazo zilikuwa na ustaarabu mkubwa kabla ya ukoloni. Hata baada ya ukoloni, zimefanikiwa kuwa nchi zenye nguvu kubwa kiuchumi, kisiasa, na kiteknolojia. Sisi waafrika tuko pale pale, tunasubiri hisani za wazungu. Tunasubiri...
  18. Regnatus Cletus

    Sura ya Africa bila ukoloni; mustakabali wa ukoloni na hatima ya Africa baada ya kutawaliwa

    Wanajamvi, Karibuni katika tafakari huria. Ni kweli inawezekana kwamba Africa ilitawaliwa kikoloni kwa makusudi ili kutimiliza mustakabali wa ustawi wa dunia. Haikuwa bahati mbaya, wala haikuwa ni tamaa pekee za wazungu kutawala na kupora mali. We were destined to be colonized. Fikiri kuhusu...
Back
Top Bottom