Search results

  1. ommy clear

    Naomba ufafanuzi katika hili unapotuma maombi ya kazi

    Naomba kuuliza ivi uki-apply kazi ni lazima uambatanishe transcript na cheti chake au cheti pekee kinatosha? Kwa wazoefu please msaada apo[emoji120][emoji120]
  2. ommy clear

    Naomba kufahamu jinsi ya kudownload English subtitle kwenye movies

    Naomba kujua namna ya kudownload english subtitle kwenye movie "ahsanten" Sent using Jamii Forums mobile app
  3. ommy clear

    HDMI inagoma kwenye PS naomba msaada

    Hua selewi kwann nikichomeka hdmi ili nicheze pes kwenye tv nikiweka full screen inagoma goma ila nikiweka window mode inakubali shida ni nini graphics au shida nini? Wataalam mnijuze hapo Sent using Jamii Forums mobile app
  4. ommy clear

    Naomba msaada kuhusu tatizo la bluetooth kwenye PC

    Hi, wana jf, Natumia HP brobook 430, corei3 lakini nimejaribu kutafuta icon ya bluetooth siioni, nimetafuta mpaka basi lakin nikitaka ku-send naiona option pia ya bluetooth ipo ila nikijaribu kusend inagoma, kwenu wataalam naomben kujua shida nini na nifanye nini ili nipate bluetooth kwenye pc...
  5. ommy clear

    Kila nikituma maombi ya kazi siitwi kwenye usaili naomba ufafanuzi wa hili

    Hivi kwanini kila nikiomba kazii, sipati kuitwa hata kwenye interview hali ya kwamba vigezo ninavyo? Nakwama wapi waungwana hivi ukitoa academic vitu gani vingine muhimu vya kuzingatia pengine mimi sifanyi hivyo? Naomba wazoefu wa mambo aya wanipe ufaham kidogo. Ahsante. Sent using Jamii...
  6. ommy clear

    Evening class

    Sorry waungwana Niko nasoma chuo taasisi ya uhasibu DSM campus , lakini pamoja na hivo nimebahatika kupata kazi sehem so kulingana na hali halisi ya kimaisha nataka nisiache chuo nataka nisome evening class sorry kwa wale wazoefu naomba kujua ni vipi naweza ku-manage hivi vitu viwili kwa wakati...
  7. ommy clear

    Kusoma uhasibu bila ufaulu math's

    Habar waungwana ivi kumbe kuna uwezekano wa mtu kusoma uhasibu bila ufaulu wa math's na akafanya vizuri kuliko waliofaulu math's, hii nimeandika baada ya mshikaji kupiga diploma ,degree then akaenda kupiga CPA na sasa yuko sehem anakula utawala kumbe pia inawezekana kua muhasibu mzurii bila...
  8. ommy clear

    Naomba kujua ukweli kuhusu Alliance Global Company

    Hivi hii kampuni ya Alliance Global ni kweli inasaidia kujikwamua kimaisha au ni utapeli unaotendeka pale? Kwa yeyote anayejua kuhusu ili anisaidie. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. ommy clear

    Nini maana ya provision for doubtful debt?

    Habari waungwana naomba mwenye kujua maana ya provision for doubtful debt na namna ya kui-treat "ahsante" Sent using Jamii Forums mobile app
  10. ommy clear

    Naomba kufahamu kuhusu simu iitwayo THL Knight 2

    Naomba anayeijua hio simu tajwa hapo juu anisaidie kunipa uzuri wake pia weakness zake. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. ommy clear

    Naomba mwenye soft copy Financial Accounting 1

    Kama kuna member anayeweza kunisaidia soft copy ya kitabu cha financial accounting 1 au kunielekeza wapi naweza kukipata naomba anielekeze au anisaidie kukipata "ahsanten"
  12. ommy clear

    Capital in accounting

    Habari waungwana, hivi ni kwanini capital na revenue zina nature ya credit? Kwa mwenye kujua please.
  13. ommy clear

    App for MP3

    Habari waungwana naombeni kujua App nzuri kwa kudownload audio yoyote ile ninayoitaka. Mara ya kwanza nilikuwa natumia Vidmate ila sasa hivi naona ishaanza kuzingua. Ahsanteni.
  14. ommy clear

    Waaajiri wanaangalia nini hadi kumuita mtu kwenye interview?

    Habari wanaJF. Sorry naomba kuuliza, hivi huwa kwenye nafasi za kazi mwajiri huwa anaangalia sana vitu gani mpaka aweze kumuita mtu kwenye interview? Maana yake kuna chalii wangu hakufanya vizuri Form Four alienda kusoma Certificate akapiga na Diploma akapasua vizuri, yaani kila kitangazo cha...
  15. ommy clear

    Bank ipi ni afadhali kati ya NMB na CRDB katika makato

    Habari wanajf sorry naomba kuuliza kati ya NMB na CRDB upande upi una afadhali kwenye makato ya mwezi na makato wakati wa kufanya transactions? Bora NMB au bora CRDB?
  16. ommy clear

    Naomba kujua kuhusu % za mkopo elimu ya juu

    Habar waungwana naomba kujua kwa yeyeote mwenye experience na hii ishu ,swali langu ni kwamba asilimia ambazo mwanafunzi anapewa akiwa mwaka wa 1 zinaweza kubadilika akiingia mwaka wa 2? Mfano mtu mwaka 1 kapata 20% mwaka unaofata kuna uwezekano wa % kuongezeka au kupungua??? Kwa mwenye...
  17. ommy clear

    HDMI chenga

    Habari wanajf, Nina hp probook 340 nikichomeka HDMI inaonesha chenga chenga nikiwa nacheza game pes 17 lakaini nikiangalia movie inaonesha fresh , shida nini ili nisolve tatizo hilii, manake nataka kucheza game kwenye TV kupitia HDMI
  18. ommy clear

    Instagram chenga

    Habar wana jf sorry Nina changamoto kwenye Instagram account yangu, yani mtu akinitumia message private ,I mean direct messege (DM) kila nikiifungua naambiwa mtandao uko chini hali ya kua mtandao uko vizurii sana kila Siku ivo ivo yan so naomba kama kuna mtu anajua namna gan naweza ku-solve hii...
  19. ommy clear

    BAC VS BAF

    Sorry waungwana naomba ushauri kati ya bachelor of accountancy na bachelor of accounting and finance ipi kati ya hizo iko poa zaidi. mawazo yenu ni muhimu kwangu ahsanten[emoji288]
  20. ommy clear

    Virus kwenye PC

    Waungwana kuna anti virus naitumia kwenye PC yangu inayoitwa smadav nimejaribu kuscan naona naletewa ujumbe kama huo apo kwenye picha , lakin nikijaribu kufix hii ant virus inazingua naomben mwenye kujua anti virus nzuri ya kutumia kwenye PC ahsanten
Back
Top Bottom