Search results

  1. Niambieni

    Malipo ya Madeni kwa Wafanyakazi wa Umma: May, 2018

    Ni kweli hamna kitu kabisa. Najiuliza tu kuwa kwanini walitangaza majina ya malipo kwa wengine na wengine tumeachwa?. Na lini tutapata?. Hakuna pa kuuliza zaidi ya humu. Hata vyama vimesha kaa kimya na vinakusanya michango tu.
  2. Niambieni

    Tusimame na Iran na Qatar

    Mh. Magufuli na Wananchi wetu ni wapenda amani. Tutawasuport tu kama ni wajenga amani Duniani. Kwanza hawawezi kuifuta ISRAEL, wasahau hilo.
  3. Niambieni

    Vijana tuna hali ngumu sana katika utawala huu wa awamu ya 5

    Hapo juu kwenye reli na ndege. Naona vijana wengi wamapata ajira, hasa reli tu ni vijana wengi sana au wameajiriwa au fursa ya kujiajiri. Mfano hata mama lishe, madereva, mafundi, watoa elimu na wengineo wengi sana na wanazidi kuajiriwa kila kukicha. Nalitetea hili ninalolifahamu la reli na...
  4. Niambieni

    Viongozi EAGT nataka mjue wazi tumenunuliwa na Damu ya Yesu!

    Mpendwa wa MUNGU umenigusa vizuri sana. MUNGU akubariki wewe na Uzao wako. Dhambi sio za kufichwa. Ni kufukua ili zifutwe na watu waokoke, sio kuvaa ngozi ya kondoo. Hata Serikali inawajua kuwa wanavunja amani na wamewaita na kuwapa darasa. Sasa na sisi pia tuwasaidie humu ili waache hayo...
  5. Niambieni

    Viongozi EAGT nataka mjue wazi tumenunuliwa na Damu ya Yesu!

    Kama wanajua yaliyo kweli na wamekengeuka na wamejaa chuki na tamaa za yaliyo ya mwilini, badala ya kufanya kazi ya Mungu wao wameiacha njia. Basi ili wajengewe kujua amani na upendo na wananchi wengine wapenda amani na upendo toka kwa dini na jamii zingine. Ikishindikana wakamatwe na...
  6. Niambieni

    Viongozi EAGT nataka mjue wazi tumenunuliwa na Damu ya Yesu!

    Jana mmepatanishwa. Sasa je waliofukuzwa watarudishwa?. Mtakaaje pamoja na kuliongoza kanisa?. MUNGU ATUSAIDIE TUTOKE HUKU TULIKO INGIA LEO BILA KUKUMBATIA MAOVU KAMA ULAKU, UZINZI NA MENGINEYO
  7. Niambieni

    Viongozi EAGT nataka mjue wazi tumenunuliwa na Damu ya Yesu!

    Mfichaficha maradhi kilio kitamfichua. Tuanafichua dhambi. Yesu aliwavurumishs wafanya biashara kanisani. Lete huku ili wafunuliwe hawa wanaochukiana, waovu na wavunja amani. Hapa watapata dozi nzuri tu. Watapata ukweli wao. Sijui tatizo ni shule?. Uku wanajikweza kuwa ni ma dokta. Hampendani...
  8. Niambieni

    Viongozi EAGT nataka mjue wazi tumenunuliwa na Damu ya Yesu!

    Wana majengo ya makanisa mengi na rate ya dhambi ni inapanda kwa kasi. Ni vema rate ya dhambi ikapungua kwao wao viongozi na wananchi. LENGO KUU LIWE NI NENO LILETALO WOKOVU. WATU WAOKOKE NA KUISHI KWA UPENDO NA MATAKWA YA KIMUNGU. Wao wanatanguliza miujiza lengo ni kujikusanjia mapesaaaaa. Eti...
  9. Niambieni

    Viongozi EAGT nataka mjue wazi tumenunuliwa na Damu ya Yesu!

    Huko bwana ni shagala bagala. Inatakiwa wahubiriwe ili waokoke waache kunena kiluga kiuongo uku wakikodoa mimacho. Na kuhubiri kujenga hofu kws wanawake ili wapate mipesa hadi wanagombana. Wakitoa mapepo wanaweka mic na sauti juuu ili kijenga hofu kwa lengo la pesa na sio Wokovu. Haya mambo ni...
  10. Niambieni

    Viongozi EAGT nataka mjue wazi tumenunuliwa na Damu ya Yesu!

    Askofu anawapa wanandoa cheti cha kuwa ndoa ya mke na mme mmoja. Yeye ana wake wengi naye ana cheti chs mke mmoja. Ni ##$$@@%%&&*^^^ ya kimwili tu.
  11. Niambieni

    Viongozi EAGT nataka mjue wazi tumenunuliwa na Damu ya Yesu!

    Kwenye mikutano yao wanaitwa Polisi ili kulinda amani wachungaji wasipigane!!@##$%%€€&&&&
  12. Niambieni

    Viongozi EAGT nataka mjue wazi tumenunuliwa na Damu ya Yesu!

    Kaangalie chuo chao Dodoma, utachoka ni kama nyumba ya kufugia kuku. Kaangalie magorofa yao ni kamaw ya ufaransa. Wanajiita ma dakotari huku hawajasoma ni ujanja tuuuuu kama waonesha mazingaombwe. Eti manabii, mitume, madakitari, maasikofu....hawana lolote ni wapiga dili tu. Wanaanza kihubiriwa...
  13. Niambieni

    Viongozi EAGT nataka mjue wazi tumenunuliwa na Damu ya Yesu!

    Nadhani kuna kunyanganyana au kugombea madaraka ili kujichotea mapesa. Lengo kuu ni mapesa wala sio kiroho. Serikali isipoingilia wataumizana hawa. Mashehe piwa wanaweza kuwasaidia hawa watu kwa kuwapa mawaidha. Hawana upendo wa Mungu. Ndani kuna uchafu mwingi tu. Viongozi wana shika utajiri...
  14. Niambieni

    Malipo ya Madeni kwa Wafanyakazi wa Umma: May, 2018

    Hazina, tunawaomba mtukumbuke May, 2018 tulipwe kama wengine walivyolipwa. Ikiwezekana pia tujitoe kwenye kukatwa na vyama vya wafanyakazi ili kuongeza kipato cha kujikwamua kwenye hali hii.
  15. Niambieni

    Malipo ya Madeni kwa Wafanyakazi wa Umma: May, 2018

    Mkuu, kwanini wengine walipwe na wengine tumeachwa?.
  16. Niambieni

    Malipo ya Madeni kwa Wafanyakazi wa Umma: May, 2018

    Kutafuta kipato kingine zaidi ya mshahara, hupunguza ufanisi na ubora wa kazi sehemu ya kazi za kutoa huduma kwa umma. Tulipotangaziwa kuwa tutalipwa ndani ya siku chache, tuli amini kuwa ni kweli na wengine tulikopa kwa riba ambayo inatutesa hadi leo. Ahadi ni deni. Alitaja hadi muda na kiasi...
  17. Niambieni

    Malipo ya Madeni kwa Wafanyakazi wa Umma: May, 2018

    Mh. alipotutangazia kuwa mwezi fulani atatulipa, tulikuwa na imani kuwa ni kweli. Ikawa patupu na sababu ikawa ni kuokoa fedha na uhakiki. Sijui uhakiki utaenda hadi lini?. Ndio muda mzuri wa kumuomba atulipe. Mhusika Mkuu wa suala hili ni Mh. Rais Magufuli. Mungu wa kweli amguse ili haki...
  18. Niambieni

    Malipo ya Madeni kwa Wafanyakazi wa Umma: May, 2018

    Mkuu alilitaja kwenye Kampeni
  19. Niambieni

    Malipo ya Madeni kwa Wafanyakazi wa Umma: May, 2018

    msema kweli ni mpenzi wa mungu
  20. Niambieni

    Malipo ya Madeni kwa Wafanyakazi wa Umma: May, 2018

    Mungu hapendi mambo ya namna hii.
Back
Top Bottom