Search results

  1. S

    CHADEMA washtukia mchezo mchafu unaofanywa na CCM!

    Maneno yako na mawazo yako yanaelekea kama hutakii mema CDM
  2. S

    CHADEMA washtukia mchezo mchafu unaofanywa na CCM!

    Sijui unachokisema hapa kama ni sahihi inabidi chama kiangalia sana kwa makini maana tulikuwa tunategemea 2015 kuingia ikulu lakini kama ni mwenendo huu IIKULU kwa chadema itaka historia.
  3. S

    Wakati sasa umefika kwa watanzania wafanyakazi wote bila kujali itikadi zetu kukataa hili

    Hii sheria haifai hata kidogo maana waajiri wa private sector wanaajiri kwa mkataba baada ya mkataba unaweza kuachishwa kazi au kuendelea. pia watu wengi wanafanyakazi kwa malengo baadaye wanajiari wenyewe je utasubiri mpaka miaka 55 au 60 ndo upewe haki yako?
  4. S

    Huyu ndiye Simon Kisena mnunuzi wa UDA?

    Mimi naona tunatoa hukumu mapema angekuwa mgeni kutoka nje ya nchi nadhani mambo yote haya yasingetokea angalieni mambo mengine yanayotokea watu wanachukua kilaini mfano angalieni madini hakuna hata faida kwa waTz. Huyu ni kijana wa TZ kama ana nia njema ya kufufua UDA mimi sioni tatizo. Pia...
  5. S

    Picha za wanaosinzia Bungeni

    Hawa waheshimiwa wamezeeka wanatakiwa wapumuzike
  6. S

    Zile kazi za ifakara health instittute vip jamani

    Watu wameshaanza kazi siku nyingi sana
Back
Top Bottom