Search results

  1. Peramiho yetu

    TANZIA Mashaka Matongo a.k.a. Abiola afariki dunia

    MATONGO kwa kabila langu ni MAPUMBU rip legendary
  2. Peramiho yetu

    Huwa sielewi watu wanatoa wapi Uhalali wa kumfananisha Mwanamuziki Fally Ipupa na Feregola!

    Fere gola ...asee nikitulia huwa nasikil za 100kilos Judgement Chichiwash Carte de rose Functionaire Ila fally ipupa ile ngoma yake ya AFLYE na Marie zimenikosha
  3. Peramiho yetu

    Ombi kwa serikali: Kila kituo cha mabasi kuwe na ofisi za LATRA

    Kutokana na usumbufu wa tunaopitia sisi abiria iwe vituo vya daladala au vya mabas ya mikoani hasa swala la nauli kupanda kiholela tungeomba afisa mmoja wa latra awepo kwenye kila kituo ili kutatua tatizo la upandishaj wa nauli tofaut na kiwango kilichowekwa na mamlaka hyo. Sio kila Jambo mpaka...
  4. Peramiho yetu

    Kijiji chote kimesombwa na Mafuriko, Kanisa limebaki

    Ungemalizia kwakusema, hata misikiti nayo imeenda na maji
  5. Peramiho yetu

    Huku ndoa yake ikipumulia mashine, Jack Wolper apata bwana mpya!

    Nifa huyu gnex si bongo movie? Nahis yupo kwenye tamthilia ya LOLITA inyorushwa na kituo Cha Azam channel ya sinema zetu?
  6. Peramiho yetu

    Muguel Gamond hana mbinu za kuivusha Yanga

    Huo ndio ukwel kocha anahtaji kubadirika kimbinu
  7. Peramiho yetu

    Muguel Gamond hana mbinu za kuivusha Yanga

    Muda n mwalimu mzuri mkuu
  8. Peramiho yetu

    Muguel Gamond hana mbinu za kuivusha Yanga

    Nimeangalia mechi zote mbili ile ya Algeria na hii hapa ya kwa mkapa dhid ya Al alhly nachelea kusema pale hamna kocha wa mbinu Mbinu pekee aliyonayo n kupress kwa kas basi na Wala hamuheshimu mpinzani wake hata kidogo Katika mpira lazma kocha uweze kubadirika Kutoka na mpinzani wako...
  9. Peramiho yetu

    TANZIA Diwani Kata ya Fukayosi, Ally Ali Issa afariki dunia

    Bujibuji Simba Nyamaume tupe habari kamili au upo miono
  10. Peramiho yetu

    Vodacom acheni wizi aisee mtatuua kwa presha

    Nimesajil line ya tigo leo mchana jion hii nimetumiwa meseji nadaiwa 1400 ya nivushe hata vigezo vya kukopa hiyo huduma Sina
  11. Peramiho yetu

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Nyie MAMA JUSI FC hamjambo!!
  12. Peramiho yetu

    SIMBA vs ASEC Mechi yakufunga/kufungua msimu wa Simba

    Sahihi yametokea Simba inafuraha Sana
  13. Peramiho yetu

    Gigy Money asaidiwe

    Mkuu MSAADA video za.gigy money
  14. Peramiho yetu

    Hivi huwa tunamchukuliaje Mungu?

    Hata zumaridi naye ni mungu pia
  15. Peramiho yetu

    Naomba msaada kijana aliyefaulu aweze kuchaguliwa boarding

    Nachojua ufaulu ndio utakao mpekeka shule nzuri Kwa huku kigamboni kwetu shule za boarding kwa watoto waliosoma shule za serikal na kupata wastan wa A wengi hupata kipaumbele shule za bwen maeneo haya Kama wa kike ndio kabisaaaa Kama amesoma hiz za medium awe amefaulu Sana hupata shule za...
  16. Peramiho yetu

    Shirikisho la mpira Africa (CAF) limeizawadia Simba sc tuzo ya Mashabiki Bora katika michuano ya African football league

    Mnapo msakama.mangungu mnakosea.wakuwasakama.ndio hao akina JARIBU TENA
  17. Peramiho yetu

    Hersi na GSM wamemaliza kazi yao

    SI afadhal hata yanga Maana inatoa kwa jamii Tena shabik wa chini N lini Simba ilitoa kwa jamii Tena kwa shabik wa chini? Timu yet ikiwa haina kitu huwa tunaichangia na ikiwa na kitu inatujal pia
Back
Top Bottom