Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Kitila Mkumbo Kupitia Akaunti yake ya Mtandao wa Twitter Ametangaza katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa Kufanyika Oktoba Mwaka huu.
Uamuzi huo ameutoa wakati akijibu swali lililoulizwa na Mwandishi wa Habari Ezekiel Kamwaga.
Hata hivyo hajabainisha jimbo...
Gazeti la the Economist la Nchini Uingereza kupitia idara ya Economic Intelligence inayoshughulika na tathimini ya masuala ya Demokrasia Duniani, kwenye ripoti ya Mwaka 2019 ya tathimini ya Demokrasia, Tanzania imeshika nafasi ya 13 kwa Afrika na 95 Duniani.
Kwa upande wa Nchi za jumuiya ya...
Nimeona vijana wengi hasa wa Upinzani kwa maksudi kutokana na Chuki binafsi, ushabiki wa vyama na ufahamu hafifu wanapotosha kwambaTRUMP ameitaja rasmi Tanzania miongoni mwa Nchi saba zitakazo wekewa vikwazo kwa Raia wake kuingia Nchini humo.
Usahihi wa habari:
Rais wa Marekani DONALD TRUMP...
Katika uga wa taaluma ya sayansi ya Siasa moja ya viashiria vya uchaguzi kuwa huru na haki ni kuwepo kwa Wagombea wenye Sifa na Nguvu sawa au zinazokaribiana.
Kinadharia CHADEMA imekuwa ikijipambanua kama Chama chenye Demokrasia kuanzia jina lake, ni katika muktudha huo ilitarajiwa na...
YALIYOJIRI LEO DESEMBA 12, 2019 KWENYE MKUTANO WA MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA RELI TANZANIA (TRC), MASANJA KADOGOSA NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MAFANIKIO YA TAASISI HIYO KATIKA MIAKA MINNE YA SERIKALI YA AWAMU YA TANO
#TRC ilianza kazi rasmi mwezi Machi 2018 na iliundwa kupitia Sheria Na...
Mimi namuona Mdude akiwa jela na kwa kuwa tabia ni kama ngozi simuoni mdude kubadilika kutoka katika hulka na haiba zake zile
Naiona Bavicha Kufanya uchaguzi wa marudio kama Mdude atakuwa Mwenyekiti wao maana kama Hata kuwa Jela sijui
Kumpatia Mdude Uenyekiti ni Risk kubwa kwa baraza la hawa...
Wakati Chadema kinaendelea na uchaguzi wa Ndani wa viongozi wa kitaifa, asilimia kubwa ya walioshinda katika nafasi za uenyekiti wa kanda wanakofia mbili ya ubunge na hiyo ya wenyekiti.
Naona faida nyingi kwa Chama hicho kikibadili kanuni za uchaguzi kwa kuweka kipengele kitakachozuia...
Katika mahojiano yaliyofanyika kupitia kipindi cha Konani kinachorushwa na ITV, Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally amesema chama hicho kitaendelea kuwapokea viongozi wa vyama pinzani.
“Tutaendelea kupokea vigogo kutoka vyama vya upinzani, hatuwezi kuwanyima uhuru wa kuhamavyama...
KALAMU YA Samson Mwigamba
Zitto ajiandae kupambana na Maalim Seif, hana hadhi ya kupambana na JPM
QURAN Tukufu inasema alama za mnafiki ni tatu. Kwanza, akisema hasemi ukweli. Pili, akiaminiwa haaminiki. Na tatu, akiweka ahadi hatekelezi!
Nimekaa na kufanya kazi na wanasiasa wengi tokea...
Baada ya Tahadhari ya Usalama katika Jiji la Dar es Salaam katika maeneo ya Masaki na Msasani iliyotolewa na Ubalozini wa Marekani, Mkuu wa mkoa wa Dar amewahakikishia Wananchi kuwa hali ni shwari
RC Makonda amesema Jeshi la Polisi linaendelea na kazi kama kawaida kuhakikisha watu wanalala...
Nation Media Group of Kenya (NMGK) inayomiliki magazeti, television, Radio na digital Media katika Nchi za Afrika za Afrika Mashariki na kati imefikia makubaliano ya kuiuza Mwananchi Commuication Tanzania mchapishaji wa Magazeti ya Mwananchi na The Citizen kwa mfanyabiashara mzawa Jehangir...
WAPINZANI TUNAWAPIMA KWA MENGI
1. Hatujasikia CHADEMA wakitenga siku ya kuwaenzi Mtei na Bob Makani wala CUF kumuenzi Seifu na Mapalala. Hata huko ACT hakuna mwelekeo watakumbuka hili. Ikiwa mnashindwa kuwaenzi waasisi wenu mtaweza kumuenzi mwalimu, kawawa na wenzao tukiwapa nchi? Hamuoni huu...
Katika mitandao ya kijamii kuna mjadala mkubwa unaoendelea kuhusu uamuzi wa Serikali kupindisha Poli la Akiba la Burigi na kuwa hifadhi ya Taifa, baada ya uamuzi huo kn baadhi ya wafuasi, wananchama na viongozi wa vyama vya Upinzani Nchini vimerkurupuka na kudandia sanjari na kupotosha kuhusu...
Spika wa Bunge, Job Ndugai amebadilisha msimamo wake kuhusu ujenzi wa mradi mkubwa wa ukanda maalumu wa kiuchumi wa Bagamoyo (Bagamoyo SEZ) mkoani Pwani akisema awali yeye na wabunge wenzake hawakuyajua masharti ya mradi huo bali waliangalia tu faida zake.
Kauli ya Ndugai imekuja ikiwa ni siku...
Leo tarehe 26 Mei 2019, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt John Pombe Joseph Magufuli amekutana na kufanya Mazungumzo na Rais wa Afrika kusini, mhe. Cyril Ramaphosa Ikulu jijini Preteria. Katika Mazungumzo hayo pamoja na mambo mengine amempongeza kwa kuapishwa kuwa Rais wa awamu ya...
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya simu ya Vodacom Hisham Hendi amerejea kazini wiki hii baada ya kesi ya uhujumu uchumi iliyokuwa inamkabili kuisha kwa kukiri kosa na kukubali kulipa. Ikumbukwe kwamba wakati Hisham hakuwepo kazini bodi ya kampuni hiyo ilimteua Jacque Marais kukaimu nafasi hiyo...
Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi Dkt. Bashiru Ally akiwa anaendelea na ziara ya kikazi mkoani Mwanza amewataka wanachama halisi wa chama hicho wasiokuwa Nyemelezi kuwa hodari kukikosoa chama na Serikali huku wakizingatia mila na desturi cha chama, utamaduni pamoja na maslahi ya Taifa, bila...
Kampuni ya uchimbaji madini ya Barrick Gold Corporation ambayo ni mwekezaji katika Migodi ya Bulyanhulu na North Mara kwa Ubia na Accacia imetangaza nia ya kununua hisa za kampuni ya Acacia kwa gharama ya dola za Marekani milioni 787.
Uamuzi wa Barrick unafuatia kampuni ya Acacia kutotoa...
Baada ya kuusikiliza kwa umakini mkutano wa Mdude Chadema na waandishi wa habari hivi, mambo yafuatayo ni dhahiri:
1. Mpaka sasa bado akili ya Mdude haijawa sawa kumwezesha kutaja watuhumiwa kwa hoja zaidi ya mihemko na hisia zake na Chadema za siku nyingi kwa Serikali. Baadhi ya Mambo...
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Nchini (TPA), Deusdedith Kakoko ameeleza kwamba mradi wa ujenzi wa Bandari Bagamoyo haukuwa na tija kwa taifa na ungeenda kuifilisi na kuiuza Nchi kutokana na vipengele vya kinyonyaji ambavyo wawekezaji walitaka viwekwe kwenye mkataba na Serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.